maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia anaiendesha TFF kihuni, adhabu za vifungo na faini za kibabe zinawaumiza wanamichezo. Karia hafai kwa ustawi wa soka letu

    Hivi karibuni sakata la kufungiwa kwa Msemaji wa klabu ya Yanga, Haji Sande Manara "Bugati" limeshika kasi katika tasnia ya michezo nchini, lakini mtiriko wa matukio ya kuichafua tasnia ya soka kutoka kwa Shirikisho la Soka Nchini (TFF) na Rais wake, Wallace Karia umeongezeka kwa kasi. Hebu...
  2. JamiiForums Tanzania SoC02 Visingizio 20 vinavyorudisha nyuma maendeleo ya Watanzania - Sehemu ya Pili

    UTANGULIZI Hali ya kuwa watu wa visingizio siyo ya kubeza. Ina athari na inarudisha maendeleo yetu nyuma. Visingizio hivi sio mtindo bora wa maisha. Ni mtindo wa kurudi nyuma. Katika Sehemu hii ya Pili, visingizio hivi vimepewa namba 11 hadi 20, lakini sio lazima usome kuanzia 11 hadi 20 kwa...
  3. JamiiForums Tanzania SoC02 Visingizio 20 vinavyorudisha nyuma maendeleo ya Watanzania - Sehemu ya Kwanza

    UTANGULIZI Watanzania tunasifika kwa upole na ukarimu. Hizi sifa na nyinginezo hazikuja bure. Waasisi wa Taifa hili walitumia mbinu nyingi kutujengea sifa hizi za kiungwana. Moja ya mbinu hizo ni kuhimiza matumizi ya lugha ya Kiswahili ambayo imetujengea utamaduni huo hadi leo. Hata hivyo...
  4. JamiiForums Tanzania Swali: Kwanini tunashuhudia miradi mbalimbali ya maendeleo inatekelezwa lakini hatuoni suluhisho kwa wananchi?

    Kazi iendelee! Wadau mtakuwa mashuhuda wa miradi mbalimbali inayotekelezwa na seriksli kupitia Ilani ya CCM tangu awamu ya kwanza hadi hii ya sita. Pongezi nyingi ziwafikie viongozi wote wa awamu zote kwa jitihada zao za kutatua changamoto za wananchi. Pamoja na hayo, kuna baadhi ya miradi...
  5. JamiiForums Tanzania Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs): Digitali ina mchango gani?

    Ukuaji wa Teknolojia unachochea Matumizi ya Digitali kwa kiwango kikubwa. Majukwaa ya Kidigitali yanaweza kuwa na mchango mkubwa katika kutimiza Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs) kupitia; 1) Fursa za Ujasiriamali ambazo husaidia kuinua Uchumi 2) Utoaji Elimu na Maarifa ya Kidigitali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea na ziara mkoani Mbeya

    MHE. RAIS SAMIA ANAENDELEA NA ZIARA MKOANI MBEYA. LEO NI ZAMU YA CHUNYA, KUZINDUA MIRADI MBALIMBALI YA MAENDELEO. Leo Jumamosi Agosti 06, 2022 Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan anaingia siku ya Pili ya ziara yake Mkoani Mbeya aliyoianza Jana. Leo ni zamu ya Wilaya ya Chunya ambapo Rais Samia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Chalinze yaongoza ukusanyaji mapato nchini. Yatia fora pia upelekaji wa fedha nyingi za miradi ya maendeleo

    CHALINZE YAONGOZA UKUSANYAJI MAPATO NCHINI. YATIA FORA PIA UPELEKAJI WA FEDHA NYINGI ZA MIRADI YA MAENDELEO. Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani inayoongozwa na Mbunge Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeongoza katika...
  8. JamiiForums Tanzania SoC02 Uwanja wa mbele na nyuma ya nyumba kama bustani asilia zenye vitendo vya kilimo mseto katika makazi(mijini na vijijini) kuelekea maendeleo endelevu

    Swali kubwa linaloibuwa mijadala miongoni mwa jamii ni kwa namna gani inawezekana kukidhi mahitaji ya muhimu ya ki-jamii bila kuathiri uwezo wa vizazi vijavyo kukidhi mahitaji yao wenyewe. Katika miaka ya hivi karibuni kumeshudiwa uharibifu mkubwa wa mazingira asilia katika nchi ukilinganisha na...
  9. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Maendeleo katika Sekta ya Elimu Tanzania

    Siasa za upatikanaji wa elimu nchini Tanzania Inaletwa kwenu nami Kelvin Nyagawa Je, kuna sababu za uchaguzi katika kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari? Katika makala hii, tunauliza na kujibu swali hili katika muktadha wa sera ya kiprogramu ya kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Tunahitaji kujenga taasisi huru na imara ili kuyafikia maendeleo endelevu

    UTANGULIZI Taasisi ni vyombo vinavyoanzishwa kisheria na serikali na kupewa mamlaka ya kusimamia au kutekeleza majukumu maalum ili kuisaidia serikali katika utendaji. Ili maendeleo yawe na manufaa kwa wananchi, yanapaswa kuwa endelevu kwa kuhakikisha kuwa kunakuwepo misingi imara ya kiuchumi...
  11. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu, Vijana na Maendeleo

    ELIMU, VIJANA NA MAENDELEO Sekta ya elimu imeleta mchango mkubwa katika kuendeleza na kujenga uchumi wa nchi na maisha kwa ujumla toka kipindi cha uhuru mpaka sasa. Sekta ya elimu imechangia kwa kiasi kikubwa kuleta maendeleo ambayo tunayashuhudia sasa katika nyanja zote, kiuchumi, kijamii na...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA wanachukia maendeleo ya Tanzania?

