maisha

  1. JamiiForums Tanzania Elimu bure bado ghali kwa badhi ya wazazi, baadhi ya Wazazi Washindwa kupeleka watoto shule

    Baadhi ya wazazi katika wilaya Ya Hai, mkoani Kilimanjaro, wameshindwa kuwapeleka watoto wao kuanza kidato cha kwanza kwa mwaka 2023 kutokana na Kukosekana kwa fedha za michango mbalimbali inayofikia kiasi cha shilingi laki na sabini kwa kila mwanafunzi. Aidha Baadhi ya wazazi Wengine ambao...
  2. JamiiForums Tanzania Picha: Wazungu washindwa kuchomoa ndege iliyotua majini. Sisi tulivuta kwa kamba maisha yakaendelea

    Dege la kivita limetua majini nchini Marekani toka Novemba 20, wiki mbili sasa. Ni baada ya rubani kupitiliza runway ya uwanja kama Precision ya Bukoba Sasa wanasema wanahitaji mamilioni ya dollar kuichomoa, na ukisoma hiyo article bado wanajadili njia muafaka ni ipi Sisi tulivuta kwa kamba...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    UTANGULIZI Wakuu habari. Naandika hii story yangu ikiwa ni mwaka sasa nipo mtaani nikiendelea na harakati za kusaka ajira mpya toka mkataba wangu wa ajira ulipoisha mnamo Desemba 2022. Nimeamua kushea uzoefu wangu kwa mtindo wa Masimulizi (katika episodes) kwa kuamini pengine inaweza kuwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

    Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani.. Je " watu" ni kina nani haswa? A. MTAZAMO WA KIROHO: Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najiona maisha Yangu yakikosa nuru kabisa na kuelekea ukingoni

    Wakuu habari, poleni na majukumu ya kila siku. Ni hivi wadau kila nikishika simu yangu nakuiona app ya JF napata hasira natamani kupigiza simu yangu chini, Maana bila platform hii huwenda maisha yangu yangekua na amani na matumaini. Mimi sio mdau saana wakuandika nyuzi humu JF lakini...
  6. JamiiForums Tanzania Mkuranga, Pwani: Mwalimu afungwa kifungo cha maisha kwa kulawiti mwanafunzi

    Mahakama ya Wilaya ya Mkuranga, imemhukumu kifungo cha maisha jela, aliyekuwa mwalimu wa Shule ya Msingi St Mathew iliyopo Kongowe, Livingston Kyarwenda (40), baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mwanafunzi wake mwenye umri wa miaka tisa. Kyarwenda, mkazi wa Mbagala Chamanzi anadaiwa...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuonyeshwa mwenzi wa maisha ndotoni

    Habari wadau... Kwa wale ambao waliomba Mungu awape mwenzi wa maisha...Mungu akawaonesha kupitia ndoto picha ya mwenzi wake iwe wameshakutana tayari au hawajakutana na wakafanikiwa kuoana tupeni experience ilikuaje....muwatie moyo wale wanaoomba Mungu mwenzi wa Maisha
  8. JamiiForums Tanzania Kama hauyaelewi Maisha yako na kila unachogusa ni kigumu jaribu kusoma kitabu kinaitwa 'The Power of Your Subconscious Mind'

    Kama unahisi something wrong on ur life circulation, i recommend to you this book, 'The Power of Your Subconscious Mind'. Kama unahisi Maisha yako yamepoteza maana Soma hiki Kitabu. Kila kitu unakitafuta kipo ndani yako ni swala la kuweka juhudi katika kulielekea jambo na ku-reprogram your...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini gharama za maisha zinazidi kupanda nchini Tanzania na kupelekea umaskini kuongezeka?

    Je unataka kujua ni kwa nini uchumi wa nchi kama Tanzania unazidi kuwa ktk hali mbaya kila kukicha na gharama za maisha zinazidi kupaa na kusababisha umaskini kuongezeka basi soma makala hii kwenye linki hii hapa chini...
  10. JamiiForums Tanzania Mkutano wa 3 kuenzi Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad, Novemba 26, 2023 - Zanzibar

    Taasisi ya Maalim Seif Foundation ikishirikiana na Taasisi ya Friedrich Naumann Foundation imeratibu Mkutano wa Tatu wa Kumkumbuka na Kumuenzi Maalim Seif Sharif Hamad unaofanyika kwa siku mbili tarehe 25 - 26 Novemba, 2023 katika Hoteli ya Golden Tulip Airport, Zanzibar. Kiongozi wa Chama cha...
  11. JamiiForums Tanzania Zembwela/ Manara Wana maisha mazuri kuliko Profesa wa Tanzania

    Pamoja na kuwa na Elimu za Kuunga-unga Zembwela na Manara Wana maisha decent kuliko Maprofesa hapo SUA na kwingineko nchini
  12. JamiiForums Tanzania Wanasimba Mmeyakubali Maisha Bila Soka Biriani?

