Maumivu unayoyapata ndiyo maumivu tunayoyapata sisi ambao hatujaweza hata kuupata mwili wa Ben Saanane ili tumzike kimila na kwa taratibu zetu.
Israel walipambana for 10 years kuupata mwili wa Eli Cohen one of the great Spy ever lived on this planet ili tu kumzika kimila za kiyahudi.
Israel...
Akihojiwa kupitia Ayotv mtoto wa Hayati John Magufuli , Jessica Magufuli, amesema kuwa taarifa za kifo cha baba yake alizipata wakati huo akiwa Dodoma kupitia mitandao ya kijamii kama watanzania wengine walivyopata.
CCM kuweni makini msirudie makosa tena.
Hawa watoto wa viongozi hawawezi Kufanya Kazi nyingine .
Au waliambiwa wao ndio wanastahili kuongoza hii nchi .
Gharama alizompa Millardayo kwanini asingesaidia kununua hata madawati
We are not serious.
To be honest Jesca Magufuli, she is not smart and visionary.
Hakuna kitu kibaya Kama hawa watoto wa viongozi kuamini kuwa they deserves kuwa viongozi wao tu.
Wananchi wa Chato mpigeni chini huyo Jesca Magufuli.
Mirrad ayo unatumika vibaya.
Nasikiliza interview ya Jesca Magufuli binti wa Rais Magufuli.
Anasema baba yake alipoona Ikulu ya Chamwino ina eneo kubwa akaamua kununua na ng’ombe 30 na kuanza kuwafuga humo Ikulu.
Pia alinunua na kuanza kufuga kuku pia.
Huyu mtu hakuwa na nia ya kuachia madaraka, kama alianza na ng’ombe...
Kupitia mahojiano yalofanywa na Milardayo na mtoto wa mwisho wa Hayati Magufuli, Jesca John Joseph Magufuli
Pamoja na mambo mengi aliyoyasema, amekiri kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amebeba Jukumu la kosomesha watoto wote walokuwa wakisomeshwa na Marehemu...
Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania...
Jambo ambalo Dola na Polisi wanatakiwa walifahamu japo watajitia Ugumu na Upofu , Mabadiliko ni Lazima.
Nikawauliza, Mnauhakika huyo mnayemsimamia, atawaondoa kwenye matumizi ya Nguvu?.
Sasa mapemaaa tayari Mmevunja watu , Mmeua .
Haya yote yanawaunganisha Watanzania .
Mods naomba muache huu uzi kama ulivyo kwasababu inabidi hawa watu tuwakabili kwa uzito unaostahili.
Huyu Sheikh mnafiki na muongo anahoji maaskofu wa katoliki wanamkosoa Samia kwasababu ni muislamu na anahoji mbona wakati wa Magufuli wapinzani walifungwa mpaka jela na.maaskofu hawa hawakusema...
Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari
Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
Kwa wale wanao amini Magufuli sababu moja wapo ya kuondoka kwake ni ukatili wake kwa wasio kubaliana naye na wanao dhani alikuwa hapendi wapinzani sasa wanajiuliza. Kama Mama Samia anafuata yaleyale ambayo yalikuwa hayampendezi Mungu badala ya kurekebisha anapitia njia ile ile hizi sala za...
Lema amedai ametoka gerezani kuongea na Lissu na amemwambia watanzania wa siwe na hofu yuko tayari kufa.
Huyo mtu anayedai yuko tayari kufa alimkimbia Magufuli, amekimbiza familia yake yote na sąsa hivi mkewe yuko Ubelgiji na watoto wake na mke ameahidi Tanzania hakanyagi tena.
Sasa mtu...
Sisi wataalamu wa kuyasoma matukio tumeamshwa tena ...na hatutaacha kuonya na kusema.
Wale wale waliowahi kuzandiki Serikali tena kipindi kile kile cha kuelekea uchaguzi wamerudi tena kwa style ile ile.
Waliowahi kumsema,Kumtweza na kumsingizia Hayati Magufuli wamerudi vile vile na sasa...
Nataka tu kujua jinsi nafsi zinavyowasuta waliopinga miradi ifuatayo
1. Mradi wa SGR
Mradi huu ulipingwa sana na watu mbalimbali kiasi kwamba wabunge wa Chadema walitoka nje ya bunge wakidai kwamba Magufuli anatumia kodi za watanzania vibaya kwani mradi wa SGR hautafanikiwa.
Sasa mradi wa SGR...
Mlisema hakuna wakumzuia Magufuli! Yuko wapi leo? Yatatokea tena na tena tendeni haki!. Tuliwaambia wakati wa Magufuli na tunarudia tena. Kama kweli mnapenda viongozi na Tanzania wekeni mifumo ya haki bila hivyo Mungu atasafisha mwenyewe na kuondoa wale wote wasiopenda kutoa haki.
Yule...
Hivi kati ya Bashiru Ally Katibu mkuu wa Ccm Mstaafu na Rais Magufuli nani anabidi kubeba lawama za kuua Demokrasia na leo tunaishi kwa mashaka.
Ni nani kati ya Magufuli au Bashiru aliyeleta mfumo wa kupita bila kupingwa?
Asante
Shujaa Hayati Rais John Magufuli 2020 akiwa Ikungi jimboni kwa Tundu Lissu alikiri mbele ya Wazee wa Singida kwamba alitamani sana kufanya kazi na kijana wao Tundu Lissu lakini alikataa,kiuhalisia tofauti kubwa kati ya Hayati Rais John Magufuli na Tundu lissu ni majina na vyama lakini wote...
Mpo salama!
Kwa uelewa wangu nafahamu Wazalendo(wapenda nchi) wa dhati wapo popote.
Kuna Wazalendo wapo CCM.
Kuna Wazalendo wapo CHADEMA
Kuna Wazalendo wapo vyama vingine vya upinzani.
Na kuna Sisi Wazalendo ambao hatuna chama.
Ni kosa la kiufundi na ninyi Mjinga pekee ambaye atafikiri chama...
Hivi umewahi kujiuliza, ikiwa Magufuli angeishi hadi kumaliza awamu zake mbili za miaka 10 ya uraisi, angemuandaa nani ndani ya CCM ili awe mrithi wake wa kiti cha uraisi? Nimekuwa nikiwafikiria watu kadhaa na kukata mashauri yafuatayo;
Makamu wake wa Raisi, Samia - hapa hakuna kabisa hata...