Katika maisha, kuna M a i s h a, halafu Kuna MAISHA, mengine MBELE.... Hii ni kwakuwa; Wenye Nchi Wanazaa watawala. Na Masikini Wanazaa ; watumwa.
Gari Hilo HAPO Juu limetengenezwa maalumu kwa Ajili ya wenye Nchi na watawala. Ni gari la KISASA Sana lenye Uwezo wa kujilinda na mlipuko wa bomu...