mahakama ya kisutu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakazi ahukumiwa kumlipa Baba Levo Tsh. Milioni 100 kwa kumchafua

    Mahakama ya Hakimu Mkazi iliyopo Kisutu, jijini Dar es Salaam, imetoa hukumu katika shauri la madai ya kashfa lililofunguliwa na msanii na Mbunge Clayton Revocatus Chipando (Baba Levo) dhidi ya Webiro Wasira maarufu kama Wakazi. Katika hukumu iliyotolewa tarehe 13 Machi 2026, mahakama imebaini...
  2. Kesi ya Simon Mkondya aka Dr Manguruwe imeanza kusikilizwa Mahakama ya Kisutu

    Mkondya na mwenzake, Rweyemamu John (59), ambaye ni Meneja na Mkaguzi wa fedha wa kampuni hiyo, wanakabiliwa na mashtaka 126 yakiwemo ya kuendesha biashara ya upatu na utakatishaji fedha yanayomkabili Mkondya pekee yake. Ndambala, mkazi wa Mikocheni B ametoa ushahidi wake mbele ya Hakimu Mkazi...
  3. Mahakama ya Kisutu imewaachia Huru washtakiwa wawili kesi ya kuanguka kwa jengo Kariakoo

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia huru washtakiwa wawili kati ya sita waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kuua bila kukusudia baada ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa, eneo la Kariakoo. Wawili hao ambao ni Zenabu Silam (61) na Ashour Awadhi Ashour (38) wameachiwa huru leo baada ya...
  4. PostGE2025 Kesi ya Mange Kimambi ya utakatishaji wa fedha kuunguruma leo Desemba 4, Kisutu

    Kesi ya utakatishaji wa fedha kiasi cha Shilingi milioni Tsh 138.5 dhidi ya mwanaharakati maarufu kwenye mitandao ya kijamii, Mange Kimambi, ambaye anaishi Marekani inatarajiwa kutajwa leo Desemba 4, 2025 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Hassan Makube. Katika...
  5. PostGE2025 Ndugu Jamaa na Marafiki wafurika Kisutu na Maua kusubiri watuhumiwa wa Uhaini kuachiliwa

    Ndugu jamaa na marafiki wamefurika nje ya viunga vya mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam Tanzania wakiwasubiri ndugu zao wanaokabiliwa na mashitaka ya uhaini kutokana na machafuko yaliyotokea Tanzania siku na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba. Hapo jana watuhumiwa 210 waliachiwa...
  6. GE2025 Niffer na wengine 97 wafunguliwa mashtaka, yakiwemo ya UHAINI kufuatia maandamano ya Oktoba 29, 2025

    Jamhuri yawapiga kesi ya Uhaini watanzania 97l8 kufuatilia Maandamano ya Oktoba 29, 2025. Katika Orodha hii, yupo Mfanyabiashara maafuru Jennifer Jovin, Maarufu kama Niffer. Kesi hizi zimepangwa kusikilizwa kwa hatua za awali kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam. ====...
  7. Wanasheria msaada tutani, Mh Lissu Jumatatu atafutiwa kesi na KUKAMATWA Tena na kufikishwa mahakama ya kisutu je ITAKUWA sawa?

    Wanasheria msaada tutani, Jumatatu Mh Tundu Lissu atamchepuka Nassoron katuga kwa kumgalagaza kama shakibu mume wa zari alivyolaruliwa ulingoni, ushindi wake UTAKUWA WA kishindo Swali ni kuwa ataachiwa na KUKAMATWA Tena na kufikishwa kisutu je anawezaje ponaje mtego huu? Msaada wazee najua...
  8. Hakimu na mawakili wa serikali mnajua kuwa hata mkiweka mashaidi wa uwongo, mkaendesha kesi kwa mtindo wa Hovyo bado nyie mnafamilia zinafahamika

    Hii kesi kama ingelikuwa kipindi kile cha mbowe na kesi ya kupewa ugaidi tuliona mashaidi na hakuna aliyekuwa na mada nao hata leo ukiniuliza hakimu aliyesimamia ile kesi itabidi kutafuta sura yake sababu ilikwenda japo kwa maagizo ya upande wapili. Sasa upande wenu kama wakili mmoja wa...
  9. R

    GE2025 Tundu Lissu: Sasa ile hofu yangu inatimia, kesi ya uhaini ambayo adhabu yake ni kifo inafanyika gizani ili watu wasijue

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu akiwa Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili. Kesi hiyo iliyofunguliwa na Jamuhuri dhidi ya Lissu Fuatilia LIVE - GE2025 - Kesi ya uhaini ya Jamhuri dhidi ya Tundu Lissu inaunguruma Kisutu...
  10. R

