Wasalaam,
Nimewaza jambo moja, Je Tanzania inaweza kujifunza kutoka kwenye mfumo wa majimbo wa nchi kama Marekani (federalism), na kuutengeneza kwa mazingira yetu?
Sisema tuige Marekani 100%. Lakini kuna principle moja ambayo nadhani inaweza kutumika.
Mamlaka zaidi, rasilimali zaidi na...