mahakama tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ex Spy

    Mahakama Tanzania tunayo, hatunayo?

    Waione Kiranga na Nyani Ngabu 🤭
  2. R

    Kesi ya Lisu jana 13.10.2025: Msifurahie Mahakama kutupa pingamizi la serikali. Bado hakuna mahakama Tanzania

    Tuweke rekodi sawa, shouldn't be overjoyed by this simple drama! Hakuna Mahakama hapa ni drama! Nguzo za Mahakama huru hakuna. Hakuna Bold Judges, ni Shyster Judges! Simple as such! Hakuna Mahakama
  3. Lord Denning

    GE2025 Hatuna Mahakama Tanzania. Kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Hii picha ukiiangalia kwa kawaida unaweza fikiri ni kikatuni na kawaida tu. Ila ukweli halisi ni kwamba hii picha ni kielelezo tosha juu ya Mhimili gani wa Mahakama tulionao Tanzania sasa. Ni kielelezo tosha kuwa Mahakama ya Tanzania kwa sasa sio tena chombo cha kutoa haki bali ni chombo cha...
  4. Msanii

    GE2025 Pamoja na kuendeshwa na wasomi, Je Mhimili wa Mahakama Tanzania unajitambua?

    Jaji Nduguru ambaye ni kiongozi wa jopo la Majaji 3 kwenye kesi ya Uhaini dhidi ya Tundu Lissu. Amesoma ama kutoa maelezo kuwa kataza kataza na pigapiga ya raia inayofanywa na polisi siyoaelekezo ya polisi. Jana tarehe 15 Septemba 2025. Wakili amepigwa na kunyakuliwa ndani ya viunga vya...
  5. M

    Hongera Jaji George Masaju kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama Tanzania, nakuomba pokea ushauri huu ambao mtangulizi wako aliukataa

    Hongera sana Jaji George Masaju, sina shaka kabisa na wewe kuhusu utendaji wako wa kazi, umeandaliwa vizuri, ulikuwa mwanasheria mkuu wa serikali na kazi ilionekana, ukaenda kuwa mshauri wa Mhe Rais na kazi imeonekana, sasa piga kazi sisi vijana wako tunaounga mkono serikali hata kama hatuko...
  6. Prof_Adventure_guide

    PreGE2025 Utapeli wa haki mahakamani: Askari kuvaa mask ni ujambazi wa kisheria!

    Katika historia ya mihimili ya dola, mahakama ndiyo taasisi ya mwisho ya utoaji wa haki—lakini leo tunaishuhudia ikigeuzwa jukwaa la uonevu na maigizo ya kisiasa. Ni jambo la kusikitisha na la kuaibisha kuona askari wa serikali wakivamia mahakama wakiwa wamevalia mask kana kwamba wanakwenda...
  7. B

    Mahakama ya Rufani Tanzania ina Majaji 31 wakati Supreme court ya Marekani ina majaji 9 tu. Tutaendelea kukopa madeni kwa sana!

    Hahahahaa......Mambo mengine inabidi tucheke tu hata kama yanahuzunisha. Utangulizi Marekani ina Majimbo 50 na jumla ya Wananchi( raia) wapatao Milioni 330+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Tanzania ina wananchi wapatao Milioni 65+ kwa mujibu wa Takwimu za 2022. Wakati Marekani ina idadi ya...
Back
Top Bottom