    Siku moja nikiwa naangalia Soka pale Gentlemen Sports Lounge (Sinza) huku najipongeza kidogo baada ya mihangaiko ya hapa na pale, nilimsikia jamaa mmoja meza ya pembeni akisema "Hii siyo Simba naijua mimi, Sisi hata tukifungwa ila tukiwa tumepiga soka safi "Sexy football au pira biriani basi...
  13. JamiiForums Tanzania TBC1 Kurasa Darasa: Kitabu Cha Maisha ya Rajabu Ibrahim Kirama

    ''Baada ya suluhu ile ya Captain Eltz na Alexander Le Roy iliyomaliza vita ile, Muro Mboyo aliondoka Machame kuelekea Old Moshi. Nyuma akiwa ameacha mke na mtoto mdogo wa kiume aliyeitwa Kirama Muro, ambaye mama yake alikuwa anatokea Kibosho. Jina la mama yake Kirama Muro lilikuwa Makshani...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli but it's just a stepping stone ni Mwanzo wa kuyaelekea Mafanikio Makubwa. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia...
  15. JamiiForums Tanzania Baada ya kufikisha miaka 30 uligundua kimebadilika nini katika Maisha yako?

    Nimebakisha miaka 4 kuingia 30. Zamani tunakuwa tuliona miaka 30 ni mingi Sana ila sio kweli. Jambo ambalo nimeona miaka 30 kwa TANZANIA Africa ndo Muda sahihi wa kujifanyia Self-Evaluation tathimini binafsi kwa kuangalia wapi ulikuwa wapi upo na wapi unahitaji ufike. Pia katika miaka 30...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna watu vyuoni/shuleni walikuwa serious na masomo tu, Makazini wapo walio serious na kazi, Ukiwa serious sana utafurahiaje maisha?

    Mtu anakuwa serious sana mpaka unashangaa. Vyuoni na shuleni enzi hizo unakutana na mtu yeye anachojua ni kusoma tu, Niliwahi kukaa chumba kimoja mwaka wa kwanza na mtu anabukua sio kitoto, yani ni yeye na chuo lakini nikawa nashangaa hata tukiongea ni mambo ya masomo tu, Nje ya kusoma ni kama...
  17. JamiiForums Tanzania Mambo niliyojifunza katika maisha yangu nikiwa nina miaka kati ya 20 mpaka 30

    MAMBO NILIYOJIFUNZA KATIKA MAISHA YANGU NIKIWA NINA MIAKA KATI YA 20 MPAKA 30 Anàandika, Robert Heriel Mtibeli Nilianza kutafuta maarifa na hekima tangu nikiwa mdogo, mtoto wa miaka saba hivi. Katika umri huo wakati wengine wakicheza Kibabababa na kimamamama mimi nilikuwa katika kusoma vitabu...
  18. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati asema Matukio ya Ubakaji nchini Sudan imekuwa sehemu ya maisha

    Hala Al-Karib ambaye ni Mkurugenzi wa Taasisi ya SIHA inayojihusisha kutetea Haki za Wanawake Barani Afrika amesema Asilimia 70 ya matukio yaliyorekodiwa ya Unyanyasaji wa Kijinsia ni Ubakaji wa Magenge Anasema hali hiyo imeongezeka hasa baada ya kuibuka kwa vita Aprili, 2023 Akizungumza na...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiijua ladha ya mwenzi wako kiroho na kimwili utafurahia sana maisha ya ndoa na uchumba

    Wapendwa, Kumeibuka kasumba na tabia isiyo ya kiungwana ya kuchepuka nje ya ndoa au uchumba hivi sasa. Na inaonekana sasa jambo hili ni kama la kawaida tu. Hapana. Si sawa hata kidogo. Tabia hii inahatarisha sana na kulegeza uhai na afya ya ndoa na uchumba katika jamii. Ndoa kadhaa...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliniharibia kabisa maisha yangu, hawa viumbe hatari sana

    Wakuu mu hali gani? Nashukuru mie mzima wa afya. Kuna kisa nimekuwa nacho kwa muda mrefu, sikuwahi kushare humu. Niliandika kiufupi tu ila naona ni vizuri nikashare kwa ukubwa ili tupate kujifunza na wengine. Sikuwahi kujua kama mwanamke anaweza kuwa chanzo cha kuharibika kwa maisha ya mtu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…