maisha magumu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sinywi pombe, sio mtu wa wanawake situmii kilevi chochote na bado maisha magumu, shida itakuwa Nini?

    Kijana Nina misimamo sina makundi situmiii kilevi ila sina maisha Wala Hela tatizo linaweza kuwa Nini wakuuu
  2. Sababu hasa ya maandamano ya "mwaka huu" ni maisha magumu na ufisadi

    Mwaka huu yametokea maandamano mengi sana ya Gen-Z. Huko Nepal watu walitiwa hasa hasira na wanaowaita Nepo babies. Yaani watoto wa vigogo wanaoonyesha maisha ya anasa mitandaoni huku watu wa kawaida wakiishi maisha magumu. Waliona anasa hizo kama ishara ya ufisadi. Zamani wanepali wengi...
  3. Hii imetokea kijijin kwetu kabisaa maisha magumu sanaa

  4. SMS ya Ndugai ya mwisho aliyomtumia ndugu yake, aonesha gari la kwanza alilofanyia kampeni 2000

    Tazama kuanzia dakika ya tano.
  5. M

    Wafanyabiashara takribani 90% wana maisha magumu. Kijana usidanganyike na mafanikio ya wachache, Business is not for everyone!

    Hii ni tahadhari kwa vijana kuhusu uhalisia wa biashara, si kuwakatisha tamaa wala kuwaambia waajiriwe. Biashara ni njia nzuri, imetajirisha watu lakini si hadithi ya kupendeza kama inavyochorwa mitandaoni. Biashara ni vita, inahitaji akili, mikakati madhubuti, uwezo wa kujifunza kila siku...
  6. Maisha magumu, vijana wengi Dar es salaam wanavaa pete za majini.

    Ukiona mtu kavaa lipete likubwa especially waumini wa dini fulani maarufu jua kuwa hilo ni jini la ulinzi au mvuto. Kwenye dini ile kumiliki jini it's like a fashion. Mipete ya kijani, blue, silver and so. Unapewa kulingana na nyota yako au uhitaji wako. Mimi hawa wafugaji wa majini hata salamu...
  7. Kwanini mtu ambaye hujitoa mhanga kujali, kusaidia sana, kuonyesha huruma kupitiliza kwa kila mtu kazini na kwenye mahusiano huishi maisha magumu sana

    Jambo hili linaigusa hali halisi ya watu wengi wenye moyo wa huruma, unyenyekevu, uvumilivu na tabia ya kujali wengine kupita kiasi. Hawa ni watu ambao kiasili ni wema, lakini mara nyingi hupitia maisha magumu sana kuliko hata watu wenye roho ngumu. Hii hutokea kwa sababu kadhaa zifuatazo: 1...
  8. KWA nini licha ya Ongezeko la watu wanaozungumiza FEDHA, UTAJIRI, MAFANIKIO Bado watu wengi maisha magumu?

    Katika zama zote za uwepo wa Tanzania nadhani HIKI ndio kipindi ambacho pesa na utafutaji vinazungumziwa kuliko huko nyuma Makanisa yameacha kuwahimiza watu kwenda mbinguni wakiwa wamechoka. Wachungaji, walei, wainjilisti wanafundisha watu wafanikiwe kiuchumi, kifedha, kimiradi Waalimu wa...
  9. Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  10. Maishà magumu Sana wadau nahitaji msaada

    Habari Ndugu zangu naombeni msaada hata ajira, iniweze kunisaidia kiuchumi niongezee kipato, Mimi KIJANA nimeajiliwa sehemu Ilaa mshahara Wangu ni Mdogo Sana na hautoki kwa wakati, inaniliazimwi niingie kwenye madeni Sana, alafu unakuta unategemewa nyumbani Nina watoto bado nauli kwenda ofisini...
  11. Wenye ajira za ujira mdogo wanaishi maisha magumu/ kuteseka zaidi kuliko wasioajiriwa kabisa

    Ukishakua una ajira, haijalishi unalipwa kiasi gani, jamii inategemea unapata hela, hivyo, kuna kuandamwa na ndugu jamaa na marafiki. kwa upande wasio na ajira, wao jamii haitegemei makubwa kutokwa kwao, ingawa wanaweza kua wanapata hela kubwa zaidi ya waioajiriwa. Sasa fikiria, mtumish...
  12. R

    Sitakuja kusahau, Ndugu anaejitafuta aliniambia anadaiwa kodi, nikakopa laki sita kumbe ilikuwa kodi ya miezi minne !

