maendeleo ya taifa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSEZA MKULU

    JamiiForums Tanzania Dira ya maendeleo ya Taifa ya 2050 haiwezekani kutekelezeka kwa miaka 5? Sababu 3 kwanini

    Moja kwa moja. Nilikuwa nafuatilia philosophia ya Trillionea Elon Musk ya " Parkinson Law ". Yeye anaamini Project ya miaka 10 inaweza kufanyika kwa miezi 6. Aliwahi kuwarudisha maengineer wake walipomletea mradi utakaokamilika kwa miaka mingi akawaambia rudini mniletee plan mpya...
  2. Fene

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya taifa hayakai Dar pekee

    Kuna mtazamo umejengeka kwa muda mrefu kwamba mtu akiishi Dar es Salaam ndiye amefanikiwa zaidi au ndiye mwenye akili ya kutafuta maisha kuliko wengine. Mtazamo huu si sahihi na una madhara makubwa kwa maendeleo ya Taifa letu. Dar es Salaam ni jiji muhimu kiuchumi, lakini Tanzania ni kubwa...
  3. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Barabara: Msingi wa Maendeleo ya Taifa

    Wakati mataifa mengi duniani yanapigana kujenga uchumi kupitia miundombinu ya kisasa ni muhimu kwa sisi Watanzania kutambua kuwa uwekezaji katika barabara si anasa wala matumizi ya kawaida ya serikali bali ni msingi wa maendeleo ya taifa lolote lenye maono ya mbele. Hakuna nchi iliyoendelea...
  4. Poor Brain

    JamiiForums Tanzania Money sunction effector (MSE) ni suluhisho la ajira kwa vijana hapa Tanzania

    Habari wakuu Natumai wote humu ndani ni wazima wa afya kabisa. Week mbili hizi nimefanya research ambayo naimani kama ikifanyiwa kazi basi tunaweza pata matokeo chanya kwa taifa letu na hata tutajikomboa katika wombi la ukosefu wa ajira kwa vijana na umaskini kwa ujumla. Nitangulize pia...
  5. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Haki, sii vitisho: Maendeleo ya Taifa yayajengwi kwa kutishiana

    Ni dhahiri kuwa taifa letu linapitia kipindi kigumu, ambapo hali ya kisiasa inaendelea kuwa tete na raia wanahitaji kupewa haki zao, si vitisho au hofu. Rais wa Mchogo anaposhindwa kuelewa kwamba wananchi wanadai haki ya msingi ya kuishi kwa amani, maendeleo, na usawa, anaendelea kuathiri zaidi...
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Tanzania ya sasa mtendaji wa kata mwenye elimu ya cheti ama Stashahada ni mzigo kwenye maendeleo ya taifa

    Hawa ndio wanahujumu maendeleo, wengi wao ni bora liende. Hawana exposure, hawana confidence wala hawawezi kuchakakata data za maendeleo katika maeneo yao. Wanatumika kwenye wizi wa kura na kutetea wala rushwa. Huyu mtendaji mwenye cheti anaweza kwenda kwa Mkuu wa shule mwenye shahada ama...
  7. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa

    Kupinga maandamano katika mazingira tuliyopo ni kupinga mabadiliko ya kweli, haki na maendeleo ya taifa. Huwezi kuuwa maelfu ya watu na kuiba kura na kujifanya rais alafu ukatuwa na nia njema na sisi wewe unakuwa ni adui namba moja wa taifa.
  8. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Viongozi wa Dini na Wananchi Dodoma wasisitiza umuhimu wa Amani kwa Maendeleo ya Taifa

    Kuelekea kwenye Zoezi la uchaguzi Mkuu wa Tanzania Jumatano ya Oktoba 29, 2025, Viongozi wa dini, kijamii pamoja na wananchi wa Mkoa wa Dodoma wameungana pamoja kuhimiza amani, wakiitaja kama rasilimali muhimu kwa maendeleo ya Kijamii, kiuchumi, Viongozi wa dini wakisema amani ndiyo Neema muhimu...
  9. 05CUBA

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji maendeleo ya taifa letu bila blaa blaa za kutufananisha na mataifa mengine sababu sisi sio wao

    Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa mbogamboga analeta blablaa za kuifanqnishq Tanzania na Congo sjui Malawi na wapi sjui .... yani nasema hivi Tanzania inapaswa kuwa vile #Tanzania ilipaswa kuwa vile Tanzania inapaswa kuwa pale Tanzania ilipaswa kuwa. Tanzania sio chi zingine ki advantage na ki...
  10. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe asema Historia ya Yanga kushiriki maendeleo ya Taifa si jambo jipya, imeanza tangu enzi za ukombozi

