Jakaya ndo alimkuza Samia na kumfikisha Bara mpaka hapo alipo ni juhudi za Kikwete na genge lake, jambo la kushangaza amekuja kuzima nyota za akina Bashe, Bashungwa, Biteko na wenzao wakina Makamba sasa sijui anafaidi nini?
Ameishia kutuletea mijitu ya ajabu ajabu ikina Thabiti Kombo sjui kama...
Hajaonekana. Mzee wa kulamba asali. Nadhani itakuwa yupo reserve anasubiria kufanya Kampeni mkoani mwake Tanga.
Huyu Mzee wa Pwani ana maneno sana nadhani atatumika kwa wakati wake kumnadi mgombea Urais wa CCM.
Huyu ni MwanaCCM kindaki ndaki, kada mzoefu ambaye tunamwitaji aongezee nguvu...
Kuna picha inamwonesha mwanasiasa Nape Nauye aliyemwita mwendazake mshamba, akamla kichwa, Leo anachonga vinyagooo.
Leo hii NASIKIA Makamba amefungua Madrassa je nikweli?
WALIOKUWA makampeni mastamind Leo hii wako benchi.
Wapo wanaosema kuwa mama anaandaa watu wake na kutosa watu wa Jiwe aliiyemtengeneza. Hata hivyo, ukiangalia majina ya waliotoswa, unashangaa. Mfano, January Makamba hakuwa mtu wa jiwe. Luhaga Mpina alikuwa mtu wa Jiwe sawa na Mrisho Gambo.
Chawa Daudi Albert Bashite alikuwa mtu wa jiwe japo...
Mbunge wa Bumbuli anayemaliza muda wake, January Makamba alipokuwa kwenye mahojiano na kituo cha Radio 1, April 2019 kwenye kipindi cha kumepambazuka alieleza kuwa madara ni kama koti la kuazima.
"Madaraka uliyobeba ni kama koti la kuazima na ukiwa na mbwembwe na nyingi ukiwa umelivaa lile koti...
Mimi binafsi
Naamini huko serikalini JANUARY NA BIABATO kuna kitu cha ajabu sana walifanya wakiwa mawaziri wa Mambo ya njee
Na aliyemponza Biabato ni JANUARY hakuna mwingine
Na walijua fika hawatarudii Bungeni hata iwejeee .
Sasa Biabato anapoteana akati January' anasindicate kubwa ...
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baada ya kusikia ndugu yangu January Makamba kaachwa kwenye uteuzi wa ubunge, ushauri wangu kwako ndugu yangu umri wako bado mdogo unaweza jiunga na VETA ukasomea fani ya ufundi UMEME maana kazi ni nyingi mtaani pia ujenzi umeongezeka. Ni hayo tu ndugu yangu
Msikilize Nape alivyokuwa anapinga wa Tanzania wasipate umeme walale gizani.
Sababu wamiliki wa gesi wapige hela za Tanesco kuwauzia gesi izalishe umeme. Maana umeme wa maji hauna faida kwa wapigaji
Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee...
Kati ya wabunge walioachwa Januari alipaswa asindikizwe na viboko juu,Bumbuli ni kati ya majimbo yenye maendeleo duni,
Huyu alikuwa busy na makundi mihula yote hata hajui bei ya pampu ya maji huko Bumbuli. Nimeona clip wananchi wa Bumbuli wakishangilia baada ya jamaa kukatwa jina.
Hapa CCM...
Jina lake limekatwa huko Bumbuli.
Aanze kula pensheni yake aliyoichota akiwa Waziri wa Umeme
Pia soma
1. > Pre GE2025 - Kutoka Jimboni Bumbuli tunasema Rais Samia mitano tena, Januari Makamba hatumtaki
2. > Pre GE2025 - Wanaodai kuwa Wananchi wa Bumbuli wamtaka Makamba ajiuzulu Ubunge, wadai...
Nimesikia Porojo nyingi juu ya Ajenda ambayo imepata umaarufu duniani na Africa kiujumla, Ajenda ya Nishati safi ya kupikia, iliyoasisiwa na January Makamba na hata utekelezaji wake ulianzia kwake personnel. Najua wanasema dont outshine your Boss, lakini wewe nenda kakae na Makamba sasa hivi na...
Hii ni kwa sababu wao kama wanaCCM hawana upande wowote ndani ya CHADEMA hivyo itazuia malalamiko yoyote toka kambi ya Lissu au Mbowe. Nape na Makamba ni wazoefu wa mambo ya uchaguzi hivyo watawasaidia sana wenzetu wa CHADEMA kwenye uchaguzi wao hasa kwenye kuhakikisha usalama wa kura.
CHADEMA...
Salaam Wakuu,
Kufuatia video fupi ya Wananchi wa Bumbuli kulalamika kupelekewa drafti na Makamba badala ya maendeleo
Soma hapa:
- Kuelekea 2025 - Bumbuli: Wananchi wamlalamikia January Makamba kuwapelekea Madrafti huku mambo mengine ya kimaendeleo yakisimama
Kupitia ukurasa wake wa X...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.