makala

Adrián Makala (born 1975), birth name Adrian Berthram McCalla Rivera, also known as "Makala", is a Mexican actor born in Mexico City. He has appeared in the Motion picture film Of Original Sin and the telenovela Mar de Amor on Televisa and the TV series "Los Simuladores" for Sony Entertainment Television. He attended various acting schools in Mexico City.

View More On Wikipedia.org
  1. Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  2. Responded RC Makala aagiza TARURA, TANROADS na Polisi kuondoa foleni Arusha, TARURA yatangaza kufuta 'stendi bubu'

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla ameiagiza Wakala wa barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Mkoa wa Arusha, Jeshi la Polisi pamoja na Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) kushughulikia kadhia ya foleni kwenye Jiji la Arusha kwa wakati ili kuondoa vikwazo katika shughuli za...
  3. MAKALA YA NANE “JKT: Injini ya Kujitegemea- Kutoka Ardhi, Viwanda Hadi Mawazo

    Ndugu zangu, Hakuna taifa kubwa duniani lililojengwa kwa kutegemea huruma ya mataifa mengine. Hakuna taifa lililotukuka kwa kuamini kuwa uchumi wake unaweza kuendeshwa na wachache wanaotafuta faida binafsi. Taifa hujengwa na watu wake, kwa jasho, kwa maarifa, na kwa nidhamu ya uzalendo. Hapa...
  4. MAKALA YA SABA “JKT: Chuo cha Sayansi, Ubunifu na Uzalendo”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa. Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
  5. MAKALA YA SABA “JKT na Vita Dhidi ya Uporaji wa Fikra za Vijana”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakipotei kwa njaa, hakipotei kwa maradhi, hakipotei kwa umasikini tu. Kizazi cha taifa hupotea pale fikra zake zinapotekwa na kupotoshwa. Hii ndiyo hatari kubwa inayotukabili leo. Tazameni vyombo vya habari vilivyotujaa ndani ya nyumba zetu. Vijana wetu wakiwasha...
  6. MAKALA YA TANO “JKT: Shina la Maadili na Uongozi wa Taifa”

    Ndugu zangu, Kila taifa lenye nguvu hulinda misingi yake ya maadili na falsafa. Kila taifa linalodumu huandaa vijana wake sio tu kwa kazi ya mikono, bali kwa uongozi wa roho na fikra. Hii ndiyo maana JKT ilipaswa kuwa. Nilipotazama vijana wa Tanzania, niliona viongozi wa kesho. Niliona...
  7. PostGE2025 Msigwa: Uhakiki wa video za CNN unaendelea, serikali inatoa wito wa CNN kufuata weledi na maadili ya uandishi

    Kuhusu serikali kufanya uhakiki wa ripoti ya CNN, Msigwa amesema: Uhakiki wa makala unaendelea, lakini hawajafuata weledi na uadilifu kwenye uandishi wa habari. Si kweli CNN ilishindwa kupata upande wa serikali, akisema inashangaza chombo kama CNN kufanya makosa ya kiweledi kama hayo...
  8. PostGE2025 Media zetu ni TAKATAKA unatoaje hii taarifa bila kupost hiyo makala?

    Long way to GO Many miles to GO!! tunahitaji uhuru wa vyombo vya habari nchi hii.
  9. Amos Makala anaondolewa kwenye uenezi wa CCM baada ya kumaliza kazi aliyopewa ya kuijenga kivuli cha CHAUMMA

    Huyu jamaa bwana Amos Makala ndiye aliyekuwa mastermind wa ujenzi wa project ya CHAUMMA. Pia ndiye aliyeratibu Lissu afunguliwe uhaini. Hakuishia hapo. Pia Project ya kuengua viongozi wa Chadema ndiye aliyeisimamia. Kwa ufupi sana baada ya kumaliza kazi amerudishwa alipotolewa. Kwa uhakika...
  10. Makala ameiunganisha ccm vizuri

  11. R

    Makala mnamuonea tu, hoja za Polepole na Gwajima hazijibiki, zinataka system overhaul

    Salaam! Unaanzaje kumjibu Pole Pole anayeongea Pole Pole kwa tahadhari na kwa kutumia lugha rahisi ya kidiplomasia namna Ile? Gwajima unaanzaje kumjibu, maana alichoongea Kiko wazi na ametoa ushauri mzuri kabisa kwa tahadhari kubwa. Sasa kuliko kuwajibu ukajikuta unatoka nje ya mstari na...
  12. Kisiasa nini Maana halisi ya Kihongosi kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM na Makalla kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa?

