madhara

Abu Ali al-Husayn ibn Ahmad al-Madhara'i, also known as Abu Zunbur ("the hornets' man"), was a member of the bureaucratic al-Madhara'i dynasty of fiscal officials, and served as director of finances of Egypt and Syria for the Abbasid Caliphate in the first decades of the 10th century.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa lilitokea Oktoba 2025 naamini hata CCM wamepata madhara kwa katiba kumpa Rais mamlaka yaliyopitiliza

    Short and clear, madaraka ya rais kikatiba yanapaswa kuangaliwa vizuri mnooo...yaliyotokea ni mojawapo ya madhara hayo. Waliokuwa wanaona suala la katiba ni Agenda nyepesi naamini wameo a kilichotokea! Usimamizi ni kwenye rasilimali za Taifa je? Naamini tunaelekea kuipata katiba ya haki na...
  2. JamiiForums Tanzania Tahadhari kwanza kabla ya madhara

    Kwanza kabisa natoa pole za dhati kwa ndugu zetu wote walioondokewa na wapendwa wao, sote njia yetu ni moja. Tulitoka kwake na kwake tutarudi Naomba kuwatahadharisha na hawa watu, roho yangu inaniambia sio watu salama Mange kimambi amekuwa mstari wa mbele sana kuibua uozo wa serikali ikiwemo...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaharakati mngehamasisha maandamano ya amani bila kufanya uhalifu kusingekuwa na madhara yoyote

    Lengo la maandamano ni watu kutoa maoni yao kwa kile wachoona wanastahili kukisemea. Ni namna moja ya wapo ya watu kuelezea hisia zao kwa mujibu wa katiba. Kuna maandamano kwa ajili ya kupinga au kupongeza jambo fulani. Maandamano hayahusishi uhalifu wowote. Kwenye maandamano ya wiki iliyopita...
  4. JamiiForums Tanzania Madhambi ya Wanasiasa wa Tanzania na Madhara ya Utawala wa Kidikteta

    Tanzania ni taifa lenye historia ndefu ya umoja na amani, lakini pia ni taifa ambalo limekumbwa na changamoto kubwa za kisiasa, hususan katika kipindi cha miaka ya karibuni. Wakati wengi wanajiunga na siasa kwa lengo la kuhudumia jamii na kuleta maendeleo, wapo baadhi ya wanasiasa ambao hutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Madhara ya Uongozi wa Mabavu Kulingana na Biblia Takatifu

    Katika historia ya kibinadamu, kiongozi wa kweli anapaswa kuwa mfano wa huruma, haki, na upendo kwa watu wake. Hata hivyo, wakati mwingine tunashuhudia viongozi wanaotumia mabavu na nguvu ili kujimilikisha madaraka, na hii mara nyingi husababisha madhara makubwa kwa taifa, familia, na hata...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuongeza uume bila madhara?

    NAWEZAJE KUONGEZA UUME BILA MADHARA? Wanaume wengi wamekuwa wakijiuliza: “Je, inawezekana kweli kuongeza uume angalau inchi moja au mbili bila madhara?” Jibu ni NDIO. Lakini kwanza lazima ujue chanzo cha tatizo lako. Mara nyingi linatokana na urithi wa kimaumbile, tohara ya utotoni, maradhi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mwanaume kulala uchi kila siku, kuna madhara?

    Mko salama humu? Nauliza, hivi kwa mwanaume kulala uchi wa mnyama kila siku ilihali huna mke ni sawa? Kuna jamaa angu kaniuliza hili swali nimeshindwa cha kumjibu.
  8. JamiiForums Tanzania Hizi ndoto Zina madhara makubwa, zichukulie kwa uzani mzito

    Ukiona unaota ndoto hizi chukua hatua mapema Ukiona unaota ndoto hizi, ndugu yangu chukua hatua! Usifikiri ni ndoto tu! Ni Mungu anakujulisha hali yako ya kiroho! Kumbuka ulimwngu wako wa kiroho ndio hali yako ya kimwili na ndio maisha yako halisi hivyo usipuzie Angalizo: nazungumzia ndoto...
  9. JamiiForums Tanzania Kwenye siasa utekelezaji wa Ilani ya chama unaongea maelfu ya maneno kwa Wananchi kuliko usambazaji wa chuki, wivu, upotoshaji na uongo kwa jamii.

