maji machafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. tonicimmobility

    PostGE2025 Manara: Nikishaapishwa tu, DAWASA mjiandae kuja na majibu hizi chemba za maji machafu tunafanayaje

    Mkurugenzi wa manara tv na diwani mteule wa kata ya Kariakoo Hajj Manara leo November 19, 2025 ameeleza wazi namna alivyojipanga kukabliana na changamoto zinazowakabiri wanakazi wa kata ya Kariakoo ikiwemo changamoto ya uhifadhiji wa maji taka yanachafua hali ya hewa ndani ya kata hiyo Huku...
  2. Keyboard_Warrior

    DAWASA KIBAHA, hivi ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia maji machafu?

    Muda mrefu sasa tunatumia maji machafu, tulijua labda ni changamoto ya muda mfupi tu. Sasa tunaona imeshakuwa mazoea. DAWASA Kibaha, ndio kusema mumeamua rasmi kutuuzia wananchi maji machafu? Hivi haya maji ndio maji ya kutuuzia Watanganyika kweli?
  3. M

    Soko la nguzo nane shinya lina tiririsha maji machafu yenye haru kali

    Kama nilivosema hapo juu, hapa shinyanga kuna soko maarufu sana linaiywa nguzo nane. Kero yangu ni kwamba, hili soko linatiririsha maji machafu yenye harufu kali sana kwenye mfereji wa barabara naomba wahusika wachukue hatu kwani ni kero kubwa lakin pia ni hatari kwa afya ya watumiaji wa soko hili
  4. BigTall

    DOKEZO Maji machafu ya Machinjio ya Ng'ombe yanatutesa Wananchi wa Mbagala - Sabasaba

    Sisi Wananchi tunaoishi hapa Mbagala Sabasaba tunapata changamoto ya mazingira kuchafuliwa na kuwa hatari kwa afya kutoka katika Machinjio ya Ng’ombe ambayo yapo kwenye makazi ya Watu. Maji machafu ambayo yanatoka kwenye machinjio hayo tanatiririka kwenye makazi yetu na hakuna jitihada...
  5. Just Pray

    KERO Responded Misugusugu Kibaha: Kiwanda cha kutengeneza pombe kinatiririsha maji machafu na kuzalisha harufu kali eneo lote linalozungukwa na Kiwanda

    Wananchi na wakazi katika eneo la Mleleguo kata ya Misugusugu, Kibaha mkoa wa Pwani tumekuwa na hali ngumu sana ilinayosababishwa na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na kiwanda cha wahindi kinachoitwa Maranile Group Ltd kinachozalisha Pombe kali, kwani muda wote eneo zima la Mleleguo...
  6. Torra Siabba

    KERO Maji machafu Stendi ya Mabasi Nyegezi - Mwanza yanahatarisha Afya za wasafiri

    NImeshangaa kusema ukweli, nilikua natoka kwenye pilikapilika zangu Mikoani, wakati nashuka Stendi kuu ya Mabasi ya Nyegezi nikakutana na harufu kali ambayo kimsingi haivumiliki. kugeuka kushoto kulika nikakuta maji machafu yatokanayo na kinyesi yanatitirika bila wasiwasi ndani ya stendi hiyo...
  7. Papaa Mobimba

    KERO Wakazi wa Magengeni, Kijitonyama, hatarini kuugua magonjwa ya mlipuko baada ya chemba za maji machafu kufumuliwa na kuachwa yakitiririka siku tatu

    Wakazi wa Mtaa wa Magengeni, Kijitonyama, wamejikuta katika hali ya sintofahamu baada ya ujenzi ulioanzishwa na jamaa mmoja kusitishwa kwa siku tatu huku ukiwa tayari umesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo, ujenzi huo umesababisha kuzibwa kwa njia za...
  8. aise

    KERO Kero ya maji machafu mitaani, mfano mzuri ni hapa Buguruni

    Katika jamii nyingi, miundombinu bora ya maji taka ni msingi wa afya na ustawi wa wakazi. Na ni haki kwa kila raia kuishi kwenye mazingira safi na salama. Hata hivyo hali ni tofauti hapa Buguruni. Mvua kidogo ikinyesha maji machafu hutapakaa kila mahali, yakibeba uchafu na harufu mbaya...
  9. N

    Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho… tuna wiki mbili tunapata maji machafu ya bomba

    Uchafu wa Maji ya Bomba kwa Wakazi wa Mbezi kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph na Mbezi Mazulu. Sisi wakazi wa maeneo ya Kimara kwa Msuguli, Kibanda cha Mkaa, Mbezi Mwisho Kwa Yusuph, na Mbezi Mazulu tunakumbwa na changamoto kubwa ya maji machafu kutoka kwenye mabomba. Kwa...
  10. A

    KERO Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa

    Yahusu: Tatizo la Maji Machafu Dodoma - Area D, Mtaa wa Mganga/Mtawa Habari, Tunapenda kuwasilisha malalamiko kuhusu hali mbaya ya maji machafu yaliyotapakaa barabarani katika eneo la Dodoma - Area D, hasa mtaa wa Mganga/Mtawa karibu na zilipokuwa ofisi za Pembejeo. Kwa sasa, kinyesi kimeenea...
  11. Mindyou

