mahusiano katika ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Mpenzi wangu tangu amepata kazi amebadilika sana. Amekua hapendi nijue ratiba zake

    Mimi ni kijana wa miaka 25 nina mpenzi wangu ambae tumekua na mahusiano kwa kipindi cha miaka sita sasa yeye pia ana umri sawa na mimi lakini amenizidi miezi kadhaa Tumekua na mahusiano ambayo tumekua tunaishi kwa kusaidiana kwa jambo lolote lile Mwenzangu alibahatika kupata kazi mapema baada...
  2. Last_Joker

    Wanandoa wa siku hizi wanapaswa kupeana Password za Simu au kila mtu na yake?

    Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko kwenye enzi ya teknolojia, ambapo simu imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya mtu binafsi – kuna wale...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Wanawake wasomi punguzeni kuringa na dharau kuna fursa mtazipoteza na baadae kujutia

    Kuna baadhi ya dada zetu wamesoma na wanaelimu nzuri tu. Lakini wasomi wakike jamani wanaringa sana na kujiona wao ndiyo kila kitu na dharau za kutosha. Wengi wao wanaona wao ndiyo bora mbele ya mwanaume lakini hata huko maofisini wapejipa majina yao wakijiita mafemenisti mh jamani ni balaa...
  4. Hammer11

    Najisikia vibaya sana, Mpangaji mwenzangu ananitesa kimapenzi

    Iko hivi hapa nimepanga niko natoka kimapenzi na mpangaji mwenzangu. Kinachoniudhi huyu bi mdada mara aje na wanaume awapikie wale wasepe, mara aondoke akalale hukoo simuoni kurudi. Daaah ni shida sana
  5. SISIS

    Nimemwambia akipata kazi na pesa ndiyo nitajua kama ana mapenzi ya kweli na mimi, kakasirika

    Nipo kwenye mahusiano na binti 2 years aliasomea ualimu na kazi hajawah pata mahusiano 2 years hakuna nachofaidika zaidi ya mbususu hana offer yyte hata likitokea la kutokea napambana mwenyewe. Hapa kati kati akawa anafosi nimuowe nikamwambia tu wewe hapo ulipo tabia zako halisi bado...
  6. realMamy

    Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

    Katika hali ya kawaida watu wengi hujikuta wamefanya makosa mbali mbali ikiwamo ya Usaliti. Makosa hayo yanaweza kufanyika kwa kukusudia au kwa kutokukusudia. Wakati mwingine inakubidi ufanye kosa hilo ili uweze kufanikisha Jambo fulani. Je limewahi kukutokea hili, na ulivukaje?
  7. B

    Ni kweli mapenzi hayana muongozo ila hakuna mwisho wa kujifunza

    Katika Harakati za Kila siku basi mdachu 🤣maeneo fulani dodoma mara Rafiki angu wa kike ambae hatukua na mazoea sana akapiga simu gari yake "24.O Harrier" Tako la nyani imekamwa njiani ameishiwa uwese/mafuta Mimi Niko town AREA D wakati huo Sina gari wala pikipiki, ikabidi nichukue kidumu cha...
  8. Se Busca

    Msaada: Njia gani naweza kutumia nikamsahau mwanamke niliempenda?

    Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea sana mwanamke wangu amekuwa alikuwa malaya ila akaahidi kuwa atatulia na kuwa mwanamke bora...
  9. Valentine Yusuph

    Nimebaki njia panda Juu ya kufanya maamuzi magumu kwenye mahusiano yangu ya mapenzi

    Nawashukuru kwa mawazo yenu nyote, nimepata maamuzi mazuri ya kuchukua. Nimegundua humu jf kuna watu hawana busara. Mtu akileta wazo unatukana kwanini!?
  10. Moto wa volcano

    Mapenzi yanakawaida ya ku expire

    Mapenzi yanakawaida ya ku expire, unaweza kumpenda mtu lakini kama tabia haivutii, moyoni anaanza kuyeyuka anakuwa hakushtui tena.
  11. M

    Nimenuniwa na mpenzi wangu

    Hello JF, Mwenzenu nimenuniwa Na mwanaume Wangu siku ya 3 Leo sijui kosa langu ni Nini. Last time kuongea Nae ilikua jumapili na tuliongea vizuri tu Kesho yake kimya nilimpigia Na SMS nikamtumia nikamuliza tatizo nini hakunijibu. Mpaka dk hii kimya. Na social media anaingia vizuri tu. Na Mimi...
  12. realMamy

    Umemsave kwa jina gani Mpenzi/Mke/Mume kwenye simu yako?

