magaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Magaidi wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi la jeshi Nigeria

    Magaidi wa ISWAP wakishirikiana na Boko Haram, wote wenye mlengo wa uislamu wavamia kambi ya kijeshi na kufanya maafa kule Nigeria. Hawa ISWAP sikua nawajua, duh yaani mwezi wao mtukufu ndio huwa na ushetani mara kumi......mpinga Kristo katika ubora wake. ========================== Suspected...
  2. Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kupata kipondo cha kufa mtu baada ya Israel kuyashambulia makazi yao

    Majeshi ya israel yanaendelea kuzipiga ngome za magaidi wa Hamas huko Gaza na wale waliokuwa wanavaa Combat kipindi cha zoezi la ubadirishanaji Mateka sasa hivi wameshazitupa wanavaa kiraia tu na ni waoga sana angalia kwenye video walivyokuwa wanazimenya mbio hii inadhibitisha wazi kuwa Israel...
  3. Magaidi wa Hezbollah waendelea kupata kipondo huko Lebanon!!!

    Magaidi wa Hezbollah baada ya wao jana kuishambulia Israel leo hii majeshi ya israel yamewalenga makamanda wa Hezbollah waliokuwa wakisafiri kutumia gari. Ikimbukwe kuwa magaidi wa Hezbollah walilemazwa na Operation Beeper 📟 ambayo ilisababisha wao kupi Gish wa magoti kwa kuwepo Ceasefire ambayo...
  4. Baada ya magaidi wa Hezboullah kuanza kuishambulia Israel leo jioni hii majeshi ya israel yamejibu mapigo

    Baada ya Israel kuacha kuwashambulia majeshi ya magaidi wa Hezboullah magaidi hao wameibuka tena kwa kuishambulia Israel na bila kupita majeshi ya Israel yamejibu mapigo kwa ngumu sana huko Beirut. https://x.com/osint613/status/1903509350292816241?s=61
  5. Magaidi wa Hamas wapewa onyo kali kama watathubutu kuwadhuru mateka wa kiyahudii huko Gaza

    Jeshi la Israel limetoa ONYO kali kwa Magaidi wa Hamas i kiwa watajaribu kuwadhuru mateka wa Israel kufuatia tishio lao la kuwaua mateka wa Israel endapo Israel itaendeleza mashambulio yao kwa magaidi hao. Jeshi hilo limesema huko kutasababisha eneo lote łka Gaza kuchukuliiwa na majeshi hayo.
  6. Waasi wa Houthi waandamana Yemen kupinga shambulizi la Marekani la hivi karibuni

    Maandamano makubwa yalizuka katika miji kadhaa ya Yemen, ikiwemo Sana’a, Saada, Dhamar, Hodeida na Amran, baada ya mashambulizi ya Marekani dhidi ya waasi wa Houthi. Waandamanaji, wengi wakibeba bunduki, visu na Quran, walipaza sauti wakisema, “Kifo kwa Amerika, kifo kwa Israel!” Katika mji...
  7. Kimeumana: Magaidi wa HTS na Hezbollah wauana kikatili

    Magaidi waliompindua Rais Assad wa Syria wameapa kupambana na Magaidi wenzao wa Hezbollah kwenye mpaka wa Syria na Lebanon hii inatokana na Hezbollah kuingia Syria na kuwateka nyara askari wa Utawala mpya wa Syria kisha kuwaua kwa ku wapiga mawe kichwani baada ya kuwa Una miguu kwa risasi. Hapo...
  8. Israeli yaachana maamuzi ya kusitisha mapigano Gaza, yaua zaidi ya watu 400

    🚨BREAKING: IDF imethibitisha rasmi kuwa imefanikiwa kuwaangamiza magaidi 6 wa Hamas leo ndani ya Ukanda wa Gaza. Mmoja wao alishiriki katika mauaji ya Oktoba 7, mmoja alikuwa amevaa kama mwandishi wa habari, na mmoja alikuwa amevaa kama mpiga picha.
  9. Magaidi wa Houthi huko Yemen usiku kuamkia leo wamechezea kichapo cha mbwa-koko baada ya ndege-vita za Marekani kuwashambulia usiku kucha

    Baada ya Magaidi wa Houth huko Yemen kutishia kuanza kuzishambulia Meli za ki raia zinazopita kwenye bahati nyukundu mara tu Israel ilipozuia misafara ya magari ya misaada kuelekea Gaza usiku wa kuamkia leo Magaidi hao wamechezea kichapo cha mbwa-Koko baada ya ndege-vita za Marekani kuwapa...
  10. Somalia sheria ya kifo kwa wahalifu na magaidi imesaidia kuituliza somalia

    Somalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni. Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira tena. Somalia baada ya miaka ya mbeleni itakuwa imetulia na kuwa nchi salama sana
  11. Russia ya wahifadhi raia wanaokimbia kuuwawa na magaidi yanaodhaliwa na Israel huko Sryria

