maendeleo

Maendeleo is an administrative ward in the Mbeya Urban district of the Mbeya Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 3,704.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Msalato international airport wazidi kunoga –PAC yaridhishwa na maendeleo, yaagiza ukamilike kwa haraka na ubora

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
  2. JamiiForums Tanzania Ningekuwa CCM ili kuleta maendeleo kwa Watanzania basi ningeanza na hili

     Wanabodi Hamjambo... Ni Wazi Kila Serikali Duniani Nia Na Lengo Lake Ni Kuleta Maisha Bora Kwa Wananchi Wake. NA ndio Maana Moja Ya Slogan Katika Kupindi Cha JK ni MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA. Katika Muktadha Huo, Kama Ningepata Nafasi Ya Kua Na Ushawishi Katika Chama, Bunge Na Serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  4. JamiiForums Tanzania Tunaihitaji Chadema Imara Kwa Maendeleo Endelevu... Hebu Wakuu Tuelewane Hapa..

    Hamjamboni Wandugu... Tashtwiti Yangu Ya Leo Ni Juu Ya Chadema Imara Zaidi. Chadema Ya Kipindi Cha Dr. Slaa Na Zito. Ndugu Wananchi Kwa Mbinu Na Maarifa Waliyotumia Chadema Mwaka Huu Katika Kurudisha Attention Kwenye Jamii Iliyopotezwa Na Hayati Magufuli, Hakika Wanastahili Pongezi Kwa...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Bilionea Mulokozi hulipa kodi ya bilioni 7 kwa mwaka. Je, wewe una mpango wa kulipa Kodi kiasi gani kusukuma maendeleo ya nchi yetu?

    Kulipa Kodi ni wajibu wa kila mwananchi. Tulipe Kodi kwa maendeleo ya nchi yetu. Mkurugenzi wa MAT superbrand hulipa Kodi na tozo mbalimbali za thamani ya bilioni hadi Saba kwa mwaka. Je, wewe kama mtanzania mzalendo unapanga kulipa Kodi kiasi gani kama tozo na Kodi mbalimbali ili maendeleo...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Laiti mngelijua tunavyoumia sisi walipa kodi tunavyo ona pesa inamwagwa ovyo chadema kuliko kwenye miradi ya maendeleo

    Laiti mngalijua tunavyopambana walipa kodi huku chini naimani mngeziheshimu sana pesa za walipa kodi! Ni rahisi sana wasimamizi wa fedha za serikali kutangaza kiama kwa wakwepa kodi! Lakini pesa zikishaingia kwenye himaya yao wanazitapanya wajuavyo wao! Hili peke yake linavunja sana moyo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ni kwamba Watanzania hatuko busy sana au inakuwaje?, labda tuseme ni maendeleo ya Teknolojia kuliko nchi zingine

    Wandugu Habarini, Binafsi Kila Nikiamka Asubuhi Baada Ya Kumaliza Ratiba Za Kawaida Hua Naingia Kwenye Mitandao Mitatu Ya Kijamii Kwa Muda Wa Masaa Mawili. Hua Naanzia WhatsApp, Nakuja JamiiForums namalizia na Instagram. Kwa Utaratibu Wangu Huu, Leo Nimeona Nishee Na Hadhara Hapa Juu Ya Hili...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia

    KAZI KUBWA KWA MAENDELEO MAKUBWA. Mwaka 2025 ni mwaka wa kutangaza matokeo ya kazi iliyofanywa na CCM na Rais Samia ambayo ni kubwa sana na itachukua muda mrefu kuielezea lakini hata kipofu anaona kilichofanyika. Kuanzia kwenye ujenzi, ulinzi, usalama, demokrasia hakika kazi kubwa imefanyika...
  9. JamiiForums Tanzania TANROADS yaagizwa kusimamia Wakandarasi wanaojenga na kukarabati Miradi ya Maendeleo kwa Jamii (CSR) kujenga kwa kiwango

    Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora. Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu katika taasisi yote ile na ameleta maendeleo gani?

