mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula usiwatishe mabalozi. Mahakama ni eneo la umma, huru na salama

    Siku ya jana nimemsikia Balozi Mulamula akitoa onyo na vitisho dhidi ya mabalozi, maafisa wa kidiplomasia wanaoziwakilisha nchi zao na taasisi za kimataifa hapa Tanzania kuhusu hatua yao kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. Balozi...
  2. JamiiForums Tanzania Nataka kufungua kesi kupinga kodi ya jengo kupitia Luku lakini sioni wa kunitetea mahakamani

    Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
  3. JamiiForums Tanzania Sabaya asema alimiliki silaha kwa sababu alikuwa anatishiwa kuuawa

    Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ambaye ni mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha ameieleza mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuwa anamiliki silaha aina ya Glock-17 kwa ajili ya kujilinda kutokana na kutishiwa kuuawa. Akihojiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ole Sabaya amkana mshirika wake katika kesi

    Arusha . Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro Lengai o Sabaya amemkana mshirika wake katika kesi hiyo ya unyang'anyi wa matumizi, Sylvester Nyegu, kuwa hakuwa msaidizi wake. Sabaya na wawili wawili, Nyegu ambaye anadaiwa na upande wa mashtaka kuwa msaidizi wake binafsi na...
  5. JamiiForums Tanzania Wapinga chanjo waliwahi kwenda mahakamani na kushindwa na upande wa serikali na wapenda chanjo

    In the United States, the anti-vaccinationist movement, using pamphlets, court battles, and fights in state legislatures, succeeded in repealing compulsory vaccination laws in California, Illinois, Indiana, Minnesota, Utah, West Virginia, and Wisconsin. However, in the landmark Jacobson v...
  6. JamiiForums Tanzania Arusha: Kanisa lashitakiwa kwa tuhuma za utapeli wa eneo

    Kesi ya Mgogoro wa Ardhi baina ya Kanisa la Christ Synagogue Ministries lililopo Sakina jijini Arusha na wasimamizi wa mirathi Bernadette Changuru na Samweli Changuru inatarajia kuanza kusikilizwa Desemba 6, mwaka huu. Shauri hilo namba 57/2021 linasikikizwa na Baraza la Ardhi na Nyumba wilaya...
  7. JamiiForums Tanzania Naweza kuwashitaki CRDB ili walipe fidia kwa usumbufu na kadhia?

    Leo nimeenda Bank kuchukua pesa ambazo kabla sijaanza kuwapatia wanihifadhie tulipeana masharti. Cha kushangaza Leo nimeenda branches mbili zote walinzi wao (ambao hawakuwepo wakati nawekeana makubaliano na bank kuhusu vigezo na masharti) wakanizuia kuingia ndani kuchukua pesa zangu Kwa kigezo...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Mbowe ashindwa kuhudhuria Mahakamani. Kesi yaendeshwa kwa njia ya video, Yaahirishwa mpaka Agosti 27

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzake wameshindwa kufikishwa mahakamani leo kutokana na tatizo la usafiri, hivyo kulazimu kesi kuendeshwa kwa njia ya video. Shauri hilo limefikishwa Mahakamani kwa ajili ya kutajwa, na limeahirishwwa hadi Agosti 27 litakaposikilizwa.
  9. JamiiForums Tanzania Sabaya kesho kujulikana kama ana kesi ya Kujibu ama la!!

    Mahakama ya hakimu Mkazi Arusha kesho inatarajia kutoa uamuzi mdogo katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha na kupora Mali na fedha inayomkabili Sabaya na wenzake wawili iwapo Sabaya na wenzake kama wanakesi ya Kujibu ama la. Uamuzi huo utatolewa kesho majira ya saa tatu asubuhi na hakimu...
  10. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

    Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Mgonya, Mahakama Kuu, DSM... Muda huu wamemuachia baada siku 15.. Huu ni UONEVU! Mawakili wetu muda huu...
  11. JamiiForums Tanzania Mbowe kuhudhuria shauri lake Mahakama Kuu

    Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imekubali ombi la Mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe la kumruhusu Mbowe kuhudhuria shauri lake la Kikatiba alilolifungua dhidi ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka (DPP), Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG)...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mashtaka dhidi ya Mbowe sidhani kama yamechochewa kisiasa. Natamani kukutana na Wapinzani

