CC: Mshana Jr
TUFUNDISHE ZAIDI
Wimbi la mafunzo yanayoitwa ya "asili" yakilenga wanawake, Kwa kutumia maneno kama Yoni Healing, Womb Health, au Kundalini. Ingawa yanaonekana kama ni mazoezi ya kawaida au afya, ndani yake kuna mambo mazito unayopaswa kuyajua kabla hujaingia.
1. Mtego wa Kiroho...
Wakuu nimekuta na hii video sehemu, Mchungaji anawasimanga vijana na kuna mahala anaenda mbali zaidi mpaka kusema Vijana hawezi hata kudai haki, wakipewa Elfu 5 tu wavaa T-shirt.
Hii mijadala ya dini na siasa imekuwa yakawaida sana hivi karibuni na mpaka wa Viongozi wa dini kuonekana wanafanya...
Hauwezi kuwa mkristo halafu wakati huo huo ukawa mshabiki wa Rais @SuluhuSamia , NEVER.
Nasema hivi kwa sababu kuwa mkristo ni kuamini na kufuata aliyoyatenda na kuyaishi Yesu Kristo.
Yesu aliamini katika KWELI na aliisema KWELI mpaka ikamuingiza kaburini.
Kupitia maneno yake na matendo yake...
Kuna baadhi ya mafundisho yanaenea katika Ukristo ambayo hayana msingi wowote kwenye Biblia
1. KUAMURU MALAIKA (COMMANDING THE ANGELS)
Kuna baadhi ya watumishi wanafundisha waumini kuamuru Malaika kufanya mambo fulani. Jambo hili ni kinyume kabisa na maandiko kwani Malaika ni watumishi wa...
Mtakatifu MARIA GORETTI
Maria Goretti alizaliwa tarehe 16 Oktoba 1890 katika kijiji kidogo huko Corinaldo, Italia. Familia yake ilikuwa maskini sana, lakini ilijulikana kwa imani na mshikamano wa kifamilia. Maria alikuwa mtoto wa pili kati ya watoto sita.
Baba yake, Luigi, alifariki akiwa...
Kwa wanaopenda kusikiliza na kuyajadili mafundisho ya kikristo ya huyu mwalimu tukutane hapa. Mimi si mtu wa kuvutwa au kukubaliana kirahisi na hawa walimu wa biblia wa siku hizi ila kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa nimesikiliza mafundisho na vipindi vyake vya maswali na majibu huko YouTube na...
Naweza kukubali kwamba wasabato wengi hujulikana kwa nidhamu na uadilifu, jambo ambalo ni sifa ya kupongezwa. Hata hivyo, pamoja na sifa hizo nzuri, bado kuna sintofahamu ya wazi kuhusu uwakilishi wao katika ngazi za juu za maamuzi na ushawishi kama vile siasa, uchumi, mfumo wa utawala...
Shalom!
Niko mbioni kuanzisha kanisa langu na yafuatayo yatakuwa mambo ambayo nitayafundisha
1. Kwamba ukifa kunakuwa na mzani utakaotumika kupima ubaya na uzuri uliofanya ukiwa duniani na iwapo ukiwa na mabaya mengi basi utatupwa kwa jehanamu ukiwa na mazuri mengi basi utaingia peponi. Hii...
Kwa unyenyekevu na matumaini wanazuoni wenzangu, heshima sana kwenu...............
Sherehe za Pasaka zinatufundisha kila mwaka kuhusu maadili ya kujitolea, ukweli, na dhamira. Pasaka ilitokea baada ya Yuda kumsaliti Yesu kwa fedha za dhihaka, lakini pasaka sio tu kumbukumbu ya tukio la...
Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana.
Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ametania kuwa nyama choma ya Arusha haina uhusiano wowote na mafundisho ya Dkt. Janabi kuhusu masuala ya afya.
"Mhe. Rais, sherehe zetu zilihitimishwa jana na ulaji wa nyama... Nyama ya Mkoa wa Arusha haina uhusiano na mafundisho ya Dkt. Janabi. Sisi...
Wadau hamjamboni nyote?
Nilikuwa naongea na Msabato mmoja rafiki yangu kuhusu Kanisa kuruhusu baadhi ya mafundisho au Imani zinazoenda kinyume na Biblia
Katika mazungumzo yetu nilimtajia mambo mawili tu ambayo yameruhusiwa Kanisani karibuni kuwa ni kuruhusu wachungaji wanawake , idara ya...
Amani kwenu. Naomba tusikilize video hii ambayo nimeweka link hapo chini. Tovia Singer ni mwalimu wa dini ( Rabi) mwenye asili ya uyahudi na mwenye kufuata imani ya kiyahudi ( Judaism).
Hapa anakanusha kwamba Yesu hakuzaliwa na bikira na wala jina Imannueli (Mungu pamoja nasi) siyo jina la Yesu...
Kuhusu Mafuta ya Upako na mavitu ya aina hiyo
https://youtu.be/xx8rWWCIg6c?si=nbltSobDGPsezWPO
https://youtu.be/I4OtZ1AoGcU?si=2XR4Yn3OPD2ZLN8l
Msikilize hapa kuhusu Hawa wahuni wa Sadaka za kuvunja laana ,kukomboa familia
https://youtu.be/FkDv56OFfU4?si=jN_fOWdHzX-6RLlY
Uislamu unasisitiza uhuru wa dini na haki ya kila mtu kuchagua dini yake bila kulazimishwa. Hii inathibitishwa katika aya maarufu ya Qur'ani:
- Qur'ani 2:256 (Surat Al-Baqarah):
Aya hii inaonyesha kuwa Uislamu unaheshimu haki ya mtu binafsi kuchagua dini yake, na hakuna mtu anapaswa...
👉🏾Mafundisho ya Yesu Kristo yalikuwa ufunuo wa kimungu uliojaa upendo, msamaha, na haki, akionyesha muunganiko wa kibinadamu na kimungu. Alibadili mtindo wa uongozi wa wakati wake na kutoa mwanga wa kiroho katika ulimwengu uliojaa dhambi na udhalimu.
👉🏾Kwa kufundisha upendo usio na masharti na...
Huduma ya Yesu ilihudumiwa na voluntary giving za watu walioona ukweli wa huduma yake (siyo haya mazingaombwe na motivational speeches za hawa wahubiri uchwara wa leo). Wala mitume wa Yesu wala hakuna popote kwenye maandiko ya kikristo (Agano Jipya) kumesema utoe fungu la kumi. Mtume Paulo...
Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha.
Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk
Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu...
Wadau hamjamboni nyote?
Uzi maalumu wenye orodha ya mafundisho ambayo Wasabato hapo awali hawakuyakubali ila sasa wameyapokea kwa moyo mmoja
Wakatoliki wanamwabudu Mungu Mmoja na wa Pekee, aliyeko katika nafsi tatu za kimungu zilizo sawa, za milele, na za upatano: Mungu Baba, Mungu Mwana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.