mahmoud thabit kombo

Mahmoud Thabit Kombo is a Tanzanian politician serving as the country's foreign minister.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Mahmoud Thabit Kombo Aandaa Futari Maalum kwa Watumishi wa Wizara Kuimarisha Mshikamano wa Ramadhani Jijini Dodoma

    Tarehe 25 Februari 2026, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo, aliandaa futari maalum kwa watumishi wa Wizara jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuimarisha mshikamano, upendo na ushirikiano mahali pa kazi katika kipindi hicho cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu...
  2. Waufukweni

    Waziri Kombo: Leseni za michezo ya kubahatisha zipunguzwe

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema atamshauri Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha, Balozi Modest Jonathan Mero, kupunguza leseni za michezo ya kubahatisha ili vijanawaujikite zaidi katika shughuli za uzalishaji. Waziri Kombo...
  3. H

    Minister Kombo delivers a Special Message to the Crown Prince and Prime Minister

    The Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation informs the general public that, Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation Hon. Amb. Mahmoud Thabit Kombo accompanied by the Minister of Information, Culture and...
  4. H

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya nje

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akifuatilia majadiliano ya Mkutano wa pili wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Afrika na Urusi maarufu kama “Russia-Africa Partnership Forum” unaoendelea jijini Cairo nchini Misri.
  5. H

    Waziri Kombo akutana na Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Marekani ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Ndogo ya Afrika ya Bunge hilo

    Katika mwendelezo wa mazungumzo na wadau mbalimbali muhimu katika kukuza uhusiano baina ya Tanzania na Marekani, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alikutana kwa mazungumzo na Mhe. Jonathan L. Jackson, Mbunge wa Bunge la Wawakilishi...
  6. Ojuolegbha

    PostGE2025 Tanzania Strengthens Diplomatic Cooperation with the Internation

    𝗣𝗥𝗘𝗦𝗦 𝗥𝗘𝗟𝗘𝗔𝗦𝗘 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝗦𝘁𝗿𝗲𝗻𝗴𝘁𝗵𝗲𝗻𝘀 𝗗𝗶𝗽𝗹𝗼𝗺𝗮𝘁𝗶𝗰 𝗖𝗼𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝘁𝗵𝗲 𝗜𝗻𝘁𝗲𝗿𝗻𝗮𝘁𝗶𝗼𝗻𝗮𝗹 𝗖𝗼𝗺𝗺𝘂𝗻𝗶𝘁𝘆
  7. DuaZaMama

    PostGE2025 Waziri Kombo: Tanzania hatutakufa kwa kukosa fedha za EU

    Bunge la Umoja wa Ulaya (EU) limepitisha azimio linalopendekeza kusitishwa kwa ufadhili wa fedha za maendeleo kwa Tanzania, likieleza wasiwasi juu ya mazingira ya kisiasa na ukiukaji wa haki za binadamu ulioripotiwa baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Uhusiano wa Tanzania na Umoja wa Ulaya...
  8. Ojuolegbha

    Tanzania, Korea zapanda mbegu ya ushirikiano mpya wa kiuchumi

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea zimefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kiuchumi kupitia Jukwaa la Biashara la Tanzania–Korea (Tanzania–Korea Business Forum) lililowakutanisha wadau wa uwekezaji na biashara wa serikali na sekta binafsi kutoka mataifa yote mawili...
  9. Ojuolegbha

    PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akila kiapo kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
  10. Ojuolegbha

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu, Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

    Diplomasia ya Kiuchumi imepewa nguvu Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ashika usukani Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
  11. Ojuolegbha

    PostGE2025 Balozi Mahmoud Thabit Kombo aapa kuwa mbunge

    Mbunge wa Kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiapa Bungeni jijini Dodoma tarehe 12 Novemba, 2025.
  12. Ojuolegbha

    Waziri Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Morocco nchini Tanzania Mhe. Zakaria El Guomiri, Kikao hicho kimefanyika leo Julai 02, 2025 kwenye ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam, ambapo...
  13. Ojuolegbha

    Balozi Thabit Kombo: Diaspora wawekeza bilioni 7.5 UTT - AMIS

    DIASPORA WAWEKEZA BILIONI 7.5 UTT - AMIS Mhe. Mahmoud Thabit Kombo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
  14. Roving Journalist

    Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 34, Mei 28, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg "Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia." "Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
  15. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake nchini Vietnam

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amehitimisha ziara yake katika Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam. Katika ziara hiyo ameshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Taifa hilo na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu...
  16. Ojuolegbha

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliye

    Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Mwakilishi Mkazi mpya wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo ya Kilimo (IFAD), Bw. Sakphouseth Meng aliyefika kujitambulisha katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam baada...
  17. Ojuolegbha

    Hon. Mahmoud Thabit Kombo, Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation with Hon. Péter Szijjártó, Minister of Foreign Affairs and Trade

    Hon. Mahmoud Thabit Kombo, Minister of Foreign Affairs and East African Cooperation with Hon. Péter Szijjártó, Minister of Foreign Affairs and Trade of Hungary during Official Bilateral Meeting on strengthening cooperation between Tanzania and Hungary in Budapest
  18. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SA

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe Balozi Mahmoud Thabit Kombo akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa pamoja EAC- SADC unaojadili masuala ya amani nchini DRC.
  19. Ojuolegbha

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mahmoud Thabit Kombo amekutana na kufanya mazungumzo na Kamati Ndogo ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, katika mazungumzo hayo yaliyojikita katika masuala mbalimbali ya maboresho katika Tasnia ya Diplomasia...
  20. Ojuolegbha

    Waziri Kombo ashiriki hafla ya maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Taifa la UAE iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje ya UAE akiwa ni Mgeni wa Heshima. Hafla hiyo imefanyika mjini Abu Dhabi tarehe 05 Desemba, 2024 ambapo Naibu...
Back
Top Bottom