mafuta ya alizeti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. chibe dayo

    Nauza mafuta ya alizeti

    Habari wanajamvi! Mimi nauza mafuta ya alizeti kutoka mkoani singida popote yanafika bei ya Lita ni shillingi elf 6 na punguzo lipo mtu akichkua Mengi Asante
  2. me fareed

    Mafuta ya alizeti toka Singida

    Tunajihusisha na uuzaji wa mafuta ya alizeti kutoka Singida kwa bei za jumla na rejareja kwa lita 1,3,4,5 na 20.. karibuni sana kwa huduma tuwasiliane +255623140090.
  3. Mbalizi feedstuff

    Wapi naweza kupata breaching earth kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya alizeti

    Habari za mda huu wa kuu.kichwa cha somo chahusika.Ninatarajia kufungua kiwanda kidogo kwa ajili ya usafishaji wa mafuta ya kupikia hivyo ninahitaji kemikali muhimu katika shughuli hii.Mafuta nitakayokuwa nayachqkata ni ya alizeti,mawese na mengineyo.Naamini JF ina watu wa kila nyanja katika hao...
  4. Kaunara

    Mafuta ya Safi na Korie yanatokana na Alizeti gani inayoganda?

    Habari za mda huu! Naenda kwenye mada fupi tu. Nimetaja mafuta hayo sababu common sana kwa wengi wetu. Ila kuna mafuta mengi yapo mtaani ambayo yanaganda. Na uhakika wa haya mafuta kuwa yanaganda kwa asilimia 100. Na mafuta haya hutengenezwa na alizeti kwa mujibu wa watengenezaji, ila ukweli...
  5. Dr Luu

    DOKEZO Chukueni tahadhari dhidi ya mafuta ya kula na kupakaa mnayotumia

    Habari, kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Mimi nina uzoefu kwa kiasi juu ya vyakula kwa kuwa ni mtafiti, tabibu na pia ninamiliki duka la rejareja. Ingawa sipati muda wa kukaa mara nyingi dukani, nimekuwa nikiona brands nyingi zikiingia sokoni tena kwa bei nafuu. Kutokana na wateja...
  6. MOSintel Inc

    Vunja bei: Nauza mafuta ya alizeti katika ujazo wa lita 5 kwa bei sawa na bure

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 5 kwa TZS 24,000/- : * Mafuta ni masafi * Hayana harufu, * Sio ya kuchemsha na * Si machungu * Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  7. MOSintel Inc

    Nauza mafuta ya Alizeti kwa nei ya jumla kwenye madumu ya Lita 20 (NAVUNJA BEI)

    Habari, Kama heading inavyojieleza nauza mafuta ya Alizeti katika dumu za lita 20 (zimezidi Lita 1-2 kwa kila dumu). Mafuta ni masafi na hayana harufu, sio ya kuchemsha na si machungu. Muonekano wake unaita. Mzigo upo Kibaha mjini. Kama una uhitaji karibu PM au nicheki kupitia namba 0787454580...
  8. me fareed

    Nauza mafuta ya alizeti bei nzuri sana

    Mafuta yanapatikana kwenye ujazo wa ltr1, ltr3,ltr4 na lita 5.... Bei rafiki sana 0623140090 nitafute tufanye biashara yanapatikana kwa jumla na rejareja.. karibuni sana
  9. 90sgeneration

    Mafuta ya alizeti - lita 20-72,000

    Kwa anaehitaji mafuta ya alizeti pure. Lita 20 - 70,000 Lita 5 - 22,000 Karibu sana: Kwa walioko Daresalaam tu. Call: 0752329591.
  10. K

    Nauza Mafuta ya Alizeti mazuri sana

    Nauza mafuta ya alizeti kwa jumla na rejareja. Dumu la 5ltrs kwa 25,000 tu na 20ltrs kwa 96,000 tu. Mzigo upo Sinza, Dar.
  11. Iziwari

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi

    Bei ya gunia la mashudu ya mafuta ya alizeti: Chakula bora cha kuku Nguruwe Sungura na wanyama wengi. Best Price for Suck of Sunflower meal or Seeds. Mashudu ya mafuta ya alizeti ni chakula cha mifugo ambacho kina thamani kubwa sana. Chakula hiki kina weza kutumika na wanyama kama Kuku, Bata...
  12. I

    Ladha ya uchachu ya baadhi ya mafuta ya alizeti

    Hii ni mara ya pili nanunua mafuta ya alizetia ambayo yanatia ladha mbaya kwenye chakula. Hivi wengine mshakutana na hii? Kuna anayejua inasababishwa na nini? Au ndo alizeti feki?
  13. Lanlady

    Ni kweli mafuta ya alizeti hayana mwisho wa matumizi?

    Kuna mtu kanunua mafuta ya alizeti, akauliza 'expire date' akaambiwa hayana 'expire date'. Kwamba ni kama asali. Je, kweli? Kwani baadhi ya 'package' za bidhaa hiyo haionesho mwisho wa matumizi. Na nyingine inaonesha lakini tayari imeshapita japo bado iko sokoni! Naomba kwa anayejua anisaidie!
  14. Uhuru24

    Nauza mafuta ya alizeti

    Baada ya maadiliko ya hali ya hewa sisi wakulima kukosa kabisa mazao ya kutosha,hivyo haya machache niliyopata nimeona bora nikamue mafuta niuze. Hivyo nauza kuanzia lita tano kwa 30,000 tu, mafuta yangu safi na bora kwa matumizi ya binadamu. Hayana kabisa harufu kama yalivyozoeleka, nipo...
  15. D

    Ninanauza Mafuta ya Alizeti

    Fakama wharehouse and Processing co.ltd ni wazalishaji na wauzaji wa mafuta ya Alizeti, kiwanda kinapatikana Mapilinga, Misungwi - Mwanza . Kwa yoyote anaehitaji kujiuisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti mikoani - tuwasiliane kupitia simu namba 0755261248 au piga simu moja kwa moja...
  16. Extrovert

    INAUZWA Mafuta ya alizeti

    Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana impurities kama fatty acids na sumu kuvu ya kwenye maganda hali inayopelekea...
  17. Extrovert

    Mafuta ya Alizeti pure & refined!

    Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri! Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana...
  18. kimsboy

    Lita ya mafuta ya kula imefika Tsh elfu 10. Rais Samia ajulishwe na aingilie kati

    Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10 Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000 Na hayo makorie wengine huwa hatugusi...
  19. Digital Innovator

    Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

    Salaam wadau, Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts" Ahsante.
  20. N

    Mafuta ya alizeti

    Hello wapendwa, Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa. Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
Back
Top Bottom