mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Usikute Yeye Ni Ndumilakuwili: Mapenzi ya Kijanja au Kuingizwa Chaka?

    Mwanaume au mwanamke wako anapokufanyia vituko vya kushangaza, kama ku-mute simu akilala au kubadilisha password mara kwa mara, unajua kuna mambo. Hivi unadhani ni sawa kuingia kwenye mahusiano ya kutomwamini mtu? Au kuna uwezekano kwamba huyu mtu wako ni mdumilakuwili? Karibu hapa tujadili...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je kati ya mwanamke na mwanaume nani anafaidika sana kwenye mahusiano ama ndoa ?

    naomba mnisaidie kujibu ili swali maana watafiti hewa wamenichanganya na mchoro wao huu chini
  3. JamiiForums Tanzania Hii tabia iliyowaingia wanawake wa nyakati hizi, kwa kutothamini mapenzi (hisia) na kuendekeza mahusiano pesa ililetwa na nani?

    Kama utakuwa umefanya utafiti kidogo, utagundua wanawake waliozaliwa miaka ya 80 mpaka leo hii, walio wengi mahusiano yao yanabebwa na pesa. Wanakuwa na hisia na mwanaume, iwapo huyo mwanaume anaweza kuhudumia au kuhonga. Kwa mazingira ya sasa, mwanaume huna hela usitegemee kupata mahusiano...
  4. JamiiForums Tanzania Mahusiano ya mbali ni aina nyingine ya utapeli

    Mahusiano mazuri ya kimapenzi ni yale ambayo wote wawili kwa maana ya mwanamke na mwanaume mpo mkoa mmoja hivyo ni rahisi kuonana. Pindi mmoja wenu anapokua mkoa mwingine mfano wewe mwanaume upo Dar na mpenzi wako yupo Kigoma tayari mahusiano hayo yataanza kupoteza mvuto. Mara nyingi kwenye...
  5. JamiiForums Tanzania Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza

    Ukiwekeza kwa mwanamke basi muda wote utakua unaishi na mashaka ya kumpoteza. Uoga wa kumpoteza utakufanya kushusha chini standards zako na kupuuzia red flags unazoziona kutoka kwake. Iwe kumsomesha, kumfungulia biashara mwanamke n.k, usifanye ilo kosa, kwa sababu utakua mateka wa wema wako...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ule utaratibu wa wanandoa au wapenzi kuwa na vitanda viwili urudi tu italeta afya ya mahusiano

    kwa miaka ya zamani kwa baadhi ya makabila familia zilikuwa na utaratibu wa wenza kuishi nyumba mbili tofauti ambapo mme aliishi nyumba kubwa mke nyumba ndogo pamoja na watoto wake Baadhi ya makabila wao chumba kimoja kitanda viwili Kila mtu kitanda chake mme kitanda chake mke kitanda chake...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Nicaragua yatangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel, yaituhumu kuwa ya Serikali kifashisti na mauaji ya halaiki

    Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Israel yazidi kutengwa kimataifa Serikali Nicaragua inayoongozwa na Rais mhafidhina Daniel Ortega imetangaza kuvunja mahusiano ya kidiplomasia na Israel wakipinga uvamizi huko Gaza. Hatua hiyo imetangazwa rasmi na Makamu wa Rais Bi Rosario Murillo ambaye...
  8. JamiiForums Tanzania Sifa hizi ukiwanazo huimarisha mahusiano yako na jamii yako pia na Mungu

    1)UNYENYEKEVU Kuacha kujiona wewe ni bora na mwenye thamani na umuhimu kuliko wengine/wenzako. Kuacha majivuno,kiburi na dharau. 2)KUTOHUKUMU WENGINE. unapokuwa unanyooshea wengine kidole kuwahukumu ,mkono wako huo mmoja wenye vidole vitano,ukimnyooshea mtu kidole shahada kimoja, vidole vyako...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana wenzangu, Kama upo single endelea kuwa single, achana na mahusiano

    Kama upo single baki tuu kuwa single, maana usipotoa shida ukitoa shida vilevile.
  10. JamiiForums Tanzania Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa Wateja, ningependa kuwaambia CRDB Bank kuwa wana huduma mbovu kwa wateja

    Kwa hio mnataka kujifanya mmelemewa na wateja, aaah wapi, hii benki kimei aliondoka nayo na waliobaki ni wazinguaji tu. Kama ukuu wenu ndio unawapa viburi tambueni akaunti zetu sio mikataba na ipo siku kuna benki kubwa itakuja nyingine na tutaondoka kama lile tangazo la hamia Airtel. Mikopo...
  11. JamiiForums Tanzania Kuwa na mahusiano na kibonge ni raha sana