    Imagine una ndugu kahitimu chuo bado kijana mdogo tu, Ajira kama mnavyozijua hazina guarantee kama huna connections, so inabidi aanze kujitafuta. Unga mnamtumia, mchele mnamtumia, si unajua tena mambo ya upendo wa familia na kusapotiana. Kuna kipindi akaniambia ana shida sana ya kodi kabanwa...
  13. Kwanini watu Tunalalamika MAISHA MAGUMU?

    Kuna sababu nyingi zinazochangia watu kulalamika kuhusu ugumu wa maisha. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Gharama za Maisha Kupanda: * Bei za bidhaa na huduma muhimu kama chakula, nyumba, na usafiri zinaongezeka, na hivyo kuwafanya watu wengi washindwe kumudu mahitaji yao. *...
  14. “Watanionaje” neno hili linaweza kukufanya ukaishi maisha magumu sana

    Watu wengi hasa wasiokuwa na ajira wameshindwa kutoka ndani na kujaribu kufanya baadhi ya shughuli za kujiingizia kipato kwa kuwaza kuwa “watamuonaje” Ukijaribu kuangalia kuna vitu vingi vya kufanya kwa waliohitimu vyuo mbalimbali huku mkiendelea kusubiri ajira. Vitu hivyo ni kama...
  15. Wakuu naombeni msaada, sijui ni mizimu ya ukoo inanisumbua, Ushauri wenu ni muhimu sana

    Wakuu nahisi ishu yangu ni ya kiroho, sijui ni mizimu ya ukoo, sijui nini wakuu Kila siku mimi nikuota narudi shule, mara kushtuka usinguzini kuona malue lue, muda mwingine naamka kabisa na kusimama alafu nikishajitambua narudi kulala. Nafanya mambo ili hayana matunda wakuu sio kwa ya hali ya...
  16. Jamani kitaa ni kigumu sana, ukikutana na watu wa namna hii usiache kutoa msaada

    Ukikutana na watu wa namna hii basi fanya kununua kitu Hata ukiwa hauna njaa fanya kuwa sehemu ya furaha kwao. Kitaa ni kigumu sana wanandugu.
  17. Huu mwezi mbona kama mgumu! Hivi mnatumia mbinu gani kuishi unapopita kwenye magumu na kutoka mshindi

    Hapa nilipo hata tsh buku 10 imenipiga chenga mwenye nyumba anadai kodi Watoto wanahitaji ada kwenda shule Ndugu wanaomba niwapige kampani wazazi nao wanataka pesa Nimeenda kopa kwa jamaa nao wanalia hali ni tete Na kitaa mishe mingi zimesimaa wakuu hivi mnatumia mbinu gani kuishi za...
  18. Tanzania watu wanaishi maisha magumu sana ila hawasemi wala kulalamika!

    Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu. Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe. Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi...
  19. Wanawake uswahilini wanaishi maisha magumu sana jijini hapa; bora hata waliopo vijijini huko

    Kama kawaida yangu ya kuchanja mbuga mitaa ya watu, Ijumaa hii nilijikuta nikiangukia mitaa ya Vingunguti. Kusema kweli, mengi niliyoyaona yalifungua macho yangu kuhusu hali halisi ya maisha ya wanawake wanaoishi maeneo haya. Machache yafuatayo yanaweza kutoa taswira: 1. Wanawake wa huku ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…