    Bado kuna vijana wana wito wa kumpigania Tundu Lissu, maana si kwa hali hii jamaa alivyokuwa anapambana na Polisi

    Mmoja kati ya wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akivutana na askari wa Jeshi la Polisi katika Mahakama ya Kisutu ambako kesi inayomkabili mwenyekiti wao, Tundu Lissu, inaendelea.
  11. Wanasheria Mnisaidie, Kwanini hii Kesi ya Uhaini Haikufunguliwa Mahakama Kuu, ikaja Kufunguliwa Mahakama Ya Kisutu

    Mahakama ya Kisutu ambayo haina uwezo wa kuisikiliza. Mbona ni kama kupoteza muda na raslimali. Na Tunaambiwa UHaini ni kosa kubwa sana. Sasa Kwa nini Mahakama ya Hakimu Mkazi. Rekebisheni hapo, haya makosa makubwa yafunguliwe mahakama kuu moja kwa moja.
  12. B

    PreGE2025 Kesi ya Uhaini ya Lissu yaahirishwa hadi Julai 01, 2025

    https://www.youtube.com/live/oU5eT7Dimu0?si=BYYHRNCBHOz_0_ye Siku hazikawii kufika, usikilizwaji kesi ya Lissu huo umewadia. Kama mnakumbuka wakayi uliopita upande wa mashtaka walisema wanahitaji muda zaidi kukamilisha upelelezi na wakaambiwa tarehe itakayopangwa kutakuwa hakuna nafasi ya hiki...
  13. Huyu askari polisi ndo kapiga watu nje ya mahakama ya Kisutu leo, ‘allegedly’

    Allegedly’ anaitwa Musa Idi Mujema. Ndo kapiga watu na hicho kifimbo chake. Sijui ni kifimbo cha mpingo au vipi, maana ni cheusi. Huyu mtu yeye anaishi kwenye sayari ya Mushtara na huwa anakuja kwenye sayari yetu ya dunia kufanya kazi na kurudi kwake huko Mushtara amalizapo kazi? Au na yeye...
  14. PreGE2025 Mahakama ya Kisutu ilifanyia kazi ushauri wa JF, leo video inaoneka vizuri sauti inasikika safi! Kumbe mkiamua mambo yanaenda vizuri

    Wakuu, Niliwapa spana kidogo Mahakama ya Kisutu baada ya kurusha kesi ya Lissu mubashara video ikiwa hovyo, nyeusi na haionekani vizuri, sauti ndio usiseme, ni kama tulikuwa tunaangalia tu watu wakinyanyuka na kukaa lakini sauti hakuna. Pia soma: Pre GE2025 - Mahakama mnashindwa kuwa na vifaa...
  15. B

    PreGE2025 Video ya kesi ya Lissu Mahakama ya Kisutu May 19, 2025 ilifutwa, huenda watafuta na ya leo pia. Kwanini tunyimwe taarifa?

    ILe kesi ilivyoisha tu tarehe 19, May ilifutwa!l na wote waliokuwa wanarusha pia iliondolewa. Nadhani kimemo kilipita kikiwataka wote waondoe. Kwa waliobakisha kama Global ilikuwa ni ile video ya nje pekee lakini ndani ya chumba cha mahakama iliondolewa. Nilitaka kuweka uzi lakini waliirudisha...
  16. PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi. Pia anaonekana yupo imara sana...
  17. Matendo ya polisi Mahakama ya Kisutu jana, yanafanana kundi la vichaa waliopewa marungu na kuachiwa watembee mitaani kumpiga kila waliyekutana naye..!

    Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..." Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi.... Ikitokea kuna...
  18. Baadhi ya Waandishi wa Habari wazuiwa kuingia Mahakama ya Kisutu, wengine wakamatwa, leo Aprili 24, 2025

    Baadhi ya waandishi wa habari wamedai kuzuiliwa kuingia eneo la Mahakama ya Kisutu kusikiliza kesi zinazomkabiki Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, leo AprilI 23, 2025. Chanzo cha kuaminika kutoka eneo hilo kimeeleza kuwa wamezuiliwa kuingia Mahakamani na Askari ambao wanazunguka eneo la...
  19. PreGE2025 Heche awataka wananchi kuunga mkono msimamo wa 'No Reforms No Election'

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Heche, amewataka wananchi kuendelea kuwaunga mkono katika kuhakikisha yanafanyika mabadiliko ya sheria za uchaguzi, ili kufanya siasa safi na kushiriki uchaguzi ambao watapatikana viongozi bora na watakaoleta mabadiliko kwa...
  20. L

    PreGE2025 Dkt. Slaa ashindwa kufikishwa Mahakamani kutokana na changamoto za usafiri

    Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa. Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…