maisha bora

Maisha Bora is a village in central Kenya. It is in the eastern province of the country and is a subset of the town Isiolo in this division.
There are 1,500 inhabitants who speak the Turkana language and, predominantly, share a Somalian heritage and the Muslim religion. The main form of employment is slaughterhouse work, with rope making and bread baking.
There is currently a single-roomed nursery hut within the community but no school. Children who do attend school are generally earning an income from a young age. Combined with the small average income of residents the poor access to education has led to the low levels of literacy and school completion rates today.
A local stream provides water for washing and drinking, though it is not piped, and electricity and formal sanitation systems are also not present in the community. The rates of HIV/AIDS have been affected by the high level of truck traffic passing through Isiolo which has fuelled a sex trade regionally.

View More On Wikipedia.org
  1. Malengo yangu nitakayoyatimiza nikifikisha miaka 40

    Ndoa stable kabisa ambayo iliyopitia magomvi kadhaa lakini haijawahi kuwa na tishio lolote la kuachana. Watoto wa 4 huku wa kwanza wao akiwa na miaka 18,yaani wawili wa kike na wawili wa kiume. Nyumba yangu iliyozungukwa na eneo lenye ukubwa wa hekari 1 na humo ndani nitakuwa nifanya maendeleo...
  2. T

    Je, Mungu ameumba baadhi ya watu fulani kuwa masikini?

    Wakuu kuna swali hili mara zote linanitatiza aisee je kuna watu mungu ameumba kuwa maskini? Na kuna wengine ameumba kuwa matajiri? Na kama hivyo kwanini? Nchi nyingi za kiafrika watu wengi ni masikini kulinganisha na bara la ulaya,America na Asia? Kwamba kuna watu wa rangi fulani l(afrika) na...
  3. Siasa safi huleta amani na maisha bora

    Siasa safi lazima isababishe ya fuatayo 1: siasa safi itazaa tunda la Amani 2:Siasa safi itasababisha uchumi wa nchi husika Julia 3: Siasa safi inaruhusu Uhuru wa kujieleza 4:Siasa safi itaruhusu Uhuru katika Mahakama na vyombo vya habari Siasa safi ni ustawi wa nchi na siasa safi nizao la...
  4. L

    Usalama wa kisaikolojia (Chanzo cha maisha bora)

    USALAMA WA KISAIKOLOJIA (Chanza cha maisha bora) Usalama wa kisaikolojia ni hali ambayo watu wanajisikia huru kutoa mawazo, kushiriki katika mazungumzo, na kuchukua hatari bila hofu ya adhabu au madhara ya kijamii. Hii ina umuhimu mkubwa katika maendeleo endelevu, yanayohusisha kukidhi mahitaji...
  5. Unachokikwepa hakiachi kukufuata

    Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk. Wengi wetu tulijiapia kuwa hatutojikuta kwenye hizo situation na kuna ule msemo, "labda nirogwe". Ila sooner enough tumekuwa...
  6. Najihisi kukata tamaa lakini sitokata, nitapambana

    Natumai mko salama. Ningependa kushiriki nanyi wana Jf kuhusu hali yangu ya kifedha na biashara yangu. Biashara yangu imekuwa ikifanya kazi kwa mwaka sasa, lakini mapato yameanza kupungua kutoka kiwango kilichokuwa awali hadi kufikia nusu (ni miezi mitano sasa) Nina mfanyakazi niliemlipa kila...
  7. Maisha yanapozidi kuwa magumu na uwezo wa kufikiria unakuwa chini

    Huu ni mtazamo wangu binafsi ambao ni based kutokana na experience nilizopitia mpaka Sasa. Maisha yanapokuwa magumu mara nyingi fikra zinakuwa ni zilezile unatumia energy na Akili kubwa kuwaza utakula nini, utalipaje Kodi ama utavaa Nini na kwa bahati mbaya ukipata pesa kidogo unazotumia ili...
  8. Vitu gani vidogo vidogo unavyovitumia umevimiliki kwa muda mrefu sana

    Aisee mimi katika vitu nimekaa navyo kwa miaka mingi na mpaka sasa bado ninavyo na vinaniwezesha katika service za mwili wangu ni taulo na sanduku la nguo ambalo nimelitumia mara nyingi kuhifadhi documenties. Kwa kumbukumbu zangu naona kama nilinunuliwa taulo na sanduku nikiwa shule ya msingi...
  9. Moment: Benki ya Finca ilivotunyoosha mimi na familia yetu kisawa sawa

    Daah maisha yanatupitisha kwenye moments ambazo ni ngumu kusahaulika. Moja ya moment ambayo sitakuja kuisahau ni jinsi Bank ya Finca ilivotufanyia somba somba alooo. Nakumbuka mwaka 2010 tumekaa ofisini na mama (ofisi ya kushona nguo maana wazazi wangu wote ni mafundi kushona na kipindi hicho...
  10. Wadau nisaidieni ushauri kimawazo kwenye jambo hili