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema hawezi kuzungumzia kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani- Chadema- Freeman Mbowe ambaye anakabiliwa na mashtaka ya ugaidi. Katika mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Salim Kikeke, Rais Samia amesema ana imani sheria itachukua mkondo wake...
  13. JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi wataka wanaotupa watoto kuchukuliwa hatua

    Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo. Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
  14. JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Hatuwezi kunyamaza

    Baadhi ya watu wanashangaa Askofu Mwamakula kuwatetea CHADEMA! Wapo wanaoshauri Askofu awe anafanya mara moja moja lakini sio kila mara. Wakati wa janga la UKIMWI, tulizika ndugu zetu wengi. Lakini hatukuchoka kulia kila ndugu alipokufa eti kwa sababu tulilia misiba ya jana na juzi. CHADEMA wapo...
  15. JamiiForums Tanzania Chadema kuwaburuza Mahakamani OCD wa Kigoma na Dodoma kwa tuhuma za Wizi

    Watashitakiwa kwa Majina yao binafsi kama wanavyoshitakiwa vibaka wengine, hii ni baada ya kuamuru na kushiriki wizi wa nyaraka za Chadema waziwazi bila kificho chochote. OCD wa Dodoma ameonekana wazi akishiriki kuvunja ofisi ya Kanda ya kati na kuiba nyaraka kadhaa pamoja na pesa Taslimu...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano Freeman Mbowe asifikishwe Mahakamani Kisutu leo. Kesi kuendeshwa kwa njia ya Video

    Salaam Wakuu, Ni rahisi ngamia kupenya kwenye Tundu la Sindano kuliko Freeman Mbowe kufikishwa Kisutu leo. Chadema Wapo Viunga vya Kisutu kusubiri japo wamuone Mwenyekiti wao. Wajiandae Kisaikolojia kutomuona. Ila kesi haijaahirishwa. Tuendelee kufuatilia kwa karibu ===== UPDATES; =====...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Kesi ya Freeman Mbowe yaahirishwa hadi Kesho 06/08/2021, Mtandao umesumbua

    Ni Asubuhi tulivu ya siku ya Alhamisi. Kiongozi mkuu wa Upinzani Freeman Mbowe anatarajiwa kuletwa mahakamani Kisutu Leo katika Kesi ya Ugaidi. Kesi hii inavuta kila mpenda haki na mwanademokrasia kutokana na ukweli Mbowe amebambikizwa kesi hii ili kumnyamazisha kutokana na Kampeni aliyoasisi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Kufika Mahakamani ni Haki yetu, si kosa Kisheria

    Kamanda Muliro na kamanda Sirro mmeonekana mkitoa vitisho kinyume cha sheria: Vitisho hivi ni vya nini? Kesho tunakuja kwa amani kusikiliza kesi ya mmoja wetu. Tuna amini kila mtu mkiwamo nyie mtazingatia sheria za nchi. Tuna hata haja ya kutunishia misuli? Jambo moja la hakika, hatutakuwa...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Harufu ya zuio la Mikusanyiko ikiwamo Mahakamani linanukia

    Ile tarehe yetu inapozidi kujongea harufu ya zuio la Mikusanyiko nayo inazidi kunukia. Bila shaka tukataarifiwa huko mahakamani kuwa kama Tokyo 2021. Olympic bila mashabiki angalau kwa wiki hii ili kudhihibiti maambukizi ya Corona. Shit hole countries kila jambo ni fursa. Yakisikika hayo miye...
  20. JamiiForums Tanzania Kitendo cha IGP Sirro kutoa hukumu ya Ugaidi wa Mbowe huku kesi ikiwa Mahakamani ni Uhalifu. Napendekeza kesi hiyo ifutwe haraka

    Wote bila shaka mmemsikia Mkuu wa jeshi la Polisi wa Tanzania Mtukufu IGP Simon Sirro , kauli yake hii ni sawa na kulazimisha mahakama kutenda ayanenayo. Sirro anafahamu kwamba Sheria inakataza yaliyo Mahakamani kujadiliwa vijiweni , na hasa kama anayejadili ana maslahi kwenye kesi iliyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…