mahusiano

  1. M

    JamiiForums Tanzania UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO.

    UJINGA NA ULIMBUKENI SABABU NYINGINE ZINAZOCHANGIA UKATILI NA MATUKIO YA AJABU KWENYE MAHUSIANO. Matukio ya kushangaza kwenye mahusiano sio ya kusubiri bali karibu kila siku tunaamka na matukio yenye kushangaza kama sio kujinyonga basi ya mmoja kumuua mwingine au ubakaji wa watoto. Nimekuwa...
  2. JamiiForums Tanzania MBINU 6 ZA MWANAUME KUTOSUMBULIWA NA MAPENZI/ MAHUSIANO.

    Shuka nayo, 🚨🚨🚨NB;Kama hujui kingereza achana na Mapenzi kafanye mambo mengine. 1. The Will to Walk Away From Her Most men fear losing a girl, so they cling, over-invest, and tolerate disrespect. This weakens their position and kills attraction. The man who is willing to walk away at any...
  3. JamiiForums Tanzania Nimegundua mtu anapokuja kukuomba ushauri wa mahusiano unakuta anataka umuelezee yote ili apate faraja tu ila sio kugusia yeye kuachana na huyo mtu

    Yani mtu akija kukuambia maswala yake ya kimapenzi ujue tu anataka faraja ya kuwa huyo wanaezinguana nae labda anaweza kubadirika ila ukimwambia ukweli kwa jinsi kete zilivyo unaelekea kuliwa, unakuta mtu anakukubalia kishingo upande alafu alnarudisha masheji. Ndio maana watu walisema mapenzi...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini mada za mapenzi na mahusiano zinatrend Sana?

    Hii inakera sana na inanichukiza natamani niache kuingia social networks au kusikiliza main stream media au kuangalia main stream media kwa huu ujinga ambao unatrend yaani all the time and all the day mijitu inazumgumzia ngono ngono ngono,mapenzi,usaliti na upumbavu ungine kama huo yaani...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanamke wa kuingia naye kwenye mahusiano yenye malengo

    Awe na sifa zifuatazo Awe na miaka kati ya 25 mpaka 30 Awe Mkristo Awe tayari kupima hiv Awe anaishi dar es salaam Elimu bachelor ya kozi yeyote ile Sifa zangu Nina miaka 33 Kazi; duka kariakoo Sina mtoto Elimu bachelor
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kim Soo Hyun kikabiliwa na hasara ya Tsh. Bilion 34,madai ni mahusiano na Kim Sae Ron akiwa na miaka 15

    Muigizaji maarufu wa Korea Kusini, Kim Soo Hyun, yuko katika hatari ya kupoteza zaidi ya dola milioni 13 baada ya madai kuibuka kwamba aliwahi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji Kim Sae Ron alipokuwa na umri wa miaka 15, pamoja na madai ya kumlazimisha kifedha Kwa mujibu wa ripoti ya...
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Najirani ambaye ni mdada kaumbika haswa lakini najiuliza nimuanzaje?

    Habari Wana JF Katika mapambano ya kurudi uchumi wa kati Kwa spidi nilibahatika kuama mkoaa nakwenda kuanzisha maisha upya hii nipamoja na kuachana na totoz zotee nilizokua nazimiliki Sababu iliyopelekea nianzishe maisha mapya nikutokana na uzinzi uliopitilizaa kwani nakumbuka katika wiki...
  8. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kudate na mtu ambaye hata iweje hutamani kurudiana naye?

    Katika pita pita zangu nilibahatika kuwa na huyo kijana wa kisukuma kwa jina namuhifadhi, huyu kijana aliniambia yeye amesoma chuo lakini alikosa ajira kaamua kuwa dereva boda boda, mara nyingi alikuwa anafanyia online hizi uber na bolt. Basi huyu kijana alikuwa na wivu sana nilikuwaga naenda...
  9. JamiiForums Tanzania Wazazi kuhamasisha mabinti zao, kuwa kwenye mahusiano biashara

    Kutokana na jua kuwa kali, ardhi kuwa kame, na mazao kukaukia shambani; baadhi ya wazazi wamekuwa chachu ya kuwashawishi mabinti zao waingie kwenye mahusiano biashara. Yaani mdada anaingia kwenye mahusiano ili apate kitu, hasa hela; ili aweze kuwahudumia wazazi wake. Mabinti wamegeuzwa kuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Ila wanaume na nyie mnataka nini?

