majambazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mcTobby

    Hawa majambazi walijichanganya na hiki ndicho kilichowakuta

    Tukio hili limetokea South Africa kwenye barabara ya Witbank N12 eneo la Mpumalanga. Abiria wawili ambao ni mume na mke wamepanda teksi . Kumbe teksi yenyewe ilikuwa na jamaa wengine+dereva. Kiuhalisia walikuwa kumbe ni majambazi na walifurahia kupata wateja ambao wangewaibia... Lakini nae...
  2. D

    Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  3. Genius Man

    Majambazi yameua alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi

    Majambazi yame uwa alafu yamejiundia tume kujichunguza wananchi mlipsaswa kuandamana mkesha wa mwaka mpya kupinga huu upuuzi
  4. M

    Tanzania ya leo, ni mara mia ukutane na majambazi kuliko Polisi?

    Tangu Camilius Wambura akiwa ZCO pale Dar (enzi za Magufuli), vitendo vya utekaji vilishika kasi. IGP wa wakati huo alijitahidi kudhibiti, lakini wapi. ZCO wa wakati huo (Wambura) alikuwa kwenye kikosi maalumu kilichokuwa kikiripoti kwa Rais (Task Force). Kikundi hiki tulikipigia kelele lakini...
  5. Rungwe88

    Tanzania tumeingia nyakati ambazo watawala ndio majambazi na wauaji

    Zamani wananchi tulijua kwamba majambazi, wauaji, waporaji ni vikundi vya kihalifu vya watu binafsi hivyo wananchi hatukua na wasiwasi sababu ilikua rahisi kukabiliana navyo kwa kwa namna mbalimbali tukishirikiana na vyombo vya ulinzi, watanzania tulikosoa, tulilalamika, tulipaza sauti...
  6. M

    Sijawahi kuamini kwa Tanzania tumefikia level ya majambazi wa kukodi, hawa huwa ni ndugu au watu wa karibu sana

    Kwa nchi za nje kuna huduma maalum za hitmen, hawa ni kazi zao rasmi kabisa Ila kwa Tanzania haya mambo bado sana, labda iwe kwa matajiri walio connected lakini kwa asilimia kubwa haya matukio na kesi za kutumiwa majambazi ukichunguza kwa karibu huwa ni wanafamilia au ndugu.
  7. Genius Man

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa

    Mfumo dhaifu wa uajiri askari ndani ya vyombo vya usalama unaweza kupitisha majambazi na wauwaji hali inayoweza kuhatarisha usalama wa taifa. Badala ya vyombo vya usalama kulinda raia vinakuwa vinajihusisha na ujambazi
  8. Genius Man

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa. Ni kinyume na sheria pia

    Mkunda hatuwezi kuwa watulivu wakati tunaibiwa na kutekwa kinyume cha sheria pia
  9. M

    Cctv video: Kuweni makini mnapokuwa mnarudi majumbani usiku, Anusurika kuvamiwa na majambazi Getini

    Hii imetokea 10/08/2025, Goba madale karibu na Joy Eslava , mdada alikua anasubiri kufunguliwa geti alisahau remote ndani. Wakati anasubiri, hao jamaa wa boda wakamvamia. aliweza kuwakimbia ila kaumia mkono walimkata na kisu, pia kaumia jicho, vioo viliingia kwenye jicho moja. Asubuhi amesema...
  10. J

    Dini zimetutengenezea wananchi wajinga na wanasiasa majambazi. Ambao wamekuwa watawala wa ovyo kupita washenzi

    Wanajamii forums, naomba niwasalimie tu kwa ufupi. Habari zenu wote? Nimatumaini yangu kuwa wote muwazima kama hamjatekwa na serikali ya watekaji. Leo nataka niseme kitu kimoja ambacho nimeonyeshwa na mababu zangu walio tangulia Aridhini. Nimekaa nikaongea nao nikiwa peke yangu . Maongezi...
  11. Fbn

    Majambazi na wezi si rahisi kujitawala ila vyombo vya dora vinaweza kujitawala na kujikataa kuwa sio wahusika

    Hakuna mtu mjinga hata kompyuta iwezi kudanganywa kuwa ijahusika wakati ndio inatenda. Hapa tanzania kama unafanya ujambazi au wizi uwezi kufanya kama yanayo fanywa mfano uwezi kusimamisha basi ukachukua mtu tena sio porini ni jiji kubwa alafu gari mnazotumia ndio hizo hizo mnazotamba nazo...
  12. Setfree

    Nimewasambaratisha majambazi, usiku, kwa Jina la Yesu!

