mahakama ya mwanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LESIRIAMU

    DOKEZO Mahakama chunguzeni rushwa mahakama ya mwanzo Arusha(Maromboso)

    Ni muda sasa nimekuwa nahudhuria kusikiliza kesi za ndugu/marafiki katika mahakama hii ya mwanzo Arusha maarufu kama Mahakama ya Maromboso, hasa kesi zinazo sikilizwa na mfawidhi wa hii mahakama (sito taja jina) Huyu bwana hata kama haki iko upande wako, usipo toa rushwa hakuna jinsi utashinda...
  2. funaku

    Ni aibu kwa Tundu Lissu kutaka kujadili maamuzi ya mahakama kuu akiwa mahakama ya mwanzo leo

    Mimi sijasomea sheria japo nimeshangaa kuona wakili msomi akihangaika kutaka kutafsiri maamuzi ya mahakama kuu akiwa kwenye mahakama ya mwanzo. Kama alishindwa kuhoji maana ya maamuzi ya mahakama kuu kuhusu hukumu yaje ya kutaka mashahidi wasionekane akiwa kule na akaangukia pua iweje aje...
  3. A

    KERO Mahakama ya Mwanzo Mjini Sumbawanga ina mahakimu 2 tu

    Kuna uhaba wa mahakimu ktk mahakama hii kunakopelekea mrundikano wa mashauri na ulipuaji wa mashauri. Jaji Mkuu ingilia ktk hili kwa haraka kwani haki inayochelewa ndiyo inayopotea
  4. Roving Journalist

    Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

    Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
  5. Majitha

    DOKEZO KERO Mahakama ya Mwanzo Bunda mjini inawachangisha walalamikaji Tsh 1,500 ya kununua faili

    Sijui kama hili limewakumbuka na wengine au lakini hali ya Mahakama ya Mwanzo Bunda si shwari. Walalamikaji wanapokwenda kusikiliza kesi zao wanachangishwa pesa ya kununua mafaili @ 1500 na bila kutoa hiyo pesa fail yako haiwezi kusomwa. Mtu anayekusanya hizo fedha ni karani jina na picha...
  6. A

    KWA UAMUZI HUU, KWA NINI NISIAMINI HAKIMU ZENAS TARIMO WA MAHAKAMA YA MWANZO ILALA AMEPEWA RUSHWA NA TIGOPESA (HONORA TZ MOBILE SOLUTI KUPINDISHA HAKI

    Ndugu wana jamvi kwa uamuzi wa hovyo hivi ni kwa nini nisiamini kuwa huyu hakimu ni mla rushwa? Amehongwa na kampuni ya honora tz mobile solutions ili kufuta kesi hii. Ni utaratibu kuwa watoa huduma za fedha wanasimamiwa na benki kuu chini ya sheria ya Bot Act na Bot financial consumers...
  7. A

    KERO Uozo na ukiritimba Mahakama ya Mwanzo Ilala

    Ni jambo la kusikitisha kwamba mahakama ya Mwanzo Ilala haina njia mbadala ya kufanya shughuli zanazotegemea umeme kuendelea kama kawaida pale umeme unapokatika. Kuna watu waliahidiwa kufuata nakala za hukumu ila wameshindwa kupata kwa kuwa umeme hakuna. Kinachokera zaidi kituo cha polisi...
  8. baro

    DOKEZO Morogoro: TAKUKURU chunguzeni Mahakama ya Mwanzo Nunge, kunanuka Rushwa

    Mh. Msajiri wa Mahakama kuu ya Morogoro, napenda kukutaarifu kuwa katika mahakama ya Mwanzo Nunge kuna Rushwa iliyokithiri. Mahakimu wengi hapo ni changamoto sana kwa wananchi ambao ni wateja wa Mahakama wasio na uwezo wa kifedha. Mfano Kuna kesi moja ya Mirathi ambayo ni ya Mzee fulani (jina...
  9. L

    Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Juma, jengo la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekamilika lakini wananchi bado wanasumbuka kwenda Tandika kupata haki zao

    Mhe Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu na Jaji wa Mahakama ya Rufani Tanzania. Nakusalimia na pole kwa kazi. Mhe. CJ tunafahamu jengo jipya la Mahakama ya Mwanzo Temeke limekwisha, kwa sasa mahakama ya mwanzo Temeke iko Tandika katika nyumba ya mtu binafsi ambayo bila shaka itakuwa imekodiwa. Mhe...
Back
Top Bottom