maisha ya watu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Waumini wa Mashahidi wa Yehova, Wasabato na makanisa mengi ya kilokole wanaona aibu jinsi makanisa yao yalivyo kimya

    Wahenga walisema hata saa mbovu kuna muda husema kweli. Haya yasingetokea waumini wengi sana wasingejua upande wa makanisa yao
  2. Maisha ya watu ni muhimu kuliko biashara au kitu chochote

    Habari za leo! 1. Kutafuta mtaji ni kazi ngumu sana. 2. Kuendesha biashara ikasimama ni kazi ngumu sana. Inahitaji uvuje jasho na uwe mstahimilivu. 3. Najua uchungu wa kuibiwa biashara na kuvunjiwa biashara uliyoisotea kwa miaka na miaka. 4. Kwa kujua hilo ndio maana tunawapa pole wale...
  3. E

    Bodi ya Waandishi wa Habari (JAB) ina matamko mengi kuliko watu iliowahudumia hivyo waache mzaha

    Katika siku za hivi karibuni Bodi ya Ithibati kwa waandishi wa Habari Nchini(JAB),imekuwa ikijitokeza mara kwa mara kuonya waandishi wasiosajiliwa na Bodi hiyo wasijishughulishe au kufanya kazi yoyote ya kihabari mpaka watakapothibitishwa. Hili linaweza kuwa Jambo jema lenye kulinda hadhi ya...
  4. Kanuni kuu zinazoongoza maisha ya watu wote ulimwengu

    Muumbaji wa hii dunia aliweka kanuni zinazojiongoza zenyewe kupitia matendo yetu ili kuibalance Dunia. Hizi si kanuni za dini fulani, Kwani zinafanya kazi kwa watu wote duniani bila kujali rangi, utajiri, jinsia, dini,madaraka,kwa anaeamini na asiyeamini nk. Ukienda kinyume nazo...
  5. PreGE2025 Mchungaji Msigwa: Tulilalamikia miradi mikubwa haigusi maisha ya watu huku chini, Rais Samia amefuata nyayo za waasisi wa taifa

    Wakuu Akiwa sehemu ya ujumbe wa Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla anayeendelea na ziara ya kikazi kwenye mikoa ya Kanda ya Kaskazini, Kada wa chama hicho Mchungaji Peter Msigwa akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Babati, mkoani Manyara ameeleza...
  6. Falsafa ya uzembe wa kiroho: Mambo yanayoharibu maisha ya watu bila wenyewe kutambua mapema

    Kuna namna mtu huharibika polepole. Hakuruki shimoni — anateleza kwa utulivu. Na hilo ndilo tatizo kubwa zaidi. Karibu kwenye tafakari ya kina kuhusu hali inayowaathiri watu wengi — bila hata wao kujua. 1. Maisha kwa Mkopo: Matumizi Mengi, Maumivu ya Kijinga Leo hii, watu wanaishi kwa...
  7. N

    DOKEZO Kivuko cha Pangani ni hatari kwa maisha ya Watu, tunalalamika kuhusu ubora wake lakini bado hali ni tete

    Hapa Pangani kuna kivuko kinachounganisha Pangani na Bweni kimekuwa na hitilafu za mara kwa mara na sasa kimegeuka kuwa chanzo cha usumbufu mkubwa. Wiki moja iliyopita, kivuko hicho kilipata hitilafu ya injini na kusombwa na maji kuelekea baharini, ingawa abiria waliokolewa kwa kutumia boti...
  8. P

    Tunaomba mamlaka na wamiliki waingilie kati kukemea na kuongea na madereva wao wa mabasi kwa vitendo hivi vya kuhatarisha maisha ya watu

    Kwenye hiyo video hapo, huyo dereva wa bus alikua na haraka gani ya ku overtake sehemu kama hiyo na anaona kuna mtu anakuja mbele yake. Na bado unampiga taa kali usoni. Hawa madereva hawana familia nini?
  9. Usaliti ulivyogharimu maisha ya watu niliowapenda

    Wakuu kwanza leo ndio nimejua kua nimetimiza miaka 10 jamii forum, mnipigie makofi tafadhaliiii🥳🥳🤣 Okay, nashare na ninyi hadithi hii ya kweli iliyonitokea mimi mwenyewe, hua naumia sana kila nikiwaza kwa ujinga wangu nilivyohatarisha mahusiano yangu na kuharibu maisha ya huyu binti, Mwaka...
  10. G

    Rais wetu anajali sana starehe kuliko maisha ya watu?

