madiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    RC Kunenge aipongeza DAWASA, awapa jukumu madiwani

    Mkuu wa Mkoa wa Pwani (RC), Mheshiwa Abubakar Kunenge amesema ushirikishwaji wananchi kwenye miradi ya maendeleo unaofanywa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) ni wa mfano na unapaswa kuigwa na taasisi zingine. Aidha, amewaomba Madiwani kutoa ushirikiano kwa...
  2. Masalu Jacob

    Katiba Mpya: Madiwani wawe nao wanateuliwa Uwaziri

    Habari Tanzania !. Eti watanzania mnaonaje mtakapo fanya mabadiliko ya Katiba Mpya; Diwani awe na sifa ya kuteuliwa kuwa Waziri ili achangie maendeleo yetu kwenye Taifa. NB Mkumbuke katika Mfumo uliopo nchini wa kisiasa; mwenye kujua changamoto za wananchi ni Diwani pia ndio mtu pekee mwenye...
  3. M

    CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  4. G

    Viongozi Kuanzia Rais Hadi madiwani wanapaswa kwanza kushukuru wananchi Kwa kuwalipa mishahara posho, magari, nyumba pensheni na Bado kuna wizi

    Ni kiwango kikubwa sana Cha ujinga maboss kuanza kuwashukiru waajiri wao waliowajiri Cha ajabu hao maboss hawaambulii chochote Cha kwao binafsi ila wanawalipa waajiri wao Kwa wakati Kila mwisho wa mwenzi bila kukosa . HIki kiwango Cha juu Cha ujinga Kwa wananchi kuwashukiru kwanza waajiri wao...
  5. JanguKamaJangu

    Prof. Shemdoe: Madiwani kuweni wanyenyekevu kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo. Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa Madiwani hao leo, wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu...
  6. Samia atosha tukutane2030

    Wapinzani walitaka kumlipa Rais Samia malipo ya ubaya waliofanyiwa na Magufuli 2015- 2021

    Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli. Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira. Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi. Magufuli ndiye...
  7. Genius Man

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ?

    Oct 29 shughuli zote zilisimama mapema sana asubui, internet ilizimwa asubui, usafiri haukuwepo asubui tume ilipata wapi rais, wabunge na madiwani ? Moja ya hoja kuu kuwa hakukuwa na uchaguzo kabisa oct 29, ni kwamba internet ilizimwa, usafiri haukuwepo kabisa hakuna shughuli yoyote mpaka mida...
  8. K

    Wabunge na Madiwani wa Mchongo na Familia za Mapolisi watakuwa na wakati mgumu na kujutia maisha yao

    Yaani nawaona wakiwa na wakati mgumu wa kuitumikia jamii yao, sababu watu waliyo wengi wamewakataa Yaani Tanzania inaenda kuingia kwenye Siasa ngumu kabisa za uhasama kuliko zile za Somalia za kipindi kile. Hawa Viongozi hawataweza kujumuika tena na jamii maana watajikuta mda wowote maisha yao...
  9. Roving Journalist

    Mdahalo wa Wadau wa Amani Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Wabunge na Madiwani 2025

    https://www.youtube.com/live/bsMXcScNS8E Muliro: Polisi kusubiri hadi tukio lifanyike hapo ni sawa na kufeli Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza katika mdahalo huo leo Agosti 20, 2025.
  10. Kimbesa11

    GE2025 Kura za wajumbe wa CCM zimepalilia falsafa ya Oktoba tunatiki, Sasa tutatiki kwa Rais Samia, wabunge wa CCM na madiwani wa CCM. Then Day ended well

    Nianze kwa kumpongeza mwenyekiti wetu wa CHAMA CHA MAPINDUZI TANZANIA Dr. Samia Suluhu Hassan kwa kuwapa nguvu Wajumbe waamue viongozi wanaowataka kupitia kura. Hongera sana mwenyekiti wetu Samia kwa kuongoza chama chetu kwa akili kubwa na maono makubwa. Wajumbe wameshachagua wabunge na...
  11. Heart Wood.

    GE2025 Ukweli ulio mchungu: Uchaguzi wa Wabunge na Madiwani mwaka huu ndio unakamilika siku ya leo kwa asilimia karibu ya 98%.

