mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania McConnell proposes delaying impeachment trial until February so Trump team can prepare

    (CNN)Senate Minority Leader Mitch McConnell is proposing that the Senate give former President Donald Trump's legal team two weeks to prepare for the upcoming impeachment trial once the Senate receives the article and delay its start until mid-February. McConnell's proposal to Senate Majority...
  2. JamiiForums Tanzania Kwanini tunafunga ndoa kwa mkuu wa wilaya badala ya Mahakamani?

    Ndoa ni mkataba, Kwanini tunaingia mkataba kwa mkuu wa wilaya na si mahakamani? Nchi nyingi nimeona ndoa ya kiserikali inafungwa mahakamani. Kwanini iko hivyo?
  3. JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi ona wanasiasa wakiitisha maandamano au kwenda mahakamani kupigania maslahi ya Wananchi?

    Najiuliza tu, Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo. Kama wako kwa maslahi ya wananchi si...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao, Mahakama inaamua na kutengua huo uamuzi wa Serikali na Serikali kutii, sijui kama hilo linawezekana...
  5. JamiiForums Tanzania Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

    He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana. Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa. Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kisheria Halima Mdee na wenzake wamepoteza ubunge baada ya kukata Rufaa Chadema badala ya kwenda mahakamani!

    Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao. Na kwa mujibu wa sheria mbunge ni lazima awe mwanachama wa chama cha siasa. Mgaya anasisitiza...
  7. JamiiForums Tanzania Watawala wa Tanzania, labda siku moja mtapenda mpewe haki ya kusikilizwa Mahakamani pia!

    Walioweka mfumo wa Mihimili 3 yaani Serikali, Mahakama na Bunge hawakuwa wajinga, walijua wanafanya nini na walikuwa na nguvu za Umungu lkn bado waliona umuhimu wa kuwa na Mahakama na Sheria kwamba kila Binadamu ana haki ya kusikilizwa na ndo maana hata wauwaji wanafikishwa Mahakamani na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Tunashughulikia matatizo ya Wananchi wanyonge walioonewa na tunawapa mawakili wa kuwatetea Mahakamani

    Kupitia kipindi cha Papo kwa Papo kinachorushwa na Channel ten Katibu wa uenezi wa CCM ndugu Polepole amesema chama chake kimetoa msaada wa kisheria kwa mama mjane wa eneo la Mabibo aliyeporwa eneo lake. Polepole amesema chama chake kimeshaongea na Jaji mkuu ili kuhakikisha kesi mbalimbali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Waliochapwa na DC Arusha na kulazimishwa kulipa fedha bila kufikishwa mahakamani waombe msaada wa kisheria kumshtaki DC

    Ni miaka karibia mitano sasa viongozi wamekuwa wakijichukulia sheria mikononi na hakuna kiongozi wa kisiasa wa juu anayekemea Jambo linaloashiria wahusika wanatekeleza msimamo wa serikali. Wahanga wa tukio la Arusha wamelazimishwa kupigwa na kisha kulipishwa fedha zaidi ya milioni tano ambazo...
  10. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mathayo Torongei anashikiliwa na Polisi kwa zaidi ya siku 7 bila kupelekwa Mahakamani, kinyume cha sheria

    Hii ndio taarifa iliyozagaa Mkoani Pwani baada ya Jeshi la Polisi Mkoani humo kumkamata kwa style ya kumteka Mwenyekiti wa CHADEMA Jimbo la Bagamoyo Mh Mathayo Torongei na kumnyima dhamana kwa zaidi ya siku 7 na kugoma kumpeleka Mahakamani , jambo ambalo ni kinyume cha sheria za nchi . Mpaka...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vurugu zatokea Mahakamani Arusha kwenye kesi ya viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Katika hali ya kushangaza Dunia, mahakama ya hakimu mkazi Arusha,imesema haina mamlaka ya kutoa dhamana kwa Washtakiwa 20 ambao ni wanachama na viongozi wa CHADEMA wanaokabiliwa na Kesi no 72,75 na 76 zote za Uhujumu Uchumi zinazokabili wanachama 20 wa Arusha Mjini na Arumeru Magharibi Hakimu...
  12. JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aburuzwe Mahakamani kwa kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sakata linaloendelea kati ya Spika Ndugai, CHADEMA na wale Wabunge 19 waloapishwa kinyume cha Katiba ni aibu kwa Tanzania. Ili kukomesha huu upuuxi wa Spika Ndugai CHADEMA lazima ifungue kesi Mahakamani haraka sana ili sheria ichukue mkondo wake. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko...
  13. JamiiForums Tanzania Watu 7 wafikishwa Mahakamani kwa kuhujumu Miundombinu ya Reli

