Kenya watu wanaojiweza wana magari latest kwasababu huduma za gereji zipo za uhakika.
Arusha hadi Nairobi ni safari ya masaa tano tu unaweza kwenda na kurudi kwa mafuta lita 50 kwenye chombo kama BENZ gl 300.
kwanini hata matajiri bado wanasita kununua vitu latest vya ulaya ?
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini.
Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
Wakuu habari,
Tume huru ya uchaguzi Tanzania (INEC) imewakabidhi wagombea urais uchaguzi mkuu 2025 magari mapya aina ya LandCruise GX VXR Mpya ya 2025 zero kilometer.
Haitakua busara Mgombea wa CCM kupewa gari maana wanajitosheleza wale, kwanza msafara wa kuchukua tu fomu ilidhihirisha tayari...
Magari mapya yanayoingia nchini, hasa yenye plate mpya kama D au E, yamekuwa yakikumbwa na matatizo makubwa ndani ya muda mfupi tu baada ya kuanza kutumika. Hali hii imeibua maswali mengi kuhusu chanzo cha matatizo hayo. Uchambuzi unaonesha kuwa, licha ya uwezekano wa kuwepo kwa magari mabovu...
Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini.
Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
Kiongozi wa Malawi alitoa kauli hii katika hotuba ya kitaifa siku ya Jumamosi.
Kwa mujibu wa Rais Chakwera, serikali yake inalenga kuhakikisha kuwa fedha za walipa kodi hazipotei bure.
Alisema kuwa mojawapo ya hatua zilizochukuliwa ni kupunguza idadi ya magari kwenye msafara wake na kutumia...
Rais Samia Suluhu Hassann ametoa magari mapya kwa wakuu wa wilaya zote za Mkoa wa Pwani, ili kurahisisha utendaji kazi wa viongozi hao.
Akikabidhi magari hayo kwa niaba ya Rais, mkuu wa Mkoa wa Pwani, Abubakari Kunenge amesema Rais Samia Suluhu Hassan ametoa magari hayo ili kuwawezesha viongozi...
Kampuni ya Israel, iitwayo Electriq Global, imetengeneza gari yenye mfumo wa kubadilisha maji kuwa nishati ya kuendeshea gari.
Gari hilo, ukijaza maji kwenye tank, utahitajika kujaza mengine baada ya kilometa 1,000.
Mfumo wa nishati ya gari hilo ni kwamba unatengeneza hewa ya hydrogen kutoka...
Kama ni mfuatiliaji wa aina za Magari yanayomilikiwa na Watanzania walio wengi, utagundua kuwa asilimia kubwa wananunua Magari ambayo ni "Used" tena kwa miaka 10 au 15 nyuma, na yote ni sababu ya wingi wa Kodi za ajabu ajabu kutoka Mamlaka za nchi hii.
Tofauti na ukienda nchi za wenzetu mfano...
TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD
MAWASILIANO 0711707070
AUDI A4
YEAR : 2013
Stock No: 23/000536
Engine Capacity: 1800CC
Mileage:49,524KM
TRANSMISSION: AT
LEATHER SEAT
PRICE:35,000,000/= (With Full Registration)
TOYOTA...
abiria
basi
biashara
canter
freezer
fuso
kuagiza
magarimagarimapyamagari used
malori
mitsubishi
mkopo wa magari
mwaka
showroom
toyota
wauzaji wa magari
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.