Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John
Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
Kichwa cha habari kiko wazi. Zama za marais wakristo, waislamu walizoea kusema huu ni mfumo kristo. Ila baada ya kuingia mwenzao, hawataki tuseme huu ni mfumo islam! Washukuru mkristo Magufuli alimfanya muislam Samia tena mwanamke wa kwanza kuwa rais. Je, hili. hawalioni au ni ukosefu wa...
Nikikumbuka, TAARIFA ya waziri mkuu mstaafu dhidi ya Afya ya Hayati magufuli kwa wananchi wa Tanga, aliwambia naomba kunukuu" Rais WENU ni mzima wa buheri WA afya, yupo imara kama CHUMA na anawasalimia wotee" wananchi heheeeeeeee vicheko na nderemo😚🤣😊😁😂😊🤣 staki niamini km pm hakuwa na TAARIFA...
Ofisi za kampuni ya habari za Furaha Media zilizopo Mikocheni – Dar es Salaam zimekumbwa na taharuki kufuatia kuvamiwa na kikundi cha watu wanaokadiriwa kuzidi 60, wakiwemo walinzi wa kukodiwa (bouncers) na watu wenye silaha.
Uvamizi huo umesababisha uharibifu wa miundombinu ya kidijitali...
Anonymous
Thread
furaha
mabaunsa
magufuli
media
mpwa wa magufuli
ofisi
silaha
wavamia
wenye
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya Magufuli haitopoteza mapato na wafanyabishara watanufaika.
Pia soma ~ Wamiliki wa mabasi wapewa wiki...
Nasema kweli maamuzi mengi ya Hayati magufuli yalijadiliwa vyema na Hawa watu watatu hapa ikulu
1. Magufuli mwenyewe
2. Bashiru Ally Kakuru
3. Pole pole.
Nashindwa kuelewa Leo magufuli ni hayati,Bashiru ni Waziri, na polepole Katekwa na Bashiru yupo kimnya kabisa anavuta mpunga wa uwaziri...
Naona wananzengo wanaleta hata tweet nilizofuta sijaelewa kwanini zitrend muda huu!
Kiufupi Magufuli alipuuza masuala ya wataalamu akaleta kujifukiza
Kumbe anajimaliza yeye na battery ya moyo
Ujumbe nilopewa na mstaafu hauna uhusiano na kifo chake
Je kwanini trend now nisiletewe matatizo...
Hizi mambo zichunguzwe aiseeeeee
Huu ujumbe naona una circulate kwenye makundi kadhaa huko whatsap nadhan huyu ndo britanicca wa hapa au wapo tofauti ?
Ndugu zangu Watanzania,
Mlinzi Maarufu Wa Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Baada ya Kutoka Urussi katika Ziara ya Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli,shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia.
Ameweza kuonekana Mitaani Mkoani Dodoma...
Mimi ukinikuta mtaani ni kada wa chama kweli kweli huwa najitahidi kukusanya maoni ya wananchi wengi vijiweni kwa mabodaboda kwa mama ntilie machinga wafanya biashara maana Wakandarasi wanangu sana walimu kiasi kwamba Mimi wa mtaani akikutana na mimi JF watapigana sana...
Ndugu zangu wapinzani na hata wana harakati, siyo dhambi mkiyaenzi japo mazuri ya viongozi waliotangulia mbele za haki.
Mfano hayati Rais Magufuli, siyo dhambi akienziwa kwa kupambana kwake kulinda rasilimali za nchi.
Samwel Sitta naye ( marehemu ), naye siyo dhambi pia akienziwa kwa kuruhusu...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/uchambuzi-wa-mayala-nyerere-magufuli-na-somo-la-kulinda-uhuru-wa-taifa-5482646
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa...
Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina.
GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji...
Leo john Emanuel Nchimbi, amesoma meseji aliyotumiwa na Hayati magufuli ya kumjuza yakuwa hawezi mwacha kamwe maana aliisha muaidi kumpa cheo.
Leo Nchimbi wakati anasa.meseji.yake alipoteuliwa kuwa Balozi.
Nchimbi anatumia meseji hiyo kutaka kutuamini yakuwa alikuwa Rafiki yake wa karbu ndio...
Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
Wanabodi
Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa kutanguliza maslahi ya Taifa mbeli, kwa kumtia Moyo Rais Samia, na Watanzania, tusikubali vitisho vyoyote kutoka kwa nchi yoyote, kuingilia sovereignity yetu, na kutolea mfano Rais...