    Watu wengi hutumia Majina mazuri ya kuvutia kwa watu wanaowapenda. Na kuna wale wenye wapenzi wengi hutumia Majina ambayo sio mazuri sana kuwa save watu hao kwenye simu zao. Mimi nime msave 💖 wewe je, umemuandika vipi?
  13. Hammer11

    Nifanyeje ili mke wangu asigundue kuwa sikufanya mapenzi hivi karibuni?

    Iko hivi mimi nina mke wangu, sasa anarudi kati ya siku hizi mbili toka huko Uarabuni, alikuwa anafanya kazi. Sasa kilichonileta ni kwamba yeye anakuja na tumekuwa hatujaonana kwa miaka miwili. Sasa sasa mm nilimdanganya miaka yote sijafanya mapenzi na mwanamke yoyote kitu ambacho si kweli...
  14. J C

    Hii kauli inamaanisha nini wadau?

    Mwanandani wangu wa kike amekuwa na tabia kuvutia mambo kwao mathalani kuwafundisha watoto tamaduni za kwao ikiwemo lugha na kusifia mambo mengi ya kwao. (kabila lake). Sasa Jana ghafla akaanza kumuongelea baba yake mzazi kiufupi siye aliyemlea alimzaa tu wakalea wengine hata MAHARI hakupokea...
  15. M

    Wanaume ni kwamba hamtakagi kupendwa ama ni nini?

    Unakuta Mwanaume mwanzoni mwa ndoa au mahusiano anakua na juhudi sana na wewe utapigiwa sana message kwa sana mawasiliano asubuhi mchana jioni attention kwa sana the moment tu mwanamke ameanza tu ku reciprocate the love ni kama anakua ameharibu. Mwanaume huyo anaanza kurelax juhudi zinapungua...
  16. C

    Ndoa yangu ikitimiza Miaka 20 nitasherekea 20th anniversary japo mimi si Mkrisitu

    Jamani wenzangu tuliomo kwenye ndoa zaidi ya miaka 15 njooni tupongezane ndoa sio mchezo wa Simba na Yanga ndoa inahitaji mental maturity and stable income, hususani ukiamua kua na wake wawili, ndoa ya mke moja inatesa mno, nilianza ikanishinda. Nimebakiza miaka mitatu ni timize 20th...
  17. W

    Katika ndoa, hisia ya Mume ni Upendo na hisia ya Mke ni Uhitaji!

    Hili ni gumu kufikirika, ila ukikaza fuvu lako vema utang'amua! Nimetaja ndoa, ila of course ni kwenye mahusiano ya mapenzi baina ya mwanaume na mwanamke Tumezoea kuambiwa ndoa ni ya wapendanao. Jamani hii si kweli. Mwanamke hajapewa nafsi ya Upendo! Alichonacho moyoni ni Uhitaji tu. Anahitaji...
  18. realMamy

    Utafanya nini endapo utagundua kuwa umeingia kwenye ndoa na mtu ambaye si sahihi?

    Katika utafiti mdogo nilioufanya nimegundua watu wengi waliingia kwenye ndoa bila kujuana vizuri kiundani. Sasa baada ya kuingia kwenye ndoa ndipo Mke/Mume anagundua mapungufu Mengi kwa mwenzi wake ambayo hakuyajua kabla ya Ndoa. Kama ilivyo ndoa za Kikristo zinasema hadi Kifo kiwatenganishe...
  19. N

    Vipi Mdau, Ukiona sign gani kwenye mahusiano ya kimapenzi unajua hapa hatufiki mbali?

    Kuna sign au ishara gani ambazo tunaziona mwanzoni mwa uhusiano tunajua kuwa hapa hamna kitu huu uhusiano haufiki popote. Mi nikiona Mwanaume hanipi hela wala haongelei habari za hela yee maneno matupu tupu tu, moja kwa moja najua hatutofika mbali. Naanza kumpotezea akipiga simu sipokei na...
  20. M

    Mwanamke anaweza kumpima Mwanaume kama anampenda kwa kutumia vigezo gani?

    Mwanamke anaweza kumpima mwanaume kwamba anampenda kwakutumia vigezo gani? Naombeni wataalam mnieleze hii imekaaje.
Back
Top Bottom