Tumeambiwa kuwa marehemu Ndugai alizuia pesa ya matibabu kwa Lisu, na kisha kumsimamisha ubunge kwa madai kuwa ni mtoro, huku Dunia nzima ikijua kuwa Lisu yu mgonjwa, tena mgonjwa majeruhi, akipitia hali hatari ya maisha yake. Sababu ya kufanya hivyo, tumeambiwa kuwa Hayati Ndugai alielekezwa...