madini

Abū al-Ḥasan ʻAlī ibn ʻAbdillāh ibn Jaʻfar al-Madīnī (778 CE/161 AH – 849/234) (Arabic: أبو الحسن علي بن عبد الله بن جعفر المديني‎) was a ninth-century Sunni Islamic scholar who was influential in the science of hadith. Alongside Ahmad ibn Hanbal, Ibn Abi Shaybah and Yahya ibn Ma'in, Ibn al-Madini has been considered by many Muslim specialists in hadith to be one of the four most significant authors in the field.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Leseni 8,000 za Uchimbaji Madini zatolewa, maeneo 65 yatengwa

    TUME ya Madini imetoa leseni 8, 501 katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 ikilinganishwa na lengo la kutoa leseni 10,294. Hayo yamesemwa Bungeni jijini Dodoma, leo Mei 2, 2025 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde (MB) akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha...
  2. JamiiForums Tanzania Sekta ya Madini Yachangia Asilimia 10 ya Pato la Taifa

    SEKTA YA MADINI YACHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA ▪️Mchango wa sekta hii kwenye pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia asilimia 10.1 mwaka 2024 #MguuKwaMguu SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI WAONGEZEKA KWA ASILIMIA...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Kiruswa: Sekta ya Madini imepiga hatua, naipongeza Tume ya Madini ukusanyaji maduhuli

    NAIBU Waziri wa Madini, Mhe. Dkt. Steven Kiruswa amesema chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan Sekta ya Madini imepiga hatua kubwa. Dkt. Kiruswa ameyasema hayo leo Aprili 30, 2025 wakati akifunga Kikao cha Manejimenti ya Tume ya Madini kilichofanyika jijini Dodoma. Amesema, kutokana na...
  4. JamiiForums Tanzania Inakuwaje Upande wa Sekta ya Madini Tanzania tunaambulia 16% kwenye Mikataba na Madini ni Yetu? Naomba nieleweshwe Tafadhali Uenda nikaelewa

    Wakuu naomba mtu mwenye uelewa na mambo ya Madini pamoja na Mikataba anieleweshe ili nami nipate kuelewa ! Tanzania imebarikiwa Kuwa na Madini tofauti tofauti ambayo bila shaka yangetutoa kwenye Umasikini watu wetu wakaishi maisha mazuri na Kuwa na kipato kizuri ! Nimejaribu kudodosa na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais samia avutia uwekezaji wa trilioni 1.4 - madini

    RAIS SAMIA AVUTIA UWEKEZAJI WA TRILIONI 1.4 - MADINI ▪️Mradi wa ujenzi wa mgodi kugharimu Trillioni 1.4 ▪️Dhahabu ya kwanza kuanza kuzalishwa robo ya kwanza ya Mwaka 2027 ▪️Rais Samia apongezwa kwa mazingira bora ya uwekezaji ▪️Mgodi kuzalisha Ajira na mapato kwa serikali Kampuni ya Perseus...
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania-Canada kushirikiana kuendeleza sekta ya madini nchini

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Emily Burns, Aprili 26, 2025 wamekutana Jijini Dodoma na kufanya kikao juu ya maendeleo ya sekta ya madini nchini. Balozi Emily Burns ambaye pia ametumia kikao hicho kwa ajili ya kujitambulisha,amesema nchi ya Canada ipo...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatunga Kanuni kuzuia Wageni kuingia kwenye leseni ndogo za uchimbaji madini bila utaratibu

    Serikali kupitia Wizara ya Madini imetunga kanuni za msaada wa kiufundi katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini ambapo zitaratibu ushiriki wa wageni katika Leseni ndogo za uchimbaji wa Madini(PML) ambazo kwa mujibu wa kifungu cha 8 cha Sheria ya Madini sura ya 123,kimezitamka Leseni hizi kama...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde aelekeza kupitiwa upya utaratibu wa malipo ya mrabaha kwa madini ya metali

    Wizara ya Madini imetangaza kuwa Sekta ya Madini nchini Tanzania imepiga hatua kubwa ya kihistoria kwa kufikia mchango wa asilimia 10.1 katika Pato la Taifa mwaka 2024, ikiwa ni mwaka mmoja kabla ya lengo lililowekwa kwenye Sera ya Madini ya mwaka 2009 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Sekta ya madini yafikia mchango wa asilimia 10.1 katika pato la taifa