    Wananchi wa Mlolongo huko Nairobi wamlazimisha kiongozi wao kutembea kwenye maji machafu kuonyesha hali mbaya ya miundombinu

    Wakuu, Inaonekana kama Wakenya wameshachoshwa na ahadi za uongo kwa hivyo wameamua kuchukua sheria mkononi. Wakazi wa eneo la Mlolongo mjini Nairobi wameamua kumpitisha kwenye dimbwi la maji mchafu, kiongozi wa Kaunti yao Daniel Mutinda ili kumuonesha changamoto wanazozipitia kila siku. Video...
  12. K

    KERO Mamlaka ya Maji Mhanuzi - Meatu Mkoani Simiyu inatuhudumia maji yenye tope, ni kweli hakuna chujio?

    Mimi ni mdau natokea Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, naishi hapa makao makuu ya Wilaya, Mjini Mhanuzi. Sisi Wananchi wa makao makuu ya Wilaya hapa Meatu Mjini Mhanuzi, tunayo mashaka makubwa na haya maji ambayo tunatumia. Maji haya ambayo yanatolewa kama huduma na Mamlaka ya Maji na usafiri wa...
  13. K

    KERO Madale Mbopo maji yanatoka machafu, tunaomba mamlaka ichukue hatua

    Naishi madale Mbopo, maji yanayotoka kwenye mabomba maeneo haya ni machafu mno. Naiomba mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira (DAWASA) ichukue hatua. Pia soma: - DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa Wizara ya Maji
  14. A

    KERO MWAUWASA acheni kuruhusu maji machafu kwenye mto Mirongo

    Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani. Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa kuruhusu maji machafu pembezoni mwa ofisi yenu kupitia mkondo wa mto Mirongo kuelekea ziwa Victoria...
  15. Mkalukungone Mwamba

    KERO DAWASA kwanini mmeshindwa kutoa majibu kwa Wakazi wa Mbezi Beach maji ya bomba kutoka machafu kwa muda sasa

    DAWASA leo katika mkutano na waandishi wa habari mmeulizwa kuhusu tatizo la kutoka maji ya bomba yakiwa machafu kwa baadhi ya wakazi wa Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam. Hii inamaanisha nini kwa sisi wakazi wa maeneo haya? Maji ya bomba ni machafu yanayotoka katika maeneo yetu yanazidi...
  16. mwilongo Aron

    KERO Kituo cha Mwendokasi Kimara acheni kutiririsha maji machafu usiku

    Uongozi wa mabasi yaendayo kasi DRT Mnaharibu heshima ya mradi na taswira ya serikali kwa utiririshaji wa maji machafu barabarani kuanzia mida ya saa 6:00 usiku Hadi saa 7:30 hivi. Ukweli ni kuwa maji hayo yanayosambaa barabarani yananuka sana hasa upande wa kutokea mjini yaani upande wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    KERO Mifereji ya Stendi ya Kawe inatoa harufu mbaya sana, kiafya ni hatari

    Mifereji ya Kawe stendi inatoa harufu mbaya sana, na ukizingatia kuna biashara zinafanyika zikiwemo biashara ya kuuza chakula. Harufu inayosambaa katika eneo hilo ni takribani siku 5 sasa, na inavyoonekana ni mifereji ya kupitishia maji imejaa uchafu na kusabisha kutokea kwa harufu hiyo...
  18. P

    KERO Maji ya bomba yanazidi kuwa machafu kadri siku zinavyokwenda, DAWASA maji haya yana usalama kweli?

    Wakuu kwema, Maji yamekuwa yakitoka machafu kwa muda sasa, sasa hivi hali inazidi kuwa mbaya, maji ni machafu sana mpaka yanatia mashaka kwenye usalama wake, mbali na kuwa machafu kama hivi yana harufu mbaya pia kama vile kuna kitu kimeoza, japokuwa siyo strong sana lakini unaipata. Kama maji...
  19. A

    KERO Maji machafu toka machinjio ya Vingunguti

    Habari, Natumaini n mzima wa afya , wananchi wa wilaya ya ilala kata ya vingunguti tuna kero ambayo inaenda miaka miwili na nusu sasa ya maji machafu ambayo yanakuja mitaani kutoka kwenye mabucha mapya ya Vingunguti na kuwa kero kubwa kwa wananchi. Tumejaribu kufuatilia pamoja na kuwasiliana...
  20. A

    KERO Chemba za Baa ya Lavipark - Tegeta zinatiririsha maji machafu barabarani, ni hatari kwa afya

    Baa ya Lavipark – iliyopo Tegeta Jijiji Dar es Salaam chemba zake zinatiririsha maji machafu barabarani zaidi ya miezi mitano sasa lakini hatuoni hatua zikichukuliwa. Tunaomba mamlaka zitusaidie zitusaidie kumuwajibisha mwekezaji wa baa hiyo ambayo ipo Tegeta kwa Ndevu kwenye njia inayoelekea...
Back
Top Bottom