Brothers & Sisters, ladies and gentlemen nawasalimu kwa jina la jamuhuri!
Nina mafuta ya Alizeti halisi ambayo imepitia process zote za refinery na kuhakikisha yanabaki as clear as possible huku yakibakia na health benefits za vitamins muhimu kama A,D,E na K bila kusahau omega 6. Hayana...
Mwambieni mama yenu mheshimiwa Rais kuwa lita moja ya mafuta ya kupikia ya Alizeti imefika elfu 10
Mwambieni nyama kilo ni hadi elfu 10 kwa sasa
Imagine mafuta ya alizeti lita imefika elfu 10 haya mafuta mengine ya mgando sijui makorie ndo lita 6000
Na hayo makorie wengine huwa hatugusi...
Salaam wadau,
Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts"
Ahsante.
Hello wapendwa,
Kutokana na changamoto za hapa na pale nmeamua kujihusisha na biashara ya kuuza mafuta ya alizeti. Hali ni ngumu jamani unaweza tamani kujiuza. Ila nimeona kuliko nifikie huko ni bora nitafute rikizi. Nauza elf 30 dumu la lita 5. Ni mazuri kabisa.
Mwenye uhitaji anipm nakuletea...
Habari zenu wana JF!
Natafuta soko la unga wa ubuyu na mafuta ya alizeti, yeyote anayeweza kunisaidia kupata soko, tuwasiliane kwa 0757140014 whatsapp or sms or call.
Asanteni
Bei ya dumu la alizeti ilifikia 97k baadae ikaja kuwa 85k ikafikia 80k week iliyopita. Leo limeshuka mpk 74k na Bado litaendelea kushuka maana ndo msimu inaweza kufikia Bei ya zamani ya 56k.
Unaonaje ikifikia 56k ukawekeza hata madumu 200 ukalipia 1120000 baadae Mwezi wa 10,11,12 Bei Ina panda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.