madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Viwanda Vinne vya Uongezaji Thamani Madini Kujengwa Mkoani Dodoma - Waziri Mavunde

    VIWANDA VINNE VYA UONGEZAJI THAMANI MADINI KUJENGWA MKOANI DODOMA - WAZIRI MAVUNDE ▪️Akagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda cha kuchenjua Madini ya Shaba* ▪️Dodoma inaongoza kwa uwepo wa aina nyingi za madini nchini* ▪️Atoa rai kwa Mikoa kutenga meneo maalum ya viwanda vya kuongeza thamani 📍...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Kwanini tusiingie makubaliano ya ulinzi na kibiashara haswa madini na DRC , JW ingie full scale kulinda mipaka ya DRC ?

    Sina mashaka na Jeshi letu tukiamua kulipa Hilo jukumu Tuna HISTORIA nzuri sana tangu ukoloni Hadi leo Kwa Dunia ya leo vita kubwa ni ya kiuchumi Kila mmoja ana angalia mwenzake atampa Fursa Gani Leo DRC ni nchi kubwa ya kimkakati kiuchumi haswa upande wa soko la bidhaa mbalimbali za...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa, je ni kweli haya madini yanayoleta tafrani Kongo tunayo hapa nchini! (coltan)

    MADINI YOTE MUHIMU YANAYOCHIMBWA DRC CONGO, MADINI HAYO HATA SISI TANZANIA TUNAYO KATIKA MKOA WA KAGERA. KATIKA MKOA WA KAGERA TUNA MADINI YAFUATAYO AMBAYO CONGO PIA WANAYO; TIN (CASSITERITE) NICKEL COBALT MANGANESE TANTALUM (COLTAN) TUNGSTEN ( WOLFRAMITE) HAYA MADINI MKOA WA KAGERA YAPO...
  4. JamiiForums Tanzania Umefika wakati Afrika tufanye mambo yetu wenyewe hasa kwenye rasilimali kama madini

    Trump ametufundisha jambo kwa sasa fukuza wazungu kwenye migodi nasisi tuchimbe dhahabu zetu wenyewe fukuza kwenye gesi uko yaaani ubaya ubwela tu kila mahali tukae wenyewe fukuza kwenye viwanda vya cement
  5. JamiiForums Tanzania Je, Tukumbatie Utajiri wa Madini au Tuwaachie Warithi?

    Nchi yetu, Tanzania, imebarikiwa kwa utajiri mkubwa wa madini na maliasili. Dhahabu, almasi, tanzanite, gesi asili, chuma, na mengine mengi yamehifadhiwa ardhini, yakisubiri kuchimbuliwa na kutumika. Lakini je, tunapaswa kukimbilia kuchimba madini haya sasa, au tuwaachie warithi wetu, vizazi...
  6. JamiiForums Tanzania Kagame: Wanaoiba Madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya, sio Rwanda

    Kwenye interview ya CNN leo tarehe 3, Rais wa Rwanda amesema yeye haibi madini Congo, wezi wakubwa wa madini ya Congo ni Afrika Kusini na Wazungu wa Ulaya. Kagame anasema haibi madini ya Congo, anayo madini yake anachimba Rwanda. ================= President Paul Kagame says he doesn't know if...
  7. JamiiForums Tanzania DOKEZO Hii sio haki, Haiwezekeni eneo langu ligundulike kuwa na madini halafu serikali inipangie bei ya kuuza eneo langu na inakuwa ni Amri sio ombi

    Nchi hii imebarikiwa sana na huu ndo ukweli halisi, Si mbunga za wanyama, ardhi zenye rutuba, mito, mistu maziwa, Bahari na madini vyote hivi vinapatikana Tanzania achilia mbali ambavyo sijataja kama ges na makaa ya mawe na vingine vingi. Wakuu kuna vitu serikali inawafanyia wananchi wake...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Israeli inatorosha madini kutoka Congo kupitia Rwanda