    Wanabodi, Kutokana na hali ya kisiasa nchini kwetu, huo ndio ukweli. Ukubali au ukatae, wajumbe wakishapitisha majina, hayo majina kwa asilimia kama 98% au 99% ndio wawakilishi tutakaokuwa nao kwa miaka mitano ijayo. Ama kweli SIASA si HASA.
  12. N

    GE2025 Rais tunakuomba ufute sheria ya kututeulia wabunge na madiwani. Tayari una nguvu ya kuteua wakuu wa mikoa na wilaya

    Sheria mpya inampa mamlaka Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama tawala kuweza kuweka wabunge wake hata kama hawakupita kura za wajumbe, Tunakoelekea sio kuzuri. Hii ina hatari hasa kwa kuweka wabunge ambao hata hawajakulia katika majimbo
  13. L

    Mayu Mwigulu kama kweli unataka Urais hakikisha unabadilishiwa madiwani wako wote

    Mwaka 2020 ulifanikisha kuingiza madiwani wote uliowataka na yule wa akribu yako zaidi ukamfanya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Iramba. Mbaya sana! Pamoja na wewe bado kukubalika ninakushauri kwa dhati ya moyo wangu usitoe hela kuhakikisha hao madiwani wanarudi,. Hiyo sio timu itakayokufikisha...
  14. E

    Kikwete atetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani

    Rais mstaafu Jakaya Kikwete ametetea marekebisho ya Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya mwaka 2024 akihoji, "Hivi ni kweli kwamba, sheria zetu zinazohusu uchaguzi ni mbaya sana kiasi kwamba haziwezi kusimamia mchakato wa uchaguzi mwaka huu?" Ameyasema hayo leo Juni 21 katika...
  15. Just Pray

    PreGE2025 Mabaraza ya Madiwani kufikia Ukomo leo Juni 20, 2025

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed Mchengerwa ametangaza kuwa mabaraza yote ya madiwani nchini yatavunjwa rasmi ifikapo Juni 20, 2025. Tangazo hilo amelitoa leo Jumapili, Juni 15, 2025, alipokuwa akitoa tamko rasmi kuhusu tarehe ya kuvunjwa...
  16. Valencia_UPV

    Bajeti ya Sherehe ya Kuaga Madiwani inatoka fungu gani la bajeti?

    Bajeti ya sherehe ya Kuwaaga Waheshimiwa Madiwani itakayofanyika kata ya WAZO inatoka fungu gani la bajeti?
  17. Mbangaizaji wa Taifa

    Tetesi: Watanzania wengi hasa wabunge na madiwani wameipokea kwa shangwe hoja ya Tundu Lissu Uchaguzi ufanyike 2027 baada ya reforms zote kufanyika

    UJUMBE: CCM chukueni hii miaka mitatu ya bure Kwakuwa nyie sio Mungu hamuwezi jua yatakayotokea kwenye Uchaguzi kama mtalazimisha kuingia kwa lazima. !!!!!! Chama kikuu cha Upinzani nchini Tanzania cha CHADEMA pamoja na chama cha ACT Wazalendo wametoa ofa kwa Rais wa Tanzània Mhe Samia...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Baraza la Madiwani wagoma kuligawa jimbo la Arusha mjini mara mbili

    Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamekataa kuligawa Jimbo la Arusha mjini mara mbili wakidai ukubwa uliopo hivi sasa unakidhi mahitaji ya Wananchi huku wakikubaliana kugawanywa kwa kata nane za Jiji. Madiwani wamekataa kwa pamoja madai ya kuligawa Jimbo la Arusha kwa madai kuwa halina...
  19. Crocodiletooth

    Vipindi vya urais kwa mujibu wa katiba ni miaka 10, Ingelikuwa busara, uchaguzi ukawa ni wa wabunge na madiwani pekee!

    1)-Ipo haja ya kurekebisha katiba yetu Kwa baadhi ya kanuni, kwa mfano muda wa urais ni miaka 10, bila kuzidisha hata siku 5,basi kwa kuwa ni miaka 10, Ingelikuwa busara, Rais aweye madarakani, baada ya kupitishwa na mikutano ya halmashauri kuu na Kamati kuu, basi bunge la jamhuri ya muungano wa...
  20. milele amina

    DOKEZO Utendaji Mbovu wa Miradi ya Maendeleo: Madai ya Madiwani wa Moshi Manispaa

    Mkurugenzi wa Moshi Manispaa amekabiliwa na malalamiko kutoka kwa madiwani wa manispaa hiyo kuhusu utendaji mbovu wa miradi ya maendeleo, hususan ujenzi wa soko la Mbuyuni. Madiwani hao wamewasilisha ombi rasmi kwa uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kitengo cha Civil Engineering...
Back
Top Bottom