mahusiano

  1. JamiiForums Tanzania Sifa za mwanamke ambaye yuko kimaslahi kwenye mahusiano

    SIFA ZA MWANAMKE AMBAE YUPO KIMASLAHI KWENYE MAHUSIANO Mwanamke ambaye yupo kimaslahi kwenye mahusiano anaweza kuonyesha sifa zifuatazo: 1. Kuweka Kipaumbele Kwenye Faida za Kifedha: Atazingatia sana hali ya kifedha ya mwanaume wake na kuonyesha nia ya kujinufaisha kifedha zaidi kuliko kujenga...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume unatakiwa kuwa katili kwenye soko la mahusiano?

    Utakapokua umejipata wanawake watajisogeza kwenye maisha yako, sasa hiki ndicho kipindi ambacho hautakiwi kuwa na huruma kabisa kwa mwanamke. Kumbuka walijiweka mbali na wewe kipindi unajitafuta, hivyo basi na wewe utakapojipata jiweke mbali na wanawake masikini. Kumbuka hakuna mwanamke...
  3. JamiiForums Tanzania Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano!

    Mambo 5 Muhimu Ya Kuyajua Unapoingia Kwenye Mahusiano! (1) Sio kazi ya Mwanaume kukuhudumia hivyo acha kabisa kumuambia matatizo yako mwanaume ambaye ndiyo unakutana naye. kama akikusaidia sawa, asipokusaidia basi vumilia, msome taratibu, angalia mambo mengine katika mahusiano na si kuhusu...
  4. JamiiForums Tanzania Sifa za nice guys katika mahusiano

    SIFA ZA NICE GUYS KWENYE MAHUSIANO Katika muktadha wa mahusiano, "nice guy" anaweza kuwa na sifa kadhaa zinazomfanya awe mwenza mzuri na anayejali. Hapa kuna sifa za "nice guy" kwenye mahusiano. Uzi👇🏽 1. Mkarimu Anapenda kutoa msaada na kujali mahitaji ya mwenza wake bila kutarajia malipo...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa ku-cheat ni wake

    Kutokana na hili sakata la Baltazar kuna mambo Mengi ya kujifunza hapa, nitaelezea kwa summary tu; Most of the women ambao walicheat na Jamaa , wapo kwenye mahusiano na matajiri wa kubwa na pia powerful men. Kwa waliodhan kwamba Hawa wanawake walicheat kwasababu ya pesa au umaarufu au chochote...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Swali kuhusu mahusiano ya kirafiki/kijamaa kazini..

    Habarini, Nimekuja gundua maofisini kwenye eneo la kutaftia riziki, kwenye day to day interaction watu wako na mindset tofauti sana, ukilinganisha na eneo kama chuo. Nimegundua kuwa watu wanachunga sana wanachoongea kwa bosi na wafanyakazi wenzao, na waki interact na wafanyakazi wenzao...
  7. JamiiForums Tanzania Pesa sio kitu pekee cha kumfanya mwanamke atulie na wewe kwenye ndoa au mahusiano

    Siku hizi kuwa na pesa sio kigezo cha kumfanya mwanamke wako au mke wako atulie kwenye ndoa au mahusiano yenu. Hili limethibitishwa na alichokifanya yule afisa wa Equatorial Guinea ambae ametembea na wanawake wengi na kufanikiwa kuwarekodi wote na kibaya zaidi hata wale wanawake wenyewe walikua...
  8. JamiiForums Tanzania Wanandoa wa siku hizi wanapaswa kupeana Password za Simu au kila mtu na yake?

    Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
  9. JamiiForums Tanzania Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso, Aziz Ki aachwa

    Beki wa kushoto wa Simba SC, Valentin Nouma amerejeshwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Burkina Faso (The Stallions), kinachojiandaa kucheza michezo miwili ya kufuzu AFCON 2025, huku nyota wa Yanga Stephane Aziz KI akiachwa tofauti na ilivyozoeleka. Chanzo: mwanaspoti_tz
  10. JamiiForums Tanzania Mambo madogo ambayo Wanandoa ama Wapenzi wanaoishi Pamoja wakifanya yanaweza kuzalisha migogoro kwenye mahusiano

    Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la wandoa wapya ama Wapenzi waliokuwa wakiishi pamoja Kwa muda mrefu kuingia Kwenye migogoro na hatimaye Ndoa zao kuvunjika ama wakati mwingine uchumba wao wa muda mrefu kuvunjika. Tukiwa kama Wazazi ama watu tulioishi na kupitia mahusiano tunaweza...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Jenga Ndoto au Jenga Mahusiano: Chagua njia yako

    Kwa wadogo zangu wote ambao bado mnapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  12. JamiiForums Tanzania Jenga ndoto au jenga mahusiano. Unatakiwa kuchagua kimoja

    Vijana wenzangu wote ambao bado tunapambania ndoto zetu. Kama hauwezi kuwa single kwa miaka kadhaa ya kujitafuta basi uamuzi wa mwisho kabisa kuufanya angalao jitahidi kuwa na mwanamke mmoja tu(ingawa bado itakugharimu) Mahusiano ni gharama sana kwa mwanaume, hasa katika kizazi hiki ambacho...
  13. JamiiForums Tanzania Usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?

    Hivi wadau nina swali moja. Hivi ule usemi wa kwamba mwanamke akikupenda hakuombi ela ni una ukwel kiasi gani?
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Shemeji wa Kiume huwa na hisia za chuki unapokuwa na mahusiano na Dada yake?

    Wakuu tujadiliane hili kidogo Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
  15. JamiiForums Tanzania Utandawazi usikuharibu, Epuka mahusiano na binti au vijana wa shule! Jela kupo na vyumba vya cell za polisi vinahitaji watu.

    Habari wana Jamiiforums. Ni matumaini yangu muwazima wa afya! Naomba niende moja kwa moja kwenye mada, miaka ya hivi karibuni kutokana na ukuaji wa Teknolojia ya habari na Mawasiliano taarifa nyingi za mahusiano baina ya wanafunzi na walimu au hata watu wengine tu ambao si walimu zinafika...
  16. JamiiForums Tanzania MTEGO; "Babe ukitaka tudumu kwenye haya mahusiano/ ndoa yetu basi kila mtu abakie na simu yake"

    Habari za muda huu wazalendo wenzangu poleni na mihangaiko, harakati na purukushani za kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila shaka hiyo sio kauli ngeni miongo mwa wanaojiita wapendanao ni kauli ambayo imekaa kibusara au kwenye kheri. Hii kauli imevikwa muonekano wa hekima lakini ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Jamani, tuwe wakweli: Hali ni mbaya siyo kwenye Ndoa pekee bali hata Mahusiano mengine

    Kumetokea nini kwenye jamii ya Sasa mbona kila sehemu NDOA zimekuwa shubili Yani amani hakuna furaha ya MAHUSIANO hakuna tabu tupu shida ni nini?
  18. JamiiForums Tanzania Mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu

    Wakuu habari zenu. Naomba ushauri wa namna ya kuweza kuendelea na mahusiano na mwanamke mwenye hasira za karibu sana hata kwa jambo ambalo halina maana ya mtu kukasirika. Mana naona uvumilivu unaelekea kunishinda.
  19. JamiiForums Tanzania Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha nyuma kimaendeleo?

    Kila mmoja utamani kuingia kwenye mahusiano; haijalishi anapata faida au hasara, ingawa wapo wachache wanaopata faida, na pia wapo wengine wanapata hasara na kujikuta wanarudi nyuma miaka 20 iliyopita kimaendeleo. Sasa ndugu zangu nawauliza; Mahusiano kwako, yamekupa mafanikio au yamekurudisha...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wanafanya mahusiano kama ajira

    Inakuwaje binti anaishi na familia yake, namaanisha baba na mama na bado analilia kuhudumiwa kama vile mtoto yatima?? mahusiano ndio kwanza yana wiki mbili sijakuowa unaishi kwenu na bado unataka kuhudumiwa kama mke wa wan ndoa, Aisee nimeshangaa sana bora nitafute visa tu nikimbie nchi hawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…