    Ndugu zangu, hii ni habari ya kweli kabisa; sio chai! Uongo mimi nauchukia kama ukoma! Ilikuwa around saa saba usiku, nilikuwa safarini nikiendesha gari langu, kuelekea nyumbani. Barabara ilikuwa tulivu, ila haikuwa na taa za barabarani, hivyo giza lilitanda kila upande wa barabara. Sikujua...
  13. G

    Wale wenye biashara za familia, hii ndio njia sahihi ya kulinda mali dhidi ya watoto wenye tamaa na majambazi wataoingia kwa njia ya ndoa

    Huwa inatokea mmiliki wa biasahara hasa baba anapotangulia mbele ya haki haya hutokea, Mke hujimilikisha mali zote na pengine yeye kahusika kwenye kifo kwa tamaa ya mali kuna mtoto hasa wa kwanza hupenda kujimilikisha biashara yote akiamini ni haki yake Wengine wanaolewa au kuoa majambazi...
  14. matunduizi

    Hivi siku hizi hakuna majambazi?

    Kabla ya awamu iliyokatishia njiani na hii ya sasa ilikuwa haipiti wiki unasikia watu wamevamiwa, majambazi yameuwawa ila siku hzi hizo habari hazipo kwa kasi ile. Cha ajabu sikuhizi vimeibuka vituo vingi (benk ndogo) mitaani vinavyofanya kazi kwa miamala ya simu na Benki. Zamani ikifika saa 12...
  15. L

    Albert Chalamila: Mwizi Wa Tv, kuku wekeni Kwapani. Mkoa unashughulika na Majambazi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amewaeleza wananchi wa Segerea kuwa suala la vibaka lipo katika ngazi ya mitaa hivyo wahakikishe kupitia ulinzi shirikishi wanamaliza jambo hilo, kwani mkoa unashughulika na majambazi. Soma Pia: Albert Chalamila: Sasa naunda task force kubwa...
  16. M

    Azim Dewji: Sio polisi tu wanabeba silaha, hata majambazi

    Mfanyabiashara mashuhuri Azim Dewji ametoa msimamo wa kamati ya maridhiano na amani kufuatia kutekwa na kuuwawa kwa kiongozi wa CHADEMA Mohammed Ali Kibao ambapo amesema, wanalaani vikali kitendo cha mauaji ya kiongozi huyo na wanaungana na Rais Samia Suluhu Hassan kuundwa kwa tume huru...
  17. Mto Songwe

    Nani alisema kuwa serikali haifanyi biashara? Hii ni ajenda ya viongozi majambazi ya mali za umma

    Hii kauli ya kuwa Serikali haifanyi biashara wala haipaswi kujihusisha na biashara binafsi sifurahishwi nayo hata kidogo. Ajabu kwamba inatolewa na taifa linalo jitanaibisha kuwa linafuata sera za ujamaa na kujitegemea kwa mujibu wa katiba yake. Mpaka unajiuliza huo ujamaa na kujitegemea upo...
  18. Informer

    Zanzibar: Kifo cha utata cha Katibu wa ACT-Wazalendo Jimbo la Chaani chaibua minong'ono

    ACT-Wazalendo wataka uchunguzi ufanyike. Chama Cha ACT Wazalendo, Tunalitaka Jeshi la Polisi Kuhakikisha, Linawakamata na Kuwafikisha Katika Vyombo Vya Sheria, Wote Waliohusika na Kifo Cha Katibu wa ACT Wazalendo, Jimbo la Chaani, Ndugu ALI BAKARI ALI Chama cha ACT Wazalendo, tumepokea kwa...
  19. sanalii

    Mtaani kuna vibaka, serikalini kuna majambazi!

    1. Kama Mkuu wa Kituo cha PolisI anaweza shirikiana na wenzake wakaiba hela kisha wakamuua kabisa mtu, 2. Mfanyabiashara aliefariki "Kwa kujupiga risasi" anakwambia polisi alimpigia afisa wa TRA akimwambia "Njoo kuna deal kubwa", na afisa akaja akiwa kavaa pensi na ndala akiongozana na askari...
Back
Top Bottom