magufuli

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ni nani alikuwa anahujumu serikali kuhamia Dodoma hadi Magufuli akazira?

    Kwa maelezo ya Polepole ni kwamba mpango wa kuhamishia serikali Dodoma ilikuwa ni vita kamili na kuna vigogo walihujumu mpango huo makusudi kabisa hadi Hayati Magufuli akazira na kuamua kuhamia hivyo hivyo kwenye kijumba kidogo Dodoma. Hili la vigogo kuhujumu mipango yenye masilahi mapana kwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa vitambulisho kuingia ndani ya ukuta wa Magufuli

    Ukuta wa Mirerani ulijengwa kulinda tanzanite – mali adimu ya taifa. Leo hii, kila anayetaka kuingia ndani ya ukuta huo analazimika kuwa na kitambulisho maalum kinacholipiwa. Lakini maswali muhimu bado hayajajibiwa: 🔹 Kwa nini kitambulisho cha taifa kisitoshe kuthibitisha uraia na uhalali wa...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Polepole, ghafla video hii ya Magufuli inatrend...

    Baad ya hotuba ya Humphrey Polepole usiku wa Jana, video hii ya John Pombe Magufuli imetrend Sana..
  4. JamiiForums Tanzania Madai ya kuuawa Magufuli yaliandikwa JamiiForums kabla ya kutokea

    Kwenu wana jamii Jana Polepole alirudia Madai yake ya Magufuli kuuawa na pia kuwa na Tishio la kuuawa hata kabla haijatokea Wana JamiiForums wakongwe na waliobahatika kusoma hapa JF kabla ya kifo cha Magufuli ulikuja humu uzi ulioandoka kifo cha Magufuli, ile thread iliandikwa kwa code tena...
  5. JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kifo cha Mkapa, Magufuli, Membe, Sitta na Ndugai

    Uchunguzi huru ufanyike na kwa watu huru ambao watatoa taarifa kwa uhuru kabisa bila woga au shinikizo. Hii itasaidia kuondoa hali ya sintofahamu ambayo imejitokeza kwa sasa na kukosekana kwa imani kwa serikali. Hali ni mbaya sana.
  6. JamiiForums Tanzania Kwa Nini Magufuli hakukata roho mbele ya mkewe au mwanae akakata mkononi mwa Hawa? Ni wahuni TU mtanijibu!

    Uraisi wa Magufuli haukumfutia uumenwake kwa mkewe, haukumfutia Ubaba wake kwa wanawe Hakuna Sheria inasema raisi akiumwa anauguzwa na mkuu wa majeshi, usalama wa taifa na IGP hiyo Sheria haipo KIMSINGI kifo chake it was a planted mission Ambayo Mabeyo, Sirro na wenzake watajibu mbele ya...
  7. JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Hii sio bahati mbaya hata kidogo Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli. Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa. Hii sio afya kwa usalama wa nchi Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Hata kama Magufuli hakuuawa, bado yapo matatizo ya watu kuipora Benki Kuu

    Watu kwenda Benki Kuu kuchota hela kama Iddi Amin, hii haikubaliki. Ndio maana Kanisa Katoliki limeuliza kama hao viongozi wa Serikali wana haki ya kuingia Kanisani na kuongea. Hakuna uwiano katika ya sifa wanazorundikiwa watu na mambo ya aibu wanayofanya. Sasa watu wengi wanasemwa vibaya...
  9. JamiiForums Tanzania Hasira ya Magufuli kwa vyombo vya habari na vyama vya siasa chanzo chake ni hiki?

