mahari

Mahari is a ritualistic dance form from the eastern Indian state of Odisha that used to be performed at the temple of Lord Jagannatha at Puri by devadasi dancers called maharis. Following the abolition of the devadasi system, the dance has been discontinued at the Jagannatha Temple but is now performed on stage at many venues. The Mahari dance spurred the development of both Odissi and the Gotipua dance forms of Odisha. The Maharis have been among the foremost exponents of both traditional Odia dance and Odissi music.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahari ni mnada wa mwanamke au Ndoa Takatifu?

    Siku kijana anapowekewa karatasi yenye mahesabu ya ada za chuo, gharama za chakula cha miaka 20 iliyopita, na orodha ya samani za kifahari ili tu aruhusiwe kumwoa mwanamke anayempenda, anagundua kuwa hajawahi kuwa kwenye mazungumzo ya familia bali yupo kwenye mnada wa biashara. Mtego huu wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa

    Wakuu, Hope Mko Poa.... Nafahamu kwamba Mahari ni Mila na Desturi za Makabila Mengi, Lakini Binafsi Naona si Sawa, Kitendo cha kutoa Pesa Ni kama Namnunua Hivii.... Vilevile Naonaga hili Linachangia Sana Wanawake kunyanyasika Kwenye Ndoa Zao, Ndo ile Unakuta Mtu Anaambulia Vipigo, Manyanyaso...
  3. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz: Hekaheka unazonipa baadae unilete mahari uchwara utakula kofi

    Mwanamuziki maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameibua gumzo mtandaoni baada ya kutoa kauli ya utani yenye ushauri mzito kwa wanaume wanaotarajia kumposa binti yake, Sandrah, hapo baadaye. Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Diamond amepokea heri za siku ya...
  4. JamiiForums Tanzania Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike

    Vijana wa kitanganyika wanajiwehusha kuhusu mahari kwa watoto wa kike. Hii tabia siyo bahati au wanafanya makusud ila ni ya kurithi. Kijana anaekuja na hoja yake kuhusu kupinga kuwatolea wanawake mahari, Ni kwasababu amerithi tabia kutoka kwenye familia /ukoo wake na jamii aliyokulia...
  5. JamiiForums Tanzania Kutoa mahari pekee si ndoa wala hakuthibitishi ndoa ya kimila

    Mahakama Kuu ya Tanzania, Registry ya Mwanza, katika Matrimonial Appeal No. 5 of 2020, M.H.M v D.C, ilieleza kwa msisitizo kwamba: “Ili kuthibitisha kuwepo kwa ndoa ya kimila, lazima kuthibitishwe kwamba taratibu au sherehe za kimila za kufunga ndoa zilifanyika.” Mahakama ikaeleza zaidi...
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bibi Aondoka Baada ya Siku 30, Mume Adai Refund ya Sh1.16M ya Mahari, Mbuzi, Chakula na Pombe

    Mwanaume mmoja wa Machakos aliingia kwenye ndoa ya Kamba customary akiwa ametumia zaidi ya Sh1.16 milioni, lakini ndani ya mwezi mmoja, ndoa ilikuwa imevunjika. Alienda mahakamani akitaka si tu divorce, bali pia refund ya Sh1,169,650 aliyosema alitumia kwa mahari, mifugo, chakula, sherehe...
  7. JamiiForums Tanzania Tema Cheche aweka wazi mahari ya ni milioni mia moja

    Mrembo Dalali Pink ambaye ni mwendeshaji wa kipindi cha Tema Cheche cha Tiktok ameweka wazi kuwa mahari yake ni milioni mia kwa Mwanaume ambaye anataka kumuoa na kama itashuka sana basi milioni 90. Dalali Pink amesema kuwa kiwango hicho cha mahari ameweka kwasababu yeye ni mzuri ana macho...
  8. JamiiForums Tanzania Mahari yangu ni billioni 1, anaetaka aje

    Muigizaji Faqueen amesema mwanaume anayetarajia kumuoa anatakiwa kuwa tayari kutoa mahari ya shilingi bilioni moja. Akizungumzia suala hilo, Faqueen amesema kiasi hicho ndicho kitakachomfanya angalau aanze kumfikiria mwanaume anayekuja kwa ajili ya ndoa. “Mwanaume akija na mahari ya bilioni...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa karne hii mahari ni kitu outdated, tusiwauze mabinti!