    Lissu amewahi kushika nafasi gani ya juu ya uongozi na amefanyia maendeleo gani? Maana nafasi ya Mwenyekiti ni kubwa.
  11. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya China yatoa muongozo muhimu na kuwa kichocheo katika juhudi za Afrika kuelekea usasa

    Katika mwaka 2024, Afrika ilichukua nafasi kubwa kwenye ajenda ya maendeleo ya kimataifa, ikionesha uthabiti wa bara hilo na uhusiano wake wa kina na China na nchi za Dunia ya Kusini kwa ujumla katika medani ya kimataifa. Kuanzia Mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi Zisizofungamana na Upande wowote...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nimeanza safari ya ufugaji Sungura mwaka jana (2024) mwezi wa kumi, namshukuru Mungu, nimeanza kuona maendeleo taratibu, hatua kwa hatua

    Baada ya kukaa muda mrefu bila kujihusisha na ufugaji wa aina yoyote, kuacha mbwa mmoja ambae namfuga kwaajili ya ulinzi, mwaka jana, 2024 mwezi wa kumi mwanzoni, niliamua kuanza ufugaji wa Sungura kwaajili kupata mboga kwa matumizi ya nyumbani na pale patakapokuwa na Sungura wa ziada, basi...
  13. JamiiForums Tanzania Maendeleo vs Chama

    Maendeleo ya nchi yanategemea sanaa nguvu hizi 1. Viongozi wa juu waliyo aminiwa na wananchi na chama husika ili kuilinda KATIBA ya nchi pamoja na ilani ya chama husika hapa mfano mzuri mzuri ni viongozi wa ngazi za juu kitaifa ✍️✍️ 2. Viongozi wa ngazi ya kati waliyo aminiwa na wananchi...
  14. JamiiForums Tanzania Anayejua maendeleo yaliyofanywa na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema atujuze

    Salaam wakuu, Kuna usemi kwamba siasa za Afrika zinafanana. Hakainde Hichilema Namfananisha na mpinzani flani wa nchi flani ya waliolala. Je, kuna mambo makubwa yapi amefanya mpaka sasa kuliko maraisi waliopita hapo Zambia?
  15. JamiiForums Tanzania Mnaomtetea na kumsifia Rais Samia: Changamoto za wizi wa fedha za Miradi ya maendeleo Wilaya ya Chunya,Mkoa wa Mbeya!

    Utangulizi Katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, kumekuwa na mvutano mkubwa katika mitandao ya kijamii kuhusiana na miradi mbalimbali aliyotekeleza na fedha alizozituma kwa halmashauri na mikoa. Ingawa kuna watu wanaompongeza kwa juhudi zake, wengine wanadai kuwa hakuna...
  16. JamiiForums Tanzania Jiji la Kampala linaweza kufananishwa na mji gani wa Tanzania kwa uzuri na maendeleo?

    Kwa siku chache ambazo nimekuwepo hapa Kampala, nimeweza kujionea, japo ni kwa sehemu ndogo tu, jinsi lilivyo. Ni jiji kwenye hadhi ya kuitwa jiji. Lina mandhari nzuri na pia hali ya hewa nzuri. Pamoja na kwamba ni jiji, lakini ukililinganisha na jiji la Dar Es Salaam ni kulionea, na ukisema...
  17. JamiiForums Tanzania Mbowe akishindwa Uenyekiti wa CHADEMA, karibu CCM kwa Maendeleo ya Taifa

    Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  18. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vita Kawawa achia jimbo, unapinga maendeleo hata kwa ambao hawajatangaza nia ya kugombea. Achia Namtumbo yetu tunateseka sana

    Mheshimiwa Juma Zuberi Homera ambae ni mkuu wa mkoa wa mbeya ameonyesha kuwa kiongozi aliyejitolea kuleta maendeleo na mabadiliko chanya popote anapohudumu tangu yupo TUNDURU na baadae KATAVI. Uongozi wake umekuwa na mchango mkubwa katika kuinua maisha ya jamii, na ameacha alama ya kudumu kila...
  19. JamiiForums Tanzania Usultani na Umangi au Uchifu: Hatari zake katika Maendeleo yetu kwa siasa za Tanzania

    Utangulizi: Katika jamii zetu za Kiafrika, dhana za usultani, umangi, na uchifu zimekuwa na mchango mkubwa katika utawala na usimamizi wa mambo ya kijamii. Hata hivyo, wakati mwingine, mifumo hii inaweza kuleta changamoto kubwa kwa maendeleo yetu. Katika muktadha wa kisasa, tunashuhudia mifano...
  20. M

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni kero

    Jamani barabara ya kutoka Tengeru kuelekea Chuo cha mifugo(LITA), Chuo cha maendeleo ya jamii (TICD) ni mbaya Sana. Hii ni barabara muhimu Sana kwani inaenda kwenye taasisi muhimu za serikali. Pia husaidia wakazi mbalimbali kuleta bidhaa zao hasa siku za soko la Tengeru jumatano na jumamosi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…