Oyaa wakuu
Wazee sijui hawanielewi
Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama,
baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu.
Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa vipepeo wa dunia,
Uchumi bado hauko stable , pesa inanitosha mwenyewe.
Ingawa nina vipepeo viwili...
Wakuu,
Hii ni story ya kweli kabisa
Huyu jamaa alioana na mkewe mwaka 2004. Lakini mkewe alikuwa ana-earn zaidi kuliko yeye. Jamaa aliku.
wa anatafuta kazi na muda mwingi alikuwa yupo nyumbani wakati mkewe yuko kazini
Yaani inshort mwanamke ndo alikuwa anaichakarikia familia while jamaa...
MUME MWENYE MAHABA NI ZAIDI YA DHAHABU.
INAHUSU WANAUME
Sherehe ya ndoa ni ya siku moja ila maisha ya ndoa yanaendelea kila siku....
Kila kijana anaetaka kuoa hupenda aonekane bingwa wa mapenzi kitandani lakini yuko zero kwenye mahaba,mapenzi ya kitandani ni ya mda mfupi sana ila mahaba...
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa nzima kuanzia asubuhi mpaka jioni kwa siku 5 au 6
Kadiri watu wa jinsia tofauti wanavyotumia muda...
Wanawake wakiacha umeingia katika uzee age 60+ wanaanza kujaribu kukuua .
Akishindwa mbinu zake anaanza kutumia Watoto ambao mmewapata .
Sasa wewe Kama Baba usipokuwa makini utashangaa unaanza kutengwa na watoto bila kujua Sababu ni nini .
Mimi ilikosa kidogo nimpoteze Mzee wangu Ila niliamua...
Kila jinsia inacheat. Iwe wanaume au wanawake. Hii mentality ya kudhani wanaume ndiyo wanacheat saana ni uongo.
Kama wanaume ndiyo wanacheat saana, Je wanacheat na kina nani? Kwamba hawana wapenzi wanaocheat nao.
Mfano: Mwanaume aliyeoa akiwa anacheat na mwanamke. Huyo mwanamke atataka mke wa...
Habari ndugu zangu.
Hapa naenda moja kwa moja kwenye mada husika.
Nihusishe na kichwa cha habari hapo juu.
Katika mambo ya vijana kuoa, wengi wetu huwa hatujawa stable kwenye suala la kiuchumi kwa sababu bado tunakuwa kwenye hatua za mwanzo za kujitafutia.
Je, Baada ya kuoa, maisha...
Kama ilivyo maisha ya wakulima walivyomakini kuchagua shamba, kuandaa shamba na kujua muda sahihi wa kupanda mbegu.
Ndivyo maisha ya ndoa yatakiwa kuwa!
Siku hizi unaweza kuwatembelea watu asubuhi ukakuta wanapendana lakini jioni ukaambiwa wameachana kisa simu!
Simu imekuwa faraja kwa...
Unakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani
Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa "kutokusamehe"
Wakati mwingine ni rahisi kuhama kutoka yanga kwenda Simba kuliko kusamehe
Salamaleko
Tumsifu yesu kristo.
Mnamo miezi kadhaa iliyopita tarehe kama ya leo nilinuia kuacha kabisa Uvutaji sigara na ulevi wa pombe. Na kupunguza au kupumzika kufanya ngono.
Na sasa nipo naendelea vizuri sana najisikia amani nina confidence ya hali ya juu naishi maisha yangu kawaida bila...
Za 'masiku' familia yangu ya JF!
Kuna jambo linatafakarisha na wakati mwingine kukasirisha sana. At age of 15-24(peak), wasichana wengi hawapendi kushauriwa.
Ukitaka uwe adui yake, basi wewe jaribu tu kumshauri chochote. Hawapendi kuingiliwa, na ndipo katika wakati huu huwaacha marafiki zao...
Umri kwenye 20s ulikuwa wa majanga sana kwenye suala zima la mapenzi. Ni umri ambao nilikutana na maumivu makali kutoka kwa baadhi ya wasichana wa umri wangu. "Wewe sio type yangu", "Sikutaki", "Kama huwezi hudumia siwezi kuwa nawe", "yaani hata nikivuta hisia za kukupenda haziji" nk... ni...
Ukipita vijijini ndani ndani mikoani kuna wanawake wazuri sana.
Ila shida ya miji au jiji wengi kujisumbua kutafuta mwanamke ni wavivu ndio maana wengi uwangusha vilio wanapofika nao mijini.
Kuna mikoa ina wanawake wazuri sana ila kama unataka kuoa fanya habaki huko huko kijijini sababu pia...
Sisi Watibeli Moja ya miiko yetu ni kutokuwa waharibifu. Hatuharibu vitu vizima. Hatuharibu vitu ambavyo ni vyema. Ukiwa mwema Sisi Watibeli hatuwezi kukutendea ubaya. Hiyo ni Kanuni yetu na ipo damuni.
Watibeli ni mwiko kuharibu wanawake waliowaaminifu. Wanawake Safi hatuwezi kuwachafua...
Mapenzi hayana bima wala hayana formula maalumu ambayo kila mtu anaweza kuitumia na kupata matokeo yenye kufanana.
Unaweza kutengana na mwenza wako saa yoyote,muda wowote bila kujali uwekezaji wako kwake.Hauwezi kudumisha mahusiano kama mwenza wako ameamua muachane.Utadumu na mwenza wako pale...
Kuelekea 2025 .
Kauli mbiu ni "Protect your Energy" (Linda nguvu yako).
Katika maisha kuna mambo mengi Sana ambayo huleta destruction , disappointment and heart fainted.
Katika mahusiano
Usihangaike kumbadilisha mwanamke / mwanaume ili aendane na wewe utaumia Sana Ila wewe unaweza kubadilika...
Kwa wanandoa wengi, kuanzisha biashara ya pamoja ni ndoto ya kuwa washirika wa maisha na kazi.
Unapomuona mpenzi wako sio tu kama mwenza wa maisha bali pia mshirika wa biashara, inatoa nafasi ya kuimarisha uhusiano wa kifamilia na kifedha.
Lakini wakati ndoto hiyo inaweza kuonekana kama...
Nakwenda kwenye maada
Siku ya ijumaa mke wangu alitoroka na kisa cha kutoroka ni wiki mbili zilizopita mama mkwe aliniomba aondoke sehemu na mke wangu na mimi kulingana na mipango ya hapa kwangu nikaona nimebanana nikamwambia mama mkwe sina nafasi kwa sasa mama akanielewa ikapita hiyo
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.