maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maendeleo halisi huletwa na mzizi

    Kwenye jamii yako Siasa ndiyo ikuongozayo yaani Mwanasiasa(Maneno), Lakini Ukweli ni kwamba "Maneno" kwa kuwa Hubadilika wakati wowote, hayawezi kisahihi kukuongoza ama kukulinda bila ya kuwa na mzizi wake ambao ni neno! Mtu makini anajua hili; "Nyuma ya Rais [sii wakati wote utamwona] ila ni...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Malezi bora kwa watoto hasa wa kike kwa Taifa bora la kesho na maendeleo

    Watoto wetu wa leo ndio taifa letu la kesho, Ikiwa tutawaandaa vyema tutatengeneza jamii na taifa bora pia lenye nguvu baadae na kufikia malengo kwa haraka zaidi . Tukitaka kufikia malengo na kuwa na taifa bora na lenye nguvu kwanza tunatakiwa kujenga misingi imara kwa watoto wa kike kwani: -...
  3. D

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matumizi Bora ya Ardhi kwa Maendeleo endelevu

    UTANGULIZI: Tanzania ni miongozi mwa nchi za bara la Afrika zinazopatikana kusini mwa jangwa la Sahara, pia ni miongoni mwa nchi zinazoendelea kiuchumi duniani. Tanzania ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyingi ambazo ni pamoja na ardhi yenye rutuba, bahari ya Hindi, maziwa makubwa na madogo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Ianzishwe Wakala wa Maendeleo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Vijijini

    UTANGULIZI TEHAMA au Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ni mkusanyiko wa watu,vifaa vya kompyuta na mawasiliano,programu na data ambazo zinachakatwa na kutoa au kupata taarifa zinazo tumika katika nyanja mbalimbali. Maendeleo ya TEHAMA katika nchi yetu na Dunia yanazidi kuongezeka kwa sababu...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Vijana katika Jamii kuelekea kwenye maendeleo

    Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii. Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba moja katika jamii ?' - Ni kundi lenye watu wengi zaidi ukilinganisha na makundi mengine ambayo ni...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Utunzaji wa Mazingira, Mabadiliko tabia ya nchi na maendeleo ya nchi yetu

    Tunayategemea mazingira, tunaishi ndani yake, hapana Shaka bila ya mazingira maisha yetu hayawezekaniki, pengine niseme, Sisi ni watoto wa mazingira, nayo ndiyo Mama yetu anayetulea Kwa kutupatia kila tunachokihitaji, hata hivyo katika Mazingira vipo vitu vingi hasa, vingine hata hatujui kazi na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa tunalipa wote. Wale machinga ambao mlikuwa mnawashangilia wauze bila kodi sasa ndiyo mnajua kwamba...
  8. JamiiForums Tanzania PEMBA: Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi

    PEMBA ZANZIBAR Alichosema Katibu Mkuu wa UVCCM Ndugu Kenani Laban Kihongosi Wananchi mchagueni Ndugu Shekha Fakhi Mpemba ili alete maendeleo katika Jimbo la Konde. Alisema moja ya changamoto katika jimbo hilo ni uvuvi wa kisasa na wenye tija zaidi na mtatuzi wa changamoto zote ni kumchagua...
  9. JamiiForums Tanzania RATIBA: Baada ya Mwanza Kongamano la Katiba Mpya lielekee Ikungi -Singida

    Ikumbukwe kwamba siku ya Jumamosi ya 17/7/2021 lile Kongamano kubwa kabisa la Katiba mpya litafanyika Jijini Mwanza , Tunawashukuru Chadema na wadau wote waliowezesha Makongamano haya kufanikiwa . Sina haja sana na kongamano hili ambalo halijafanyika bado , Bali ninachotaka kuwaomba viongozi...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu ya darasani haihusiani na Maendeleo ya Kiuchumi

    Uchumi ni jumla ya shughuli zote za binadamu zinazolenga kutosheleza mahitaji yao. Namueleza mchumi kama mtaalamu ambaye kesho atajua kwanini vitu alivyotabiri jana havijatokea leo. Mjasiriamali hujifunza zaidi kwenye makosa kuliko kwenye mafanikio. Uvumbuzi ndiyo msingi mkubwa wa maendeleo ya...
  11. JamiiForums Tanzania Tozo mpya miamaka ya simu: Serikali wekeni bayana mipango ya maendeleo, wekeni viwango vya makato vinavyotabirika

    Rais Samia Suluhu Hassan Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana. Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
  12. JamiiForums Tanzania Wamjua kiongozi aliyeliliwa na jamii baada ya kuiletea maendeleo?