    Inaonekana hata Rais Kagame angetamani hii migogoro iishe ila ni kama kuna shinikizo kubwa sana ambalo hata yeye anashindwa kulimudu. https://x.com/Sentletse/status/1885081658363203707?s=19
  9. JamiiForums Tanzania Naibu Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa Avutiwa na Mkakati wa Serikali wa Utafiti wa Madini Nchini

    ▪️Ampongeza Rais Samia kwa kwa maono ya kukuza sekta ya Madini ▪️Avutiwa na aonesha utayari wa kusaidia VISION 2030 Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Mhe Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya...
  10. JamiiForums Tanzania Biashara ya madini ya shaba

    Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia

    Tanzania Kituo cha Mageuzi ya Nishati: Mkutano wa Nishati Afrika 2025 na Juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan Ikiwa zimebaki siku 29 kuelekea Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika, Tanzania inajipanga kuandika historia kwa kuwa mwenyeji wa tukio hili kubwa. Mkutano huu, unaotarajiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Soko na bei ya madini ya amethyst Tanzania

    Habari zenu wana JamiiForums na wadau wa madini kwa ujumla, Naomba kufahamu ukweli kuhusu bei ya amethyst kwa hapa kwetu Tanzania (soko la ndani) kwa zile zilizo safi ,rangi omekolea na ukubwa kuanzia 3g nakuendelea ,kilo inakua bei gani? Na je ukizalisha soko lipo la uhakika au adi upate...
  13. JamiiForums Tanzania Tanzania na Korea Zajadiliana Njia Bora ya Kuendeleza Madini Mkakati

    TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI ▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink ▪️Korea yaonesha utayari kuwekeza nchini katika uendelezaji wa madini mkakati ▪️Serikali ya Tanzania kuandaa mkakati maalum ya...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi

    Serikali imeimarisha sekta ya madini kwa kuweka mazingira wezeshi ili kuwavutia wawekezaji wa ndani na nje ya nchi. Katika kipindi cha miaka minne, Serikali imedhibiti na imesimamia uchimbaji wa madini na kutoa leseni tano kwa kampuni za Sotta Mining Corporation Limited (SMCL)-Wilayani...
  15. JamiiForums Tanzania Madini gani haya?

    Wakuu pole na majukumu ya ujenzi wa Taifa, nimerudi tena hapa jukwani Kwa utafuti niliofanya Leo ni kwamba haya ni madini ya Garnet nyekundu na nimedhibitisha hilo Kwa kulinganisha mara kadhaa sehemu tofaut, nimekuja kwenu Kwa ombi moja tu kwa mtu yeyote anaelijua soko aniambie au Kama yeye ni...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Dhahabu

    Kwa wadau wote wa biashara ya dhahabu, hasa wale waliobobea katika ununuzi na uuzaji wa dhahabu kwa wingi (Broker na Dealer). Nimekuwa nikifikiria kuanzisha biashara ya ununuzi wa dhahabu hapa Tanzania, na ningependa kusikia ushauri wenu. Nina bajeti ya takriban shilingi milioni 400 hadi 500 za...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Tamida yasema ni sawa BOT kuweka akiba ya madini

    Kahama, Tanzania TANZANITE NI RASILIMALI INAYOPATIKANA TANZANIA PEKEE, HIVYO TUWEZE KUONGEZA THAMANI YAKE https://m.youtube.com/watch?v=TAir66Cw5X8 Sekta ya madini tupo nyuma katika kuongeza thamani, kwani tukikata madini kama tazanite, almasi, Vito hadi watalii wakija Tanzania wanunue madini...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Barrick kusitisha kwa muda shughuli za uchimbaji madini nchini Mali

    Kampuni ya Barrick Gold Corporation imetangaza kuanza hatua ya usitishaji wa shughuli zake kwa muda katika mgodi wa Loulo-Gounkoto uliopo nchini Mali. Hatua hiyo imekuja kutokana na mvutano kati ya kampuni ya Barrick na serikali ya Mali kuhusu taratibu mpya za ugawanaji mapato yanayotokana na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

    Nimeliokota njiani
  20. JamiiForums Tanzania Tetesi: Karibia sehemu zote zenye madini wameshapewa wageni

    Hii sio habari ya udaku. Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki. Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini. Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…