    Ni kutokana na kugundua vilikuwa vinatumika na Mtandao.. Tunaofahamu tunafahamu Eric hajawahi kuwa that much smart. Vyama vya upinzani vingi vina mapandikizi ya Mtandao. Na hawa ndo walikuwa wanawawezesha wafanye harakati zao za Kimaslahi. Zitto Kabwe alishauriwa asijiunge CCM aanzishe Chama...
  10. JamiiForums Tanzania Picha: Siku Magufuli alivyozindua kiwanda cha Rostam Morogoro

    Hii ilikua ni February 12 mwaka 2021,na baada ya hapo hii ndo ilikua ziara yake ya mwisho kwani baada ya hapo alienda hadi Dsm mbezi kuzindua stend na ikawa ndo mwisho wa kuonekana kwake. Nimeweka picha zote. Rais Magufuli ampongeza Rostam Aziz kwa kuanzisha kiwanda Morogoro Ijumaa, Februari...
  11. JamiiForums Tanzania Magufuli hakuwa mkamilifu lakini sasa naanza elewa kuwa kuna hujuma nyingi zilifanywa dhidi yake

    Moja ya sababu kubwa iliyomfanya Magufuli asikae Magogoni ilikuwa ni nguvu za giza ambazo ziliachwa mle. Polepole amesema hawa jamaa wanakushambulia kwa mbinu zote ikiwemo hizo za giza. Na akasema ilibidi Magufuli ahamie Dodoma kabla Ikulu haijakamilika ili akae apate utulivu wa nafsi na...
  12. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anayesema Mpina atawafunga Mafisadi kama Magufuli,ndiye Zitto aliyetutukana kama tunampenda Magufuli basi tukazikwe nae Chato

    Chawa wa Mama aliyediliki kusema kama mnamoenda sana Magufuli basi nendeni mkazikwe nae,je yeye amezikwa na Mama yake aliyekuwa anampenda,hili lilikuwa tusi kubwa sana kwa Watanzania,baada ya hapo Hajawahi kumuongelea vibaya Mama Samia hata kidogo licha ya Ufisadi kukithiri zaidi ya awamu zote...
  13. JamiiForums Tanzania Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi

    Polepole: Kosa moja Magufuli alilolifanya ni kutaka kufanya maridhiano na watu ambao hapaswi kuridhiana nao, mafisadi, wezi ni moja kosa kubwa sana alilifanya Magufuli akaamini wataridhia na ni watu ambao walipigana sana mwaka 2020.
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole tumekuchoka na kelele zako. Kila siku kifo cha Magufuli, kifo cha Magufuli

    Abadani sijawahi kuendeshwa kwa mikumbo au mihemko. Am so smart physical and spiritual. Kila jambo lazima nilitafakari kijamii na kiroho. Magufuli alikufa kwa kisasi cha Mungu. Aliua watu wasio na hatia damu zao zikalia mbele za Mungu. Mungu akatuma mapepo ya COVID-19 ardhi ya Tanzania...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Pamoja na madhaifu yake Magufuli, alishindana na CHADEMA kwenye box la kura pamoja na udhaifu wa Katiba yetu lakini SAMIA amezuia Kila kitu

    CCM hii ni aibu mnajitia wenyewe Yani chama kikuu Cha upinzani CHADEMA mnakizuia kupitia Dola halafu mnagombea wenyewe hii ni aibu Kwa taifa. Yani Magufuli wa worse but mama Samia is worst hakika na atakumbukwa hivyo na historia. Maskini mama hajui kuna watu wanaomtumia ila ni jina lake ndio...
  17. JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  19. JamiiForums Tanzania 1995 Mkapa alikuwa turufu, 2015 Magufuli akawa turufu, 2025 turufu atakuwa nani?

    Kimsingi toka kuanzishwa chaguzi za mfumo wa vyama vingi mwaka 1995, CCM wamekuwa wakipitisha wagombea Urais kwa turufu za ubora wa wahusika. Mwaka 1995 walimpitisha Mkapa, ila sote tunajua Kikwete alikuwa anaongoza kura za maoni. Busara za Nyerere zikasikilizwa Mkapa akagombea. Hiyo ndiyo...
  20. JamiiForums Tanzania Magufuli alihujumiwa na Makonda?

    Leo hii tunaona wote, wale wanaoamini katika Magufuli wamewekwa benchi. Lakini aliyetuaminisha Ridhiwani anauza madawa ya kulevya anachanja mbuga tu. So ilikuwa mipango ili aaminike na Magufuli ili badae amuuze ? Imagine Makonda asingekuwa team Msonga kisasi chake kingekuwaje leo? Angalia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…