    •MAENDELEO ni MAFANIKIO Jambo ambalo mtu anapambana ayafikie. •Hamu na shauku ikoje ya kupata maendeleo? Harakati zote za mwanadamu kuwa na maisha mazuri na wakati mwingine tumeyatafsiri mtu akipata chakula cha kutosha,chombo cha usafiri(baiskeli,Pikipiki,gari n.k), nyumba nzuri n.k...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Tozo kubwa miamala ya kifedha na makakato ya simu kama kikwazo cha maendeleo ya kidigitali Tanzania

    Tangu kuanza kwa huduma za kutuma na kupokea fedha kwa njia za simu za mkononi huduma hizi zimekuwa maarufu sana na kuchangia kurahisisha maisha ya watu hasa wale wa kipato cha chini tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2008 ambapo M-pesa ilizinduliwa rasmi. kupitia huduma hizi mwananchi anaweza...
  14. JamiiForums Tanzania Tanzania na maendeleo kwa miaka ijayo

    TANZANIA NA MAENDELEO KWA MIAKA IJAYO Kwa Hali ya Tanzania ya Sasa inahitaji mabadiliko makubwa ya kimfumo wa kisiasa zaidi ili maendeleo yapatikane kwa kuendana na Hali ya watanzania wenyewe. 1.Tanzania hii ya Sasa vitu vinapanda bei kila kukicha bila kuangalia Hali ya watanzania wenyewe na...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini maendeleo ndani ya Tanzania ni kama ndoto ya mchana?

    1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru ikiwa ni ya kwanza Afrika Mashariki. 2.Tz Kwa miaka 38 imeongozwa na CCM peke yake ambayo ni zao la TANU na ASP. 3.Tz ni nchi ambayo haijawahi kupata majanga makubwa kama matetemeko ya ardhi, magonjwa Ya mlipuko kama ebola...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Maendeleo sio kipaumbele cha Wananchi wa Tanzania, Tunachotaka ni Katiba mpya.

    "Sasa sisi tuna simple solution kuwasaidia haya yote; 👉 Hatuko tayari kuendelea na hizi nonsense theories zenu za kukuza uchumi 👉Tumeridhika hapa tulipo na hatutaki kwenda hata hatua moja mbele mpaka tupate katiba 👉CCM hamna uwezo tena wa kukuza uchumi wala kuleta maendeleo" (Asiyefahamika july...
  17. JamiiForums Tanzania KATIBA MPYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA

    KWANINI KATIBA MPYA NDANI YA TANZANIA NI MUHIMU? Tanzania ni nchi ya demokrasia na inaongozwa kwa kufuata sheria na muongozo wa katiba iliyopo ya mwaka 1977 .kwa mda mrefu wananchi wa Tanzania wamekuwa kweny madai ya kupambania upatikanaji wa katiba mpya KATIBA ZA...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Fahamu Kuhusu Dhana ya kiafrika ya muda na maendeleo

    Muda ni moja ya dhana muhimu ya kujadiliwa katika mtazamo wa Kiafrika juu ya maendeleo. Dhana ya Kiafrika ya muda inafunua njia kamili za maisha kati ya Waafrika katika kutazama hali halisi. Hii inadhihirisha nguvu nyuma ya mwenendo wa waafrika. Inaonyesha mawazo na imani kati ya Waafrika...
  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mikopo ya elimu inavyoendeleza umasikini Tanzania

    Serikali kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu hutoa mikopo (kwa riba) kila mwaka kwa vijana wanaofaulu ili kuwawezesha kupata elimu ya juu. Binafsi naona jambo hili si sawa, kwani Elimu Ni moja kati ya haki za binadamu, hivyo haitakiwi kutolewa katika misingi ya matabaka yanayotengenezwa na...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Magereza nchini siyo dili tena: Tuyabadilishe kuwa viwanda vya uzalishaji na kukuza uzalishaji wenye tija kwa maendeleo

    Naweza onekana mwendawazimu na nisiwe na akili kabisa kwa walio wengi. Lakini kwakuwa hii nafasi imejitokeza acha niandike mambo ambayo yamekuwa yakinisumbua kwa miaka zaidi ya miaka 15 sasa. Hadi nakuwa kijana nayejitambua kwa maana ya kuwa na akili zangu timamu ambazo nimezipata kwa shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…