    Hamjambo wana JamiiForums Wakati mwingine unaweza kuwaza sana hadi kichwa kinataka kubasti, kuna kipindi kabla sijawa mtu mzima nilikua napishana na mtu anaongea mwenyewe na kurusha mikono hewani, nilikua najiuliza sana, ila badae sana nikapata majibu. Wadau nina nyumba mbili katika kupiga...
  11. M

    Mathias houseboy anayeongoza kwa maisha bora Tanzania

    Mzuka wanajamvi! Houseboy wa Mhamasishaji, mchekeshaji, mwandishi wa habari na msomi mashuhuri nchini DC Mwijaku anayeitwa Mathias ndiye Houseboy pekee anayeongoza kwa maisha bora Tanzania. Kajengewa kabisa kaghorofa severnt quarter pembeni ya jumba la 1.3 billion. Anaishi utadhani siyo...
  12. C

    Maisha yamejaa huzuni kuu, nini kinaleta furaha maishani?

    Habari za wikiendi familia? Ni kitu gani huweza kuleta furaha katika Maisha? Mali? Mke? Watoto? Marafiki? Ibada? Au ajira? Mwenzenu siku za karibuni nakuwa mwenye huzuni sana. Sijioni kuwa mwenye furaha japo mambo mengi niliyoyatamani kuyafikia angalau kwa kiasi namshukuru Mungu. Wakati...
  13. Ujumbe kwa wanaume kuhusu wanawake

    Nawakumbusha: Unaponunua gari daima ni bora kwenda kwa muuzaji na kununua gari jipya kabisa. Lakini ikiwa hutaweza kununua gari mpya kabisa, basi upate moja bila wamiliki wengi wa zamani, mara tu unaponunua gari lililotumika, unahitaji kufahamu ukweli kwamba, hautakuwa peke yako kuiendesha...
  14. Nilimshirikisha mama yangu mafanikio yangu nikadhani amefurahi, baada ya muda kila nikiwasiliana naye ananiambia isijekuwa naenda kwa waganga

    Mimi nikijana wa miaka 27 nilishinda betting kiasi kikubwa tu cha pesa lakini sikuwahi kumweleza mwanafamilia yeyote na wala hakuna anayefahamu, nikaamua kujenga nyumba kupitia zile pesa za betting kwahiyo nikawa na nyumba ya ghafla Sikutaka kumshirikisha ndugu au mwanafamilia kwa haraka...
  15. Namna ya kupata furaha ya kudumu

    ☺️☺️☺️☺️☺️Let’s go☺️☺️☺️☺️☺️ 1. Kwanza kabisa furaha unaweza ukaitengeneza wew mwenyew, ivo furaha ni chaguo. Unaweza kuchagua kuwa na furaha, hata unapokabiliwa na changamoto.😊 2. Furaha si kuhusu kuwa na kila kitu unachotaka. Ni kuhusu kutaka kile ulicho nacho.☺️ 3. Furaha si kuhusu kuwa...
  16. F

    Nini kinasababisha ndoto za vijana wengi kufa?

    Mimi Nina miaka kadhaa namtumikia Mungu chini ya huduma ya Synagogue of Christ ministry lakini swali langu ni; Nini kinaua ndoto za vijana wengi?
  17. Mpende kila mtu, mheshimu na jua ana mchango fulani kwenye maisha yako

    Dunia yote ni kitu kimoja, sisi binadamu ni kitu kimoja. Huu ndiyo ukweli ambao ukiuelewa na kuuishi kila wakati utakuwa na maisha bora. Tumekuwa tunaambiwa na jamii zetu, kwamba kundi letu ni bora kuliko la wengine, kwamba rangi yetu ni bora au asili na kabila letu ni bora kuliko nyingine...
  18. Kipi Bora Tanzania tuwe wengi maskini au wachache wenye maisha bora

    Ukienda /kuishi vijijin utagundua watoto wanazaliwa ni wengi sana halafu 75% ya familia zote ni maskini.. Mfano kwimba misungwi, buchosa kijana maskini 30yrs ana watoto 5 Ukichek rasilimali zilizopo ni ardhi tu elimu wanayopata ni very poor ukuchek serikali Ina Mipango gani na future...
  19. Je, maisha bora ilikuwa kwa kila Mtanzania au kwa baadhi tu ya Watanzania?

    Maisha bora kwa kila mtanzania ilikuwa 2005 hadi 2015. Tulidanganywa hivyo kipindi hicho, tukadanganyika kwa miaka 10, baada ya hapo jomba akasepa akiwa na kitita cha kutosha kumpa maisha bora yeye tu na watu wake. Hivi kwa nini huwa tunakubali kudanganywa kirahisi hivyo? Sasa tupo na "kazi...
  20. Maisha Bora na Mbwa: Jinsi Wanavyotufundisha Kuwajibika, Kuwa na Uvumilivu, na Kuonyesha Huruma

    Utangulizi: Je, unajua kuwa mbwa ni marafiki wa binadamu tangu miaka 15,000 iliyopita? Je unajua kuwa mbwa wanaweza kusoma hisia zetu kutokana na sauti na uso wetu? Mbwa ni marafiki wa ajabu na wapenzi wa dhati wa binadamu. Wana uwezo wa kuleta furaha, faraja, na usalama katika maisha yetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…