    Historia ya Klabu ya Yanga SC kwenye ushiriki wake katika kuleta maendeleo ya Taifa la Tanzania, Kiuchumi, Kisiasa na Kimichezo haijaanza Leo wala jana .. Ni Klabu hii ya Wananchi iliyobeba sehemu ya Ukombozi wa Taifa hili.. Tumebeba Nembo ya Umoja, Amani, Upendo, Mshikamano na ukarimu wa Raia...
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Balozi Simon Sirro: Watumishi timizeni wajibu wenu, kwa maendeleo ya taifa

    Mkuu wa mkoa wa Kigoma Balozi Simon Sirro amewataka watumishi mkoani Kigoma kuhakikisha wanafanya kazi kwa weledi na kutimiza maelekezo na wajibu lakini pia kuwatumikia wananchi kwa maendeleo ya taifa na jamii kwa ujumla.
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania SACP Ramadhani A. Mungi: Maendeleo ya Taifa lolote lile Duniani yanaletwa na Vijana

    Mkuu wa Shule ya Polisi Tanzania – Moshi (TPS), SACP Ramadhani A. Mungi akizungumza alipokuwa Shule ya Polisi Tanzania - Moshi (TPS) wakati wa Ufunguzi wa Mafunzo ya Mwedani za Kivita kwa Wanafunzi wa mafunzo ya Awali Kambi ya Kamba Pori, Mei 6, 2025.
  13. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kwa Hili Media zinafeli pakubwa mno na hazina mchango Wowote katika maendeleo ya Taifa

    Nimesikitika sana Kuona baadhi ya media (waandishi Wa habari) wametega maiki wakifanya mahojiano na Hajji Manara akimsifu Mwijaku ana makalio makubwa (astaghafullah) mpaka nilijiuliza waandishi wamekosa vitu vya Msingi katika Taifa hili?!! Huku Wana Mbeya wanamtafuta Mdude Nyangali kwenye...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: umuhimu wa mfumu huru shirikishi baina ya serikali na wasomi kwa maendeleo ya taifa

    Kujenga Taifa kwa Ushirikiano: Umuhimu wa Mfumo Shirikishi kati ya Wasomi na Viongozi wa Serikali Utangulizi Katika karne ya 21, maendeleo ya taifa hayategemei nguvu kazi pekee, bali yanahitaji mwelekeo wa kitaalamu, sera thabiti, na matumizi ya maarifa ya kisasa. Taifa x linakumbwa na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Kikwete aeleza umuhimu wa mwenge wa uhuru kwa ustawi wa jamii na maendeleo ya taifa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete amesema Mwenge wa Uhuru ni moja ya Tunu kubwa iliyopo kwenye Taifa kwani umekua kichocheo kikubwa cha maendeleo kwenye Taifa ikiwemo kuchochea mapambano dhidi ya ujinga, maradhi na umaskini kila...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Rais Samia kuongoza mwelekeo wa Tanzania ya miaka 25 ijayo baada ya ile 25 ya Mkapa kukamilika

    == Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Dkt Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025 - 2050 chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri tu kuzinduliwa kwa...
  17. Doug Stamper

    JamiiForums Tanzania DKT. Mwigulu Nchemba: Kiongozi mwadilifu na nguzo ya maendeleo ya taifa

    Tangu kuteuliwa kwake kama Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameendelea kuonesha uadilifu, uthabiti na umahiri wa hali ya juu katika usimamizi wa uchumi wa Tanzania. Licha ya juhudi za wapinzani wake kueneza kampeni chafu dhidi yake, ukweli unabaki palepale—hana doa la ufisadi, hana tuhuma...
  18. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Mbowe akishindwa Uenyekiti wa CHADEMA, karibu CCM kwa Maendeleo ya Taifa

    Great Thinkers! Kwa maoni yangu binafsi, Freeman Mbowe, kiongozi wa muda mrefu wa CHADEMA, ni mwanasiasa mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Ikiwa atashindwa katika uchaguzi wa uenyekiti wa CHADEMA, ningependa kumkaribisha kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, anasema Jaji Warioba alipewa uwaziri mkuu kwasababu alikuwa chawa wa Nyerere hivyo asikosoe uchaguzi

    Wanajamvi salaam Vijana kama hawana msaada kwa maendeleo ya taifa, Huyu kijana anayezeeka vibaya aliyejitambulisha kwa jina la Joseph Yona mkazi wa Chalinze anasema Jaji Warioba alikuwa Chawa ndo maana akapewa uwaziri mkuu hivyo hana haki ya kukosoa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Sio za kuleta taharuki na migogoro

    Siasa bora ni zile zinazolenga maslahi ya wananchi na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Zinahakikisha utawala bora, uwazi, na uwajibikaji. Baadhi ya sifa za siasa bora ni: Utawala Bora: Serikali inayoheshimu sheria, haki za binadamu, na demokrasia. Hii inajumuisha kuhakikisha mgawanyo wa madaraka...
Back
Top Bottom