mafunzo ya ufundi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Hali ya Uendeshaji na Utendaji Kazi wa Mamlaka ya Mafunzo ya Ufundi Stadi VETA

    Salaam, Tafadhali kama mdau mwenye kutakia mama nchi naomba muangaze mambo haya ndani ya VETA. 1. Mamlaka ina shida kubwa kwenye utoaji wa mafunzo, shida kubwa ikiwa kwenye upatikanaji wa dhana za kufundishia (trainning materials). Kwa makadrio ya chini kinachopatikana ni kama 20% ya...
  2. JanguKamaJangu

    Kassim Majaliwa: Tuhakikishe vijana wanapata mafunzo ya ufundi stadi

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, ametoa wito kwa wazazi na walezi kote nchini kuhakikisha wanawapeleka vijana wao kupata mafunzo ya ufundi stadi yanayoratibiwa na Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) pamoja na Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwawezesha kupata ujuzi utakaowasaidia kujiajiri na kuchangia maendeleo...
  3. W

    Dkt. Masabo: suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua changamoto ya ajira iliyopo sasa

    Mhadhiri wa Sayansi ya Siasa wa Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), Dk Conrad Masabo amesema suala la wahitimu kuambiwa kwenda kusoma mafunzo ya ufundi stadi (Veta), ni kama zima moto ya kutatua changamoto ya ajira iliyopo sasa. “Tujiulize nchi gani duniani imetatua changamoto ya ajira kwa watu...
  4. mwanamwana

    PreGE2025 Abdul Nondo: Serikali haijawekeza vya kutosha mafunzo ya ufundi kwa vijana

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa ACT Wazalendo taifa, Abdul Nondo, amehoji nia na utayari wa Serikali katika kusaidia vijana wasio na ajira kwa kuwekeza zaidi kwenye mafunzo ya ufundi stadi kupitia vyuo vya Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) Nondo amesema kuwa licha ya Serikali...
  5. L

    China yalivalia njuga suala la kutoa mafunzo ya ufundi stadi kwa vijana wa Afrika

    Ushirikiano kati ya China na Afrika katika elimu na mafunzo ya ufundi stadi ni muhimu sana na kwa sasa unaonekana kudumisha kasi nzuri, vilevile umeendelea kustawi kwa pande zote. Kupitia ushirikiano huu vijana wengi wa Afrika wananufaika katika masuala ya ufadhili wa masomo na kuja kusoma...
  6. S

    SoC04 Kuboresha mifumo ya elimu ya ufundi stadi ili kuleta matokeo chanya katika nchi yetu

    Viongozi wetu wamekuwa wakifanya mabadiliko mbali mbali katika sekta hadhimu ya elimu,mabadiliko hayo kwa namna fulani tumeona yakileta matokeo mazuri. Pia matokeo hayo ni jitihada zilizochukuliwa na baadhi ya waasisi wetu. Tuna vyuo vya ufundi stadi yaani (vocational and training centre) na...
Back
Top Bottom