Baraza la mawaziri la usalama la Israel liliidhinisha mpango wa kupanua mashambulizi ya kijeshi huko Gaza, kwa lengo la kuishinda Hamas, kudhibiti eneo na kuwaachilia mateka.
Mpango huo ni pamoja na kuwahamisha raia, kuwazuia Hamas kuchukua misaada, na kudhoofisha udhibiti wake. Utekelezaji...
Sikudhani kuna siku nitakubaliana na muarabu kwenye chochote, tangu walipoharibu dunia na uzombi wa kidini, ila naona vizazi vya leo vya muarabu wako makini kwenye kurekebisha mauchafu yalioachwa na mababu zao, ukituhumiwa ugaidi unachinjwa moja kwa moja, hawatanii..... Hii iwafikie Waafrika...
Waafrika wanachinja Waafrika wenzao kisa uislamu, wanaendelea kuchinja kwa kwenda mbele, wana hasira hata kuzidi muarabu mwenye dini yake......
===========================
Suspected Islamist militants killed at least 22 people and wounded several others in two separate attacks over the weekend...
Ndio bandari iliyokua inategemewa kuuza mafuta kisiri kwa China, na pia ilitumika sana kupeleka silaha kwa magaidi wa kiislamu, japo haijabainika nini kilijiri ila kuna uwezekano makomando wa Mosad walifanya yao....kwa kifupi hapo Iran hamna sehemu ambayo haiwezi kupigwa au haipigiki...
Majeshi ya Israel jana yalifanikiwa kuwaua magaidi wa Hamas 15 kwa mpigo baada ya kuwashambulia maficho yao huko Gaza. Kwa taarifa zilizotolewa na IDF magaidi hao walikuwa wanajiandaa kuyashambulia majeshi ya Israel yanayoendelea kuso ha mbele bila upinzani huko Gaza.
Magaidi hao Wamekosa...
Nimesikitishwa kusikia mashirika ya haki za binadamu na mengine ya sheria yanatoa wito kwa jeshi la polisi kuacha kutumia nguvu, hii sio mara ya kwanza kusikia kauli kama hizi na watu wamekuwa wanaendelea kuuwawa kwanini msiwaorodheshe kama magaidi kushinikiza mabadiliko. hayo matamko mepesi ya...
Huko India katika eneo mojawapo la kitalii Pahalgam, Jammu katika jimbo la Kashmir limepigwa shambuli baya la magaidi na kuua watu zaidi ya 24.
Narendra Modi aliyekuwa na ziara yake Saudi Arabia ameikatiza na kurudi India kushughulikia maafa.
Katibu Mkuu wa Hizbullah, Sheikh Naim Qassem:
"Hatutaruhusu mtu yeyote kuwapokonya silaha Hezbollah, na wazo la kupokonya silaha lazima liondolewe kabisa kwenye kamusi.
Silaha zetu ndizo nguzo ya upinzani, ndizo zilizoikomboa nchi yetu na kulinda mamlaka ya taifa letu tupendwa.'
Kwa lugha...
Kuna makundi yanayowapinga Wahouth huko Yemen yanajiandaa kuanzisha shambulio la ardhini kuwatimua magaidi wa Houth ambao wamekufa kera maeneo hayo. Askari zaidi ya 80,000 wanajiandaa kuanza uvamizi huo kwa nią ya kuiokoa Yemen kutoka kwenye mikono ya magaidi hao wanaoungwa mkono na Iran
Kuna majimbo ya huko Nigeria ya Kaskazini na Plateau kusikia watu wamechinjwa au wametekwa kwa sababu za kidini na magaidi ni jambo la kawaida tu ila sijawahi kusikia serikali yao ikifanya operations kubwa za kijeshi kuyadhibiti magaidi wauaji au hata UN, jumuiya za kimataifa na mataifa yenye...
Magaidi wa Houth kutoka Yemen leo Wamejaribu kuishambulia Jerusalem kwa kurusha makombola ya Ballistic 2. Mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel iliweza kwa ustami mkubwa kuyapopoa na katika zoezi hilo hakuna madhara yoyote yaliyotokea. Wakati huo huo huko Yemen Wahouth wameendeleza uongo wao wa...
IDF na ISA wamewaangamiza magaidi 11 wa Hamas na Islamic Jihad waliojipenyeza Israel na kushiriki katika mauaji ya Oct 07,2023, wakiwemo wale waliohusika moja kwa moja katika mauaji na utekaji nyara wa raia na wanajeshi wa Israel.
Tisa waliuawa katika operesheni za hivi majuzi huko Gaza...
IDF imemwangamiza Gaidi Haitham Sheikh Khalil, kamanda wa Kikosi cha Hamas Shejaiya aliyehusika na shambulio la Nahal Oz Oct 07,2023 Khalil alipanga oparesheni za kigaidi dhidi ya wanajeshi wa IDF, alitega vilipuzi, na akaongoza shughuli za handaki ya Hamas. Kifo chake kinafuatia kuangamizwa...
Magaidi wa Houth wanaendelea kupata kichapo kutoka majeshi ya Marekani. Kipondo hicho kimefanya wapate kiwewe na walipohojiwa huku wakiwa wamebugia miru hi mdomoni walisema
“ Imekuwa kila usiku watu wana kosa Amani maana hatujui leo Marekani itashambulia wapi, maisha kama haya ni lazima...
Gaidi aliyejifanya kuwa mwandishi wa habari, Hassan Masana, aliyeripoti mauaji ya Oktoba 7 na ambaye aliongozana na magaidi hao naye ameangamizwa baada ya mashambulizi ya ndege za israel huko Khan younis kumjeruhi vibaya baada ikaripotiwa katutoka
Mwandishi huyu alikuwa na nafasi ya kuzuia...
'Hawataweza Kuzamisha Meli Zetu Tena!' Trump awaambia magaidi wa Houthi.
Rais wa Marekani Donald Trump, katika chapisho kwenye akaunti yake rasmi ya Ukweli wa Kijamii, alishiriki video ya shambulio la anga la Marekani na kudai lililenga wanamgambo wanaojiandaa kwa shambulio. "Hawa Houthi...
Mjumbe wa ofisi ya kisiasa ya Hamas Suhail al-Handi: amesema
"Tuko tayari kuwaachilia mateka wote kwa sharti kwamba vita viishe, vivuko vifunguliwe, na Ukanda huo ujengwe upya.
Tunakataa masharti ya Netanyahu na Trump kuhusu kupokonywa silaha zetu na kufukuzwa kwa watu wakuu wa Hamas kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.