    SEKTA YA MADINI YAFIKIA MCHANGO WA ASILIMIA 10.1 KATIKA PATO LA TAIFA ▪ Rais Samia apongezwa kwa mageuzi makubwa ya sekta ya madini ▪ Wizara yafikia lengo kabla ya mwaka 2025 ▪ Sekta Yatajwa Chanzo Kikuu kuingiza Fedha za Kigeni ▪ Waziri Mavunde Awashukuru Watendaji, Watumishi na Wadau wa...
  10. JamiiForums Tanzania Unajua madini yana tawaliwa na majoka. Ukweli huu hapa

    Picha hii ilipigwa mwaka 1959 na rubani wa helikopta kutoka Ubelgiji, Kanali Remy Van Lierde, wakati akiwa doria juu ya eneo la Congo. Nyoka aliyemuona alikuwa na urefu wa takriban futi 50 (sawa na mita 15), rangi yake ilikuwa kijani au kahawia iliyokolea na tumbo jeupe. Alikuwa na taya lenye...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  12. JamiiForums Tanzania Wachimbaji wadogo wa madini waiangukia serikali walia na upatikanaji wa umeme migodini

    Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu wilayani Kahama wameiomba serikali kuwasaidia kupata huduma ya umeme kwenye migodi yao ili kupunguza gharama kubwa za uendeshaji, kukuza uchumi wao na kuongeza makusanyo ya maduhuri kwa serikali. Ombi hilo limewasilishwa leo wakati wa ziara ya Mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde Azindua Rasmi Shughuli za Uchimbaji Madini PORCUPINE NORTH - Chunya, Mbeya

    WAZIRI MAVUNDE AZINDUA RASMI SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI PORCUPINE NORTH - CHUNYA MBEYA ▪️Ni Leseni Hodhi zilizorudi Serikalini baada ya kumalizika kesi na wawekezaji ▪️Mapato ya Serikali kuongezeka kupitia mrabaha na kodi mbalimbali ▪️ Waziri Mavunde asisitiza kuongeza utafiti zaidi ili...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tume ya madini kuendelea kuwasaidia wasambazaji na wauzaji baruti

    TUME YA MADINI KUENDELEA KUWASAIDIA WASAMBAZAJI NA WAUZAJI BARUTI. Tume ya Madini imesema itaendelea kutoa ushirikiano na kuwasaidia wasambazaji na wauzaji wa baruti nchini ili wafanye shughuli zao kwa mujibu wa Sheria na kanuni za baruti zilizopo. Mkaguzi Mkuu wa Migodi Mhandisi Hamisi...
  15. JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa sheria na kanuni za virutubishi katika vyakula na madini

    Naibu Waziri Wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amezindua sheria na kanuni za urutubishaji wa chakula ya mwaka 2024 ambao umefanyika katika ukumbi wa chandamali manispaa ya songea. Katika uzinduzi huo umelenga kuongeza virutubisho muhimu kwa kuimarisha afya na kupunguza...
  16. JamiiForums Tanzania Muuni atema madini "Uislamu unatukuza waarabu, Ukristo unatukuza wazungu"

    Jamaa ukimuona unaweza kudhani ni muuni tu asiye na madini au asiyejua chochote, lakini ukimsikiliza ndio unajua anafahamu vitu vingi ambavyo hata watu wenye kuvaa vizuri hawavijui wala kuwa na Elimu navyo https://youtu.be/2YU9_VZnA64
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri wa madini: Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni ianze utekelezaji wake mara moja

    Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, ameagiza Miradi yote Mikubwa na ya Kati ya madini ambayo tayari imekwishapewa leseni kuanza utekelezaji wake mara moja ili kuchochea ukuaji wa sekta na kuleta manufaa kwa taifa kwa ujumla na kutimiza azma ya Serikali kutoa leseni hizo. Mavunde ametoa maagizo...
  18. JamiiForums Tanzania Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
  19. JamiiForums Tanzania Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

    Hi ni biashara pekee ambayo mtu au mchimbaji anaweza kukukopesa hata milioni 50 bila kuandikishana au kuwepo na shahidi yoyote. Ni biashara ambayo mtu anaweza kukuuzia udongo ambao hauna uhakika wa kilichomo ndani. Ni biashara ambayo pamoja na mtu anaweka pesa kubwa, ila wanaamini uchawi...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini gani?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…