    Mara kadhaa imesemwa na CCM kwamba CHADEMA hupinga kila kitu/jambo linalofanywa na serikali inayoongozwa na CCM. Ina maana CHADEMA hawataki nchi yetu ipate maendeleo? Na ni kweli pia kwamba huwa wanapinga kila kitu kinachofanywa na serikali inayoongozwa na CCM?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ufunguo wa maendeleo kwa Tanzania

    Awali ya yote nitoe pongezi kwa jf kwa kuandaa jukwaa hili mbali na kupata zawadi lakini itatoa nafasi ya watu kutoa mawazo ambayo yanaweza kutumiwa katika MAENDELEO ya nchi. Dhana ya maendeleo ni haya mabadiko chanya katika hali ya maisha ya wawatu. Nchi yetu inasua kwenye maendeleo kutokana...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Wananchi wamepata elimu ya kutosha kuhusu sensa ya watu na makazi, kwa maendeleo?

    Sensa ya Watu na Makazi inatarajiwa kufanyika Agosti 23 mwaka huu kote nchini, wengi tunaamini na kufahamu Sensa ni muhimu kwa maendeleo ya nchi yetu. Bila shaka kuna baadhi ya watu hawajatambua umuhimu wa Sensa katika taifa letu la Tanzania licha ya zoezi hilo kuwasaidia Wananchi hao na...
  15. JamiiForums Tanzania SoC02 Wizara ya Afya chukueni hili kwani afya zetu, anguko letu ama maendeleo yetu

    Sekta ya afya ina mchango mkubwa sana katika maisha ya kila siku kwa kila mmoja katika taifa,hii inapelekea akili yangu kuwaza sekta hii ina uelekeo gani.Je,inaleta anguko ama inaleta maendeleo katika jamii?.Tazama jinsi mnyororo wa afya ulivyo na athari katika jamii,iwapo mtu mmoja ambae ni...
  16. JamiiForums Tanzania Mikakati ya Serikali kwa maendeleo

    Kwa miaka mingi, na hata kwa sasa, Serikali imekuwa na mikakati ya kuondoa/kupunguza umaskini km MKUKUTA. LAKINI! Hadi leo kiwango cha umaskini bado hakijabadilika. Tunachoshudia ni juhudi za Setikali kushughulikia Maskini badala ya UMASKINI. Mifano iko mingi: [emoji830]︎ Wakulima wa vijijini...
  17. JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa malipo serikalini (MUSE) ndio unaoua morali za watumishi na kuchelewesha maendeleo nchini

    Habari! Huu mfumo si mpya sana maana una miaka zaidi ya miaka 2 hivi hapa nchini tangu uanze kutumika. Ni mfumo wa Kidijitali wa pamoja wa malipo ya kiserikali. Mfumo huu ni mwiba kwa wahasibu wezi na watumishi mafisadi. Ulianzishwa na serikali ya Magufuli. Uliweza kufuta matumizi ya check...
  18. JamiiForums Tanzania SoC02 Namna bora ya kutumia rasilimali watu kuchochea maendeleo kupitia rasilimali zilizopo eneo husika

    UTANGULIZI. Rasilimali ni nyenzo ya muhimu ambayo huleta faida kwa kurahisisha maisha ya mwanadamu kulingana na mahitaji yake. Rasilimali inaweza kuwa ni ya asili au si ya asili kwa mfano vyanzo vya maji, misitu na hata vivutio vya kitalii kama mlima Kilimanjaro ni rasilimali ipatikanayo...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Umuhimu wa kuwepo kituo cha sayansi ya anga nchini na jinsi kitakavyochochea maendeleo na mabadiliko ya uchumi wa taifa

    (Pichani ni mwana anga Wa NASA) Utangulizi maendeleo, ni hatua inayochukua nafasi kwenye kuboresha jambo na kuhakikisha jambo linakuja kufanikiwa kupiga hatua moja kwenda nyengine na kuleta mabadiliko na matokeo chanya. Sayansi ya anga, ni miongoni mwanguzo kuu za maendeleo ambazo nchi...
  20. JamiiForums Tanzania SoC02 Ajali za magari barabarani nchini Tanzania na athari zake katika maendeleo

    UTANGULIZI Nchini kwetu Tanzania kwa sasa kumekuwa na mwendelezo wa ajali mbalimbali ikiwemo za magari barabarani, mashuleni kuwepo na ajali za moto ambao vyanzo vyake havifahamiki kwa haraka. Ajali hizi zinaweza kusababishwa na hali ya kimazingira, kiufundi au kibinadamu. Hapa ina maana kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…