    Kwa sasa ulipwaji wa mahari pale mtu anapooa ni kitu kisichofaa kabisa. Sasa hivi ndoa ni ya mke na mume (wanakaa peke yao), Wala haiingiliwi na ndugh wammume. Zamani mtu akioa anampeleka mkewe nyumbani kwao, na Kwa kiasi fulani yule mke ni kama anapigika kikazi. Aidha, zamani binti...
  10. JamiiForums Tanzania Mahari ni lazima, usidanganyike binti

    Utamaduni wa kiafrika lazima mwanaume amtolee mwanamke mahari awe na mtoto au asiwe na mtoto. Ukiamua kuoa kwenye boma la watu wenye miiko yao ni lazima utoe mahari mf. Sisi wa Masai . Ukiwa bikra unatoa mahari ya ng'ombe mia moja . Akiwa na elimu nanibikra ni ng'ombe 150. Ndio umchukue hapo...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Hizi ni bei za mahari ambapo ukiambiwa zaidi ya hizi kwa kila sifa umeliwa uwe na hela au hauna hela

    Mahari ni desturi na utamaduni ambapo mwanamume hutoa zawadi au mali (kama vile pesa, mifugo, au vitu vya nyumbani) kwa familia ya mwanamke kama ishara ya heshima na shukrani wakati wa kuelekea kufunga ndoa. Sasa mahari isiyohusisha pesa inaweza thamanishwa na kile kinacho hitajika mfano...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke anayejilipia mahari ndoa yake haiwezi kudumu

    Pamoja na wimbi kubwa la talaka na watu kutengana ama kuachana kabisa lakini hii ni special case kwa muktadha wa mada hii Mahari ninini? 1.Wajibu wa Mwanamume: Katika mafundisho ya kidini (kama Uislamu na Ukristo), mahari ni zawadi au "mahr" inayotolewa na bwana harusi kwa bibi harusi kama...
  14. O

    JamiiForums Kenya Kina dada kulipa mahari?

    Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari , Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari Na wewe Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia kulipa mahari Nipe maoni yako
  15. JamiiForums Tanzania Nimeambiwa mahari Millioni 18. Sina Pesa hiyo na nataka kuoa, nifanyeje?

    ‎Ndoa ni utapeli, ndoa ni biashara! Nimekuwa nikikutana na hizi kampeni za kataa ndoa humu jukwaani nikawa nazichukulia kama ni porojo tu, sikuwa nazichukulia kwa uzito hadi leo yamenikuta. Back to the topic, Wakuu, naomba nishirikishe hali yangu na kupata ushauri wenu. Nina binti niliingia...
  16. O

    JamiiForums Kenya Je, ni lazima msichana kutolewa mahari?

    Je ni lazima msichana kutolewa mahari???
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kumbe mahari zinafika milioni 7? Wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kutoolewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda

    kijana ana miaka 28 yupo normal kiuchumi ana shughuli zake, kapata mchumba mwenye 23, wanapendana perfect match, kufika kwao kupeleka posa wazazi wanahitaji MILIONI 7 wazazi kuna muda mwengine ni chanzo cha watoto kuto olewa au kufosiwa ndoa kwa watu wasiowapenda
  18. JamiiForums Tanzania Hoja: Utaratibu wa Mahari unatakiwa ufutwe, jamii ibadilike...!!

    Heri ya Sabato, poleni na mfungo ndugu zetu waislam na wakristo mnaotimiza agizo hili la kiimani. Nimeamua kudandia treni ya wanaokataa mambo ya mahari kwa dunia ya sasa, hasa barani Afrika ambapo kwa asilimia kubwa ndipo haya mambo hufanyika Dunia ambayo mwanamke amekuwa huru sana, anaweza...
  19. JamiiForums Tanzania Epuka kumlipia mahari mwanamke uliyekuta hana bikra. (Ndaza)

    Ndugu zangu hasa wanaume ambao wanatarajia kuoa jambo muhimu hua mnalisahau labda kutokana na kukolezwa na mapenzi kutoka kwa mchumba unayetarajia kumuoa.. Kuna mambo ya msingi inabidi kuzingatia sana ili kulinda heshima yako na kutodharauliwa na mkeo mkiwa ndani ya ndoa.. Jambo la kwanza...
  20. JamiiForums Tanzania Baba Mkwe ananidai Mahari

    Hapa nilipo nimechanganyikiwa kabisa, Baba mkwe wangu ananidai Mahari Nimalizie Nusu iliyobakia shilingi Milioni moja na Mimi kwasasa Mambo Magumu na tulikubaliana Mwezi huu wa kumi na mbili sasa Mambo yangu bado siyo Mazuri na uwezo wa kumpa hiyo Milioni hakuna ila nina Nusu yake, Shida ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…