    LATAKIA: SYRIA Russia imeruhusu raia wa jamii ya Alawite wanaokimbia mauaji ya Utawala wa Magaidi uliosimikwa na kufadhiliwa na Israel kuingia ndani ya kambi ya Jeshi Khmeimim Air base Latakia 🚨🇷🇺🇸🇾 Russian Federation Troops at Russia's Khmeimim airbase, Latakia region, has opened its doors...
  12. Kiongozi wa magaidi wa Hamas auwawa. Na askari wa Israel huko Jenin

    Majeshi ya Israel yanaendelea kuwasaka magaidi wa Hamas popote walipo siku ya leo kiongozi wa magaidi hao huko JENIN aliweza kuuwawa na sasa. .Jenin imekuwa ngome kubwa ya Magaidi ambao mara kwa mara walikuwa wakipigana na wenzao wanaoongozwa na Serikali ya Mahmoud Abas. Israel imekuwa ikiingia...
  13. DOGE yaweka hadharani vikundi vya magaidi vilivyokuwa vinafadhiliwa na USAID

    Kulingana na Elon Musk kupitia DOGE yake hivi ndivyo vikundi vya magaidi vilivyokuwa vinafadhiliwa na USAID! Utapeli mtupu.
  14. Waziri mkuu wa israel benjamin netanyahu asitisha kuachiwa kwa magaidi 620

    Ofisi ya Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu imetangaza kuwa magaidi 600+ ambao walikuwa wamepangwa kuachiliwa leo kutoka magereza nchini Israel, badala ya mateka 6 walioachiliwa leo asubuhi kutoka Gaza, hawataachiliwa kutokana na kuendelea kwa Hamas "ukiukaji na udhalilishaji" wa mateka...
  15. " Benjamini Netanyahu aapa kulala nao kiulaloulalo magaidi wa Hamas baada ya kuwaua watoto ariel na kafri Bibas na mwili wa mama yao kufichwa

    Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ameapa kuwashughulikia magaidi wa Hamas kwa vitendo vya vya kinyama kuua watoto Kafri na Ariel Bibas watoto ambao waliwateka nyara Oct 07,2023 wakiwa na Mama yao Shiri Bibas na miili yao kurudishwa wakiwa wamekufa na Hamas kudai walikufa kutokana na...
  16. Hamas wakiuka makubaliano ya kubadilishana mateka kwa kutourudisha mwili wa Shiri Bibas

    Kufuatia kukamilika kwa mchakato wa utambulisho na Taasisi ya Kitaifa ya Tiba ya Uchunguzi kwa kushirikiana na Polisi wa Israeli, wawakilishi wa IDF wamefahamisha familia ya Bibas kwamba wapendwa wao, Ariel na Kfir Bibas miili yao imetambuliwa. Kulingana na tathmini zilizofanywa na wataalamu...
  17. South Africa wapeleka wanajeshi zaidi 700-800 na VIFAA Vizito vya kivita kupambana na M23

    BAADA ya WANAJESHI WAO kuuwawa na M23 South Africa imetuma WANAJESHI zaidi ya 700 na VIFAA vizitooo Imeomba nchi za SADC na EAC kushirkiana kuuondoa MAGAIDI WA M23 wakiachwa wataenea Africa nzima USHAURI tu wapendwa Hawa n majangili magaidiiii Pale mnapoweza kupambana nao pambaneni nao...
  18. Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Israel

    Majeshi ya Israel IDF bado yanaendelea kushusha kipondo ki Takatifu kwa magaidi wa Hezboullah baada ya magaidi hao kukiuka masharti ya kusitisha mapigano huko kusin mwa Lebanon.
  19. U

    IDF yaua magaidi 60 ya hamas, yakamata 210 ni operesheni kubwa maalumu ya kijeshi almaarufu Operation Iron Wall huko magharibi mwa mto Jordan

    Wadau hamjamboni nyote? Operesheni kubwa ya kijeshi kuyasaka magaidi ya Hamas yaendelea huko ukingo magharibi mwa mto Jordan Mungu ibariki Israel Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: February 13, 2025 IDF says over 60 terror operatives killed, 210 detained amid ongoing West Bank...
  20. D

    Ki ukweli M23 ndo wazalendo wa Congo ila perception yetu kwao ni hasi kwa sababu fikra zetu ni finyu

    M23 wanapigania rasilimali zao zisichukiliwe na wazungu kupitia puppets wao akina Tschisekedi na Marais wengine ambao Marekani au Magharibi inawapandikiza. Ila kwa sababu sisi waafrika hatuangalii mambo kwa mapana tunawaona m23 kwamba eti ndo magaidi. Afrika aliyeturoga alituua haswaa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…