    JESHI la Polisi nchini limewafikisha mahakamani watu saba wakituhumiwa uhujumu uchumi kwa kukutwa wakisafirisha vyuma chakavu vikiwemo vyuma vilivyoibiwa kutoka kwenye miundombinu ya reli. Kwa mujibu wa taarifa ya polisi iliyotolewa kwa vyombo vya habari na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani Ufaransa kufikishwa Mahakamani kwa tuhuma za ufisadi

    Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy atafika mahakamani Jumatatu ambapo anatuhumiwa kujaribu kutoa hongo kwa jaji na kupelekea ushawishi, ikiwa ni moja ya uchunguzi kadhaa wa jinai ambao unatishia kuweka aibu kubwa katika utumishi wake wa muda mrefu wa kisiasa. Waendesha mashtaka wanadai...
  15. JamiiForums Tanzania Utajuaje Ndoa yako imevunjika kisheria na ukaruhusiwa kuoa au kuolewa bila kwenda Mahakamani?

    MWANAMKE MPUMBAVU NA MWANAMME MJINGA ASIYEJUA SHERIA ZA NDOA YA TANZANIA. Utajuaje kuwa Ndoa yako imeshavunjika Kisheria bila kwenda Mahakamani? Na ukawa huru kuoa au kuolewa. Nifuatilie Don Nalimison. 1. Mwanamke au MWANAMME anapobadili Dini, kisheria tayari Ndoa inakuwa imeshavunjika na...
  16. JamiiForums Tanzania Kesi tano zinazomsubiri Mahakamani Tundu Lissu

    Dar es Salaam. Wakati aliyekuwa mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu akidai yupo ubalozi wa Ujerumani, ameomba kupatiwa hifadhi ya kisasa kwa maelezo ya kuwa ametishiwa maisha. Kauli hiyo imekuja wakati Mahakama ya Hakimu ya Hakimu Mkazi, ikitoa hati ya...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 BUKOBA: Aliyekuwa mgombea Ubunge (CHADEMA) na wanachama wengine wakamatwa na kupelekwa Mahakamani

    Jana usiku walikamatwa Mwenyekiti wa CHADEMA wilaya Bukoba Mjini, aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ambaye pia alikuwa meya wa Manispaa ya Bukoba, aliyekuwa mgombea udiwani kata ya Kashai na wanachama wengine wanne. Hawa wamelala mahabusu polisi na kupelekwa Mahakamani kwa makosa ambayo...
  18. JamiiForums Tanzania Ally Kessy apinge Mahakamani matokeo ya Uchaguzi yaliyomnyima ushindi

    Kufuatia matokeo ya uchaguzi mkuu 2020 jimbo la Nkasi yaliyomnyima ubunge Bw. Ally Keissy, namshauri aende mahakamani kupinga matokeo. Kwa kuwa nia ya Mh. Rais ni kuona CCM inashinda majimbo yote ili aweze kupeleka maendeleo kwa usawa kwa nchi nzima, ni wakati muafaka kwenda mahakamani ili...
  19. U

    JamiiForums Tanzania GE2020 Upinzani, msiende mahakamani wala msihamasishe watu kuingia barabarani. Tuacheni Wananchi tuyaone wenyewe

    Sina mengine zaidi ya hayo, heading inajieleza vizuri. Ni kweli mtakosa mapato, lakini mnaweza kujibidisha na kupata shughuli nyingine hata ikiwezekana kilimo. Tuachieni hii miaka mitano ili tujionee wenyewe. Msihangaike kwenda mahakamani maana huko mtapoteza fedha na muda wenu bure...
  20. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, wajua Mgombea atakayetangazwa kuwa Rais hawezi kuwekewa pingamizi Mahakamani?

    Habari wanaJF, Wakati tukielekea tarehe 28 Oktoba 2020 ambayo itakuwa siku ya kupiga kura kuchagua Rais, Wabunge na Madiwani. Ni vyema ukafahamu yafuatayo: Ibara ya 41(7) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaondoa mamlaka ya Mahakama yoyote kuchunguza juu ya kuchaguliwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…