Experience yako ni ipi?
Maana uswazi haiwaishiwi misemo
Shemeji kula...
Hainaga ushemeji..
Shemeji kinyama cha hamu..
Shemeji ni Dada akiwepo...
Cha dada ni changu pia...
Shemeji wa kiume je!?🤨
13
Yer 17:5 SUV
BWANA asema hivi, Amelaaniwa mtu yule amtegemeaye mwanadamu, Amfanyaye mwanadamu kuwa kinga yake Na moyoni mwake amemwacha BWANA.
Mtumishi wa Mungu mmoja alianzisha huduma yake ya kiroho kanisa katika moja ya vijiji(Ukerewe)..eneo hilo lilikuwa na nguvu za giza kwa kiasi kikubwa...
Ndugu Wakristo Tumsifu Yesu Kristo.
Poleni sana kwa imani yenu kuguswa na kujaribiwa, kumbukeni hata Bwana Yesu alijaribiwa mno na Shetani na mwishowe akashinda.
Hata hawa mashetani wanaoibuka dhidi ya dini yenu Karne hizi watashindwa tena vibaya sana.Giza hajiwahi kushinda mwanga hata siku...
Majaribu 10 ya Waisraeli kwa Mungu tangu Misri hadi Kanaani
Musa ni nani katika safari kutoka Misri hadi Kanaani
Musa ni mtu mmoja maarufu zaidi katika Agano la Kale. Wakati Ibrahimu anaitwa "Baba wa Imani" na mpokeaji wa agano la Mungu lisilo na masharti la neema kwa watu Wake, Musa alikuwa...
Hadithi: MAJARIBU
Mtunzi:Mwaki Ze Done (0653814440)
UTANGULIZI: Ni hadithi inayomzungumzia kijana mdogo wa kuitwa majaribu. Wakati akijaribu kuyakimbia matatizo yake akakutana na majaribu menyewe Sasa Alijikuta akikabiliwa na kesi ya mauaji ambayo hakuyafanya ilipelekea kupelekwa gerezani je...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.