    Sisi tuliojaliwa kuwa na wapenzi vibonge, tunapata raha sana kuliko wale wenye wapenzi wenye muonekano wa namba moja iliyosimama. Muda wote nashawishika kumtoa 'out' ata kwa mkopo kwa sababu muonekano wake unanishawishi. Na hii baridi baridi hii, ngoja nimpigie simu angalau tukapate moja moto...
  12. JamiiForums Tanzania Utaachwa kwenye mahusiano kwasababu ya uchafu

    Shtuka! Usafi wa mwili wako ni jukumu lako.... Swaka kinywa chako zaidi ya mara moja kwa siku. Kama shughuli zako ni za juani baada ya kumaliza kazi koga vizuri na sugua vizuri kwapa zako, tena upake mafuta ya kukata harufu mbaya ya kwapa. Kwa wanawake mnaosuka, kama nywele za kichwani...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Alia kama mtoto baada ya kugundua mke wake bado ana mahusiano na mzazi mwenzie

    Sikio la kufa...
  14. JamiiForums Tanzania Vipi hali ya mahusiano kati ya Umbwe na Lyamungo? maana kipindi hicho tunasoma tulitambiana sana hadi kufanyiana vurugu

    Wazawa wa pale wana kuambia eneo lile kuna laana athari ya vita ya wa kibosho na wa machame. Damu ilimwagika sana, infact hata mimi niliwahi kuonesha mahala walipokowa wanatupia miili ya victims wa vita kati ya Wakibosho na Wamachame miaka hio ya zamani. Sasa shule ya umbwe ipo jamii ya...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ukigeuka mshauri kwenye mahusiano yako jua upo unalazimisha afanane na unayemtaka, tayari umechanganya mafaili

    Kuelimishana ni muhimu kwenye mahusiano ila ukiona kila siku unakuwa mshauri kwake jua upo unamlazmisha afanane na unayemtaka. Kwenye mahusiano kuna kukosea vigezo baadhi na kukosea vigezo vingi kwenye machaguo, aliyekosea vigezo baadhi huyu ni rahisi kujifunza kuvumilia ila kwa aliyekosea sana...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Bora mahusiano yakulize huku una hela kuliko kulizwa na hela huna 😔

    BORA MAHUSIANO YAKULIZE HUKU UNA HELA KULIKO KULIZWA NA HELA HUNA 😔 Mahusiano ni eneo ambalo linazungumzwa sana ikiwa ni kiashiria kuwa wengi hujihusisha huko ila pia changamoto ni nyingi sana huko . Usipojidhibiti utajikuta muda mwingi unafikiri tu mahusiano kuliko mambo mengine na huo ndio...
  17. JamiiForums Tanzania Huyu jamaa anajiita kiredio mbona ni Kama anaharibu mahusiano ya watu na kuleta ugomvi

    Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli?? Unakuta wanajinadi kabisa Leo tunataka kuharibu mahusiano, mm binafsi nimeshindwa kuwaelewa
  18. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa Kitanzania huwa hawajiamini wanapokua kwenye mahusiano na sisi wanaume Mabrothermen?

    Kwanza ieleweke mwanaume brothermen sio kwamba ni bishoo,hapana yani sisi ni wale wanaume watanashati, tunajipenda hatuna shobo za kijinga kwa binadamu yeyote, tuna vijisent vya hapa na pale vya kuendesha maisha yetu ya kila siku, tunasukuma ndinga pendwa na vijana wa mjini kama vile crown etc...
  19. JamiiForums Tanzania Ongezeko la Ombaomba kwenye mahusiano: We huogopi?

    Achana na wale unaokutana nao pembeni ya barabara wakihitaji msaada wa chochote, sikuhizi kuna ombaomba hawa ambao ukiingia kwenye mahusiano tu basi utaletewa matatizo chungu nzima. Nashauri serikali iingilie kati hii suala ni gumu mno. Nchi ina maskini wakutupwa sema wanashindwa tu kujipanga...
  20. JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kati ya ibada na uwepo wa mishumaa?

    Wengi wetu tumekuzwa tukishuhudia mara kadhaa mishumaa ikiwekwa moto katika vipindi mbali mbali vya ibada. Jambo hili limekuwa likifanyika katika ibada za imani tofauti tofauti duniani tangu enzi na enzi. Lakini, si wote wanaweza kujua ni nini hasa maana yake, na wengine wamezoea kufanya hivi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…