    Ni mwepesi kutoa pongezi kwa timu za mpira mara tu zinapopata ushindi LAKINI hana wepesi huo kwa watu waliotekwa. Anaona fahari kutoa zawadi ya fedha kwa timu ya taifa ama Simba na Yanga WAKATI kuna watu wanakufa kwa kukosa tiba mahospitalini kwa kuwa hawana uwezo wa kulipia matibabu (hawana...
  11. DOKEZO Basi la Nyehunge linaloenda Ngara lisipoangaliwa litasababisha madhara ikiwemo kupoteza maisha ya Watu, LATRA fanyieni kazi hii hali

    Wana Jamvi kheri ya Sikukuu na mwaka mpya 2025. Kuna jambo naomba lilete kwenu hapa, juzi Desemba 24 nilikuwa miongoni mwa abiria zaidi ya 71 tuliosafiri na Basi la Nyehunge linalofanya safari zake Rulenge - Ngara - Mwanza. Tulianza safari tu vizuri asubuhi lakini kumbe, mabasi haya yanayofanya...
  12. S

    Tupunguze desturi ya kuongelea maisha ya watu

    Muda mwingi niko home kuna mafundi wanaendelea na ujenzi tangu july nimegundua kitu Hawa jamaa ni wanaume lakini wanavyongelea maisha ya watu wananishangaza Muda mwingine niko ndani hawajui kama niko ni mwendo wa umbeya. hadi mimi humo ndani najadiliwa Kidogo watamix na story za mpira ila...
  13. Prof Tibaijuka alia ujenzi kiholela umegharimu maisha ya watu kariakoo

    https://youtu.be/gm6k0gc9PW4?si=StdiqWV7Dj1gTll5 =================== Naomba uongozi wa Jamiiforums Active mmfanyie mahojiano ya kina Prof Tibaijuka Pia mngemfanyia Mahojioano Mhandisi mzoefu wa Ujenzi wa Maghorofa marefu. Pia mngemfanyia Mahojioano Mtaalam wa Mipango miji...
  14. Chalamila na Janabi acheni kutafuta Kick kwenye Maisha ya watu

    Hapa Kariakoo jengo limeanguka. Hakuna vitendea kazi Chalamila na Janabi wamefika kupiga stories. Muda mrefu linahitajika greda kuja saidia kuinua nguzo nzito. Vifaa vya kuekolea hamna. Anakuja Mkuu wa Mkoa na Dr. Janabi eti kuokoa? Wanaokoa nini kama si kutafuta kick na attention kwa watu...
  15. J

    DOKEZO Utendaji kazi wa TASAC unahatarisha maisha ya watu na mali zao kwenye Ziwa Viktoria

    Mamlaka ya usimamizi wa usajili wa majini TASAC katika mkoa wa Mwanza, wameendelea kwa muda sasa kufanya jambo la hatari kwa maisha ya watu na mali zao kwa kushindwa kusimamia usafiri wa Majini katika ziwa Victoria. Hivi karibuni zilitokea ajali mbli karibu na maeneo ya Kirumba jijini Mwanza...
  16. G

    "WATANIONAJE" imeharibu maisha ya watu wengi sana kimaendeleo

    Kijana amemaliza degree yake karudi mitaa aliyokulia, yupo bize kuomba kazi na kutembeza bahasha bila mafanikio, kujitolea kwenye taasis kwa mshahara wa laki 1, n.k. Hawezi kufungua sehemu ya kunyoa nywele, kuwa seremala, kuuza mgahawa, n.k. kuna hofu ya watanionaje Mchezaji wa mpira, msanii...
  17. Ewe kijana acha kujifanya mtenda mwema kwenye maisha ya watu hao wanakuzunguka hakuna anayekuwazia mema

    Acha kujifanya mtenda mwema katika maisha ya watu hao wanaokuzunguka hakuna anayekuwazia mema huu ni ukweli japo ni mchungu...... Maisha tuliofikia hivi sasa watu wanaotuzunguka maeneo ya makazini, mtaani,majumbani ambao tunawaona kama ndugu,jamaa,mashemeji au marafiki hakuna anayekuwazia mema...
  18. Ajabu sana: Dereva wa basi ahatarisha maisha ya watu 60 kwa kuikwepa bajaj yenye watu watano

    #HABARI Abiria waliokuwa wakisafiri kutoka Dar es salaam kwenda Dodoma kwa kutumia basi la Kampuni ya Shabiby namba T 341 EEU, wamenusurika kifo baada ya basi hilo kuanguka katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro na kujeruhi abiria kadhaa. Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo wanasema...
  19. M

    Kinachosababisha watu wengi kuharibu maisha ya watu makazini ni wivu, uchawi na kufuatilia maisha ya mtu ambayo hayana mahusiano na kazi mnayofanya

    Utasikia huyu jamaa anakunywa kila siku. Wewe inakuhusu nini? Utasikia jamaa huwa haishiwi hata katikati ya mwezi. Shida yako nini? Utasikia jamaa mtaani anamdemu kibao. Tatizo nini? Dili na masuala yanayokuunganisha na mtu kwenye kazi sio maisha yake binafsi kiasi cha kumuonea wivu na kumroga.
  20. Tusifanye usambazaji wa konekshen za watu kuwa jambo la kawaida, tunaharibu maisha ya watu

    Naona tumefanya unyanyasaji wa mtandaoni uonekane kama kitu cha kawaida bila kujali kwa kufanya hivyo tunaweza kuharibu maisha ya watu wengi sana, kwasababu unyanyasaji au bullying kwa kimombo inaathiri sana afya za akili za watu. Siku hizi mambo mengi yapo hadharani na yanaelezewa kwa upana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…