    Unakuta mtu upo serious nae ajawai kukushirikisha anapitia nn anapitia hard tym gani baadae ukiombwa ela oh huoni napitia wakati uliwai niambia?😎 Mtu unakaa nae for like 3yrs na kuendelea kanapata mimba unakuja et Sina malengo nae asa iyo miaka mlikua mnafanya mwenzio kaona mna malengo afu...
  11. JamiiForums Tanzania All in all mahusiano ni magumu

    Tutafute ela tu #2025 #2026 #2027 Stay focusedπŸ’”πŸ’”πŸ“Œ
  12. JamiiForums Tanzania Usikatae ndoa sababu ya kufuata mkumbo

    #Kataa Ndoa sio slogan ya kimasiharamasihara usiikurupukie kama hujaielewa inahusu nini, kuna wanachama wanajiunga na chama hiki bila kujua vigezo na masharti ya chama hiki. Wapo wanaodhani ni chama kinachokataza kuwa na mwanamke kabisa. Wapo wanaodhani chama hiki ni uasi wa sheria za kidini...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa hali ilivyo sasa na mpenzi wako, ikitokea amefungwa jela, unamsubiria au unasonga mbele na mwingine?

    Ikitokea kawekwa ndani miaka mitano na kuendelea, vipi unamsibiri au ndiyo fursa yako ya kuachana bila lawama. Kwa wanandoa, mwenza wako kufungwa ni sababu tosha kwa mujibu wa sheria ya kuomba talaka. Tuambie, unasubiri au ndiyo kwaheri ya kuonana.
  14. JamiiForums Tanzania Mitego ya Kisaikolojia: Kwanini Wanawake Wanajazana Kwa Waganga na Wachungaji? Je, Hizi sio Pande Mbili za Sarafu Moja?

    Waganga wa Kienyeji na Wachungaji wa Maombi Binafsi: Ni Tofauti au Ndugu Wanaotumia Lugha Tofauti? πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ https://www.jamiiforums.com/threads/waganga-wa-kienyeji-na-wachungaji-wa-maombi-binafsi-wajanja-wanaocheza-na-akili-za-wanawake.2314695/
  15. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wa sasa kwenye mahusiano wako kibiashara (wana selfish motives), wanaume tuache ku-fantasize romantic cinderella stories

    Habarini Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki. Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty...
  16. JamiiForums Tanzania Kaniambia baada ya mfungo hatokuja kabisa nyumbani, ndio ananiacha hivi hivi?

    Hivi hata kama lugha za kuagana kimasihara sizijui hivi ndio kweli ananiacha hivi hivi au?πŸ™„ Jamani kuwa na 24'yrs kwa mwanaume aliyekamilika sidhani kama ni ajabu kuwa namahusiano japo kidini haipo hivyo, siyo? Sasa mimi ni mkristo safi kabisa mwenye mawaa kwa Mungu tuπŸ™Œ. Sasa haka katoto...
  17. JamiiForums Tanzania Mahusiano kuanzia miaka 25+ kijana wa kiume hakikisha una hivi vitu muhimu

    Habari Wana JamiiForums Mambo muhimu kwa kijana wakiume mwenye Umri 25+ Unapokuwa kwenye mahusiano β€’ Kipato β€’ Chumba uwe umepanga β€’ Shughuli yoyote itakayokuweka ubize Vingine Wadau Ongezea kama nimesahau
  18. JamiiForums Tanzania Sio kuhukumu au kunyanyapaa: aina ya wanawake ambao mwanaume inabidi awaepuke maana katika mahusiano probability ya mambo kwenda kombo ni kubwa

    Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi kikubwa. Hapa ni baadhi ya mambo ya kuzingatia: 1. Single Mothers: Changamoto za Kuwa Kwenye...
  19. JamiiForums Tanzania Usije kujaribu kumuomba msamaha mwanamke hata kama umekosea!

    Eti ni udhaifu 🀷🏾 Hivi ni kweli wanaume mnafikiri kwa namna hii au ni baadhi tu ya vijana wasiojielewa? Kama humuombi mkeo au mpenzi wako msamaha ukikosea, huwa unamalizaje migogoro kwenye mahusiano yako? Mwisho kabisa, Je, ni sahihi kwa huyo mwenza wako pia kutukukuomba msamaha akikosea, au...
  20. JamiiForums Tanzania Usiwe na mahusiano ya kudumu(malengo) na mwanamke mlevi (cha pombe) utanishukuru baadae

    Habarini za weeknd wana JF Mimi swali langu ni moja tu kuna uhusiano gani kati ya unywaji pombe na umalaya au uchepukaji wa wanawake walio kwenye mahusiano ? Yaani kama demu wako au mke wako anatumia pombe umeliwa mkuu we jua tu unagongewa vya kutosha wahuni wanamuinamisha vya kutosha niamini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…