magazeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. onemediaonline

    Magazeti ya leo Februari 10, 2026

  2. onemediaonline

    Magazeti ya leo Februari 08, 2026

  3. onemediaonline

    Magazeti ya Februari 6, 2026

  4. onemediaonline

    Magazeti ya leo, Februari 4, 2026

  5. Penguinelli Cactussini

    Tetesi: Wahariri na waandishi wa makala za magazeti nyakati hizi nina mashaka na afya zenu za akili

    Zamani tulisoma magazeti ya kila siku kwa sababu wahariri na waandishi wa makala walikuwa wanaibua hoja nzito kwa manufaa ya jamii na kutoa elimu kwenye maandiko yao. Ila sasa hawa wa sasa hivi hata waliopo hapa Jamiiforums ni kama kasuku. Wamegeuka praise team na bahati mbaya sana hata ule...
  6. The Palm Beach

    Kuelekea ICC: Samia S. Hassan azidi kukabwa koo. THE SUN na THE TIMES magazeti ya Uingereza yaanika ushahidi mwingine mauaji ya 29/10 - 3/11/2025

    https://youtu.be/aVlUdCvR93Q?si=quqP1lgRF2pBKGJw Sijui ile Tume ya mchongo chini ya Jaji Othumani Chande inatafuta nini tu wakati ushahidi wa ushiriki wa vyombo vya dola (Polisi, TISS, magereza, KMKM na UVCCM waliovikwa magwanda ya polisi pamoja na Mercenaries kutoka nchi za Uganda, DRC, Zambia...
  7. R

    PostGE2025 Uchaguzi wa 2025 Tanzania imeng'ara kwenye magazeti kama nchi ya mauaji na isiyo na demokrasia

    Historia ya Tanzania imebadilika ghafla kutokana na udikteta wa Rais Samia, Taifa lililosifika ulimwenguni kwa amani na ukarimu wa raia wake, sasa imekuwa nchi inayozungumzwa kama nchi iliyojaa mauaji, ukandamizaji na udikteta Vyombo vyetu vya habari vilipuuza sana kuripoti habari za matukio ya...
  8. Pakome

    Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni lenu kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki

    Vyombo vya Habari ikiwemo Tv, Radio na Magazeti chaguo ni leo kukubali kufa ama kuishi, kuishi kwenu ni kuacha unafiki Chaguo ni lenu wenyewe mchague kufa kwa kupuuzwa na Wananchi, itafikia mahali hata gazeti moja halitanunuliwa tena Itafika mahali hakuna Mwananchi atatizama Channel zenu...
  9. sajo

    TBC Taifa (Radio na Televisheni) na magazeti ya serikali kuonesha kwa usawa habari za vyama vyote vya siasa

    Kila baada ya miaka 5 Katiba ya JMT inaeleza kufanyika kwa uchaguzi mkuu hapa nchini ambapo wananchi huchagua Rais, wabunge na Madiwani. Katiba hiyohiyo pia imeelekeza uchaguzi mdogo kufanyika ndani ya kipindi kitachotangazwa na tume ya uchaguzi mara baada ya nafasi ya ugombea kuwa wazi...
  10. M

    Hayati Mkapa: Nilimwambia Aga Khan njoo anzisha magazeti mengi, ya serikali na IPP hayatoshi

  11. 4

    Yeriko Nyerere umeamua kua msaliti ndani ya chama chako cha awali ambacho kimekufanya kuwa pale ulipo, jitafakari sana

    Leo sina mengi ,ila imani ya Mungu ikawe juu yenu wanajf kila mmoja kwa imani yake. Yupo huyu Bwana aliekua CHADEMA Yeriko Nyerere. 1.Akome jiita Nyerere , maana kwanza sio mtoto wa Nyerere ,maana ukoo ulisha tamka, akihusishwa na yule mwingingine ambae watu wanamlalamikia ( ajifunze kwa ndugu...
  12. UMUGHAKA

    Vichwa vya Habari Vya Magazeti hapo Kesho

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Mwananchi "Furahisha yamfurahisha ndugu BENSON MASALA MAKALI SINGO KIGAILA" NIPASHE "Oparesheni C4C (CHAKA FOR CHAKA) Yaanza Kwa Kishindo Jijini Mwanza" MWANAHALISI "Mrema na wenzie waambulia aibu katika Viwanja vya Furahisha" MAJIRA...
  13. Dr Matola PhD

    Magazeti ya Tanzania kuna kitu gani kinaendelea? Mmepewa nini mpaka mnajitoa akili?

    Ukistaajabu ya Musa basi utayaona ya Firauni, magazeti yote ya leo ya Tanzania kwenye ukurasa wa mbele habari kubwa kwa ni kujiondowa kwa G55 Chadema. Sasa kuna maswali kila nikijiyliza nakosa majibu, •Ni habari ipi nzito kati ya Bunge la ulaya kuketi special kwa ajili ya kuijadiri Tanzania...
  14. F

    Kuhusu His majesty Agha Khan: Magazeti ya Kenya na TV huwa hazisemi ukweli

    RIP HM Aga Khan, Nimeshangazwa sana na magazeti ya Kenya walivyosema kuhusu historia, They didn't mention that the HM aga Khan IV alitawazwa akiwa Dar es Salaam wakati baba yake alivyofariki. Lakini magazeti ya Kenya yakiwamo Mwananchi hayasemi hivyo ila main media stream ya dunia nzima...
  15. Just Pray

    Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 28, 2025

  16. Just Pray

    Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 15, 2025

  17. Just Pray

    Habari kubwa kutoka kwenye magazeti ya leo Januari 13, 2025

Back
Top Bottom