    Wajuzi wa mambo ya karata za siasa, mikakati ya kisiasa, let's talk about strategic political approach, ambayo inaakisi mabadiriko hayo. Je, talent ya Kihongosi kucheza na jukwaa la siasa hasa mvuto kwa vijana na kipawa chake cha kuburudisha na kwenda sambamba na aina ya hadhira katika majukwaa...
  13. Rais Samia amteua Amos Gabriel Makalla kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), CPA. Amos Gabriel Makalla kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Kwa mujibu wa taarifa ya leo Agosti 23, 2025 iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi...
  14. Makalla: Wagombea wote wa udiwani CCM wapigiwe kura za maoni

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa agizo kwa makatibu wa mikoa wote nchini kuhakikisha wagombea wote wa nafasi za udiwani waliokuwa kwenye orodha ya awali wanarejeshwa kwa ajili ya kupigiwa kura za maoni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Taarifa hiyo imetolewa siku ya Ijumaa na CPA Amos...
  15. GE2025 Kukatishwa ghafla kwa Mkutano wa CCM, Makala aliwekewe majina "feki"

    Habari nilizopata muda huu ni kwamba, Kikao hewa cha Makala kutangaza Majina feki ya wagombea feki kilikatizwa ghafla baada ya kutonywa kuwa :"Mkeka" aliokua anatakiwa KUSOMA ulikua sio wenyewe uliokuwa umeandaliwa.... Aliyeuza cheni feki kapewa pesa feki, Ngoma droo. haya majitu ni majizi proMax
  16. J

    Makala: Kamati kuu ya CCM na Halmashauri kuu Zitakaa tarehe 26/07/2025

    Kamati kuu ya CCM itakaa 26/7/2025 na Uteuzi wa wagombea utafanyika28/7/2025 Source Channel ten
  17. Pacoume Zouzou vs Mpanzu — Sasa basi, maana Pacoume ni bora kuliko Mpanzu

    Katika ulimwengu wa soka, mijadala ya nani ni bora kuliko mwenzake huwa haikwepeki. Kwa sasa, gumzo limekuwa kati ya wachezaji wawili mahiri: Pacoume Zouzou na Mpanzu. Wote ni wachezaji wenye vipaji, lakini katika makala hii tunachambua kwa undani sababu zinazomfanya Pacoume kuwa juu zaidi ya...
  18. Shushushu (Afisa Usalama wa Taifa) ni mtu wa aina gani, anafanya nini?

    PART 1 Kuna ukweli mmoja usiofichika wala kupingika kwamba watu wengi sana wanapenda kazi ya ushushushu, yaani Uafisa Usalama wa Taifa.Hiyo sio kwa Tanzania pekee bali sehemu nyingi duniani. Ukiingia mtandaoni utakutana na watu wengi wanaozungumzia taaluma ya intelijensia au/na wahusika katika...
  19. Vyeo vya Usalama wa Taifa (TISS) – Kuanzia cha chini hadi cha juu

    Utangulizi Tanzania Intelligence and Security Service (TISS) ni chombo cha kijasusi cha serikali ya Tanzania ambacho kinahusika na ulinzi wa usalama wa taifa kwa njia ya ukusanyaji wa taarifa za kiusalama, kupambana na ujasusi wa kigeni, uhalifu wa kiuchumi, ugaidi, na vitisho vyovyote...
  20. Makala maalumu ya historia ya Tundu Lissu: Ni hasa huyu mtu? Mambo saba (7) usiyoyajua kumhusu

    MAMBO SABA USIYO YAJUA KUHUSU TUNDU LISSU. - Courtesy: BBCSwahili.com Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu. Kwa wengi, yeye ni alama ya mapambano ya haki, demokrasia na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…