    Tunashida kwenye ufanyaji wa siasa hatuna siasa za hoja, tunasiasa za kujengeana chuki na kupotosha watu, hatuna siasa za kwanini chama X na si chama Y Nashangaa kuona mtu mzima kabisa anafamilia eti anaamini watu watakipigia chama kingine kwasabu ya upotoshaji wake hii HAIPO huu ni ujinga wa...
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli ugali unadumaza Ubongo?

    Mambo vipi wakuu! Bila shaka mtakubaliana nami kuwa ugali ni chakula kikuu katika jamii nyingi barani Africa ingawa Marekani ndio inaongoza kwa kulima mahindi duniani lakin rekodi zinaonyesha ni kwa matumizi ya mifugo.Africa ndipo sehemu mahindi yatumika sana na mara nyingi mfululizo kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna madhara gani ya wanaume kutumia picha za wadada warembo kupiga punyeto

    Ndugu zangu. Katika jambo la kujimaliza , wanaume wengi wamekua wakitumia picha za warembo mbali mbali kujimaliza kwa kuwapigia punyeto huku wakiamini wameridhika kabisa. Je, ni sababu zipi zinazopelekea hasa matumizi ya picha za warembo pindi mwanaume anapotaka kujimaliza ubongo wake na yapi...
  12. JamiiForums Tanzania Madhara Ya Pager:Karibu Magaidi Elfu Tatu Wa Hezbollah Au Wanafamilia Wao Wamekuwa Vilema Sababu Ya Mashambulizi Ya Pager Yaliyofanywa Na Mossad

    Source:Alarabiya TV
  13. JamiiForums Tanzania Drug abuse: Dawa za kulevya, maana yake, aina zake, vyanzo vya kutumia dawa za kulevya, madhara yake na ufumbuzi wake

    NB: lengo la ujumbe ni kutoa elimu kwa wasomaji sio kutoa tiba kwa muathirika wa dawa za kulevya. Kwa muathirika wa dawa za kulevya anatakiwa kufika katika hospitali au vituo vya afya vyenye kutoa huduma hiyo. Drug Abuse ni kutumia dawa za kulevya au kemikali kwa njia isiyo sahihi, mara nyingi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Je dawa niliyopewq haina madhara?

    Pole kwa majukumu wana jamii. Nina changamoto ya kiafya, mwaka 2023 nilipa bahati ya kupata kazi sehemu kwa muda wa mwaka mmoja na zaidi, wakati wa kipindi hicho sikuweza kutoka nje ya eneo langu kwa muda wote hivyo kuwa na mwanamke ikaniwia ngumu. Baada ya kumaliza mkataba na kurudi nyumbani...
  15. JamiiForums Tanzania Press za Polepole kwa sasa hazina tija

    Hamjambo! Katika vita ya mtandaoni, hasa vita maneno. Kuna kanuni zake. Unapotupiana maneno na mtu kama unakombora kubwa kuliko haupaswi kulichelewesha sana kama vile katika vita vya silaha mfano Nyukilia ambazo hutolewa kidogo kidogo na kutokea yenye uwezo mdogo kufuatia yenye uwezo Mkubwa...
  16. JamiiForums Tanzania Mzigo Mkubwa wa Madaftari kwa Wanafunzi Je, Hii Haileti Madhara ya Kiafya Kwenye matatizo ya mgongo

    Wadau wote wa Wajamvini habari za muda huu Mara nyingi nikiwa kwenye daladala, hukutana na wanafunzi wadogo wa shule za msingi na sekondari wakiwa wamebeba mabegi mazito sana yenye madaftari na vitabu vingi. Hali hii hunisikitisha hasa nikifikiria umri wao mdogo na namna wanavyobeba mizigo...
  17. JamiiForums Tanzania Je, kuchanganya asali na limao kuna madhara?

    Habari, Nimeleta huu mjadala kwa kuwa hofu imejengeka miongoni mwetu hasa linapokuja suala la kunywa mchanganyiko wa asali na limao. Wakati nina kua nilipata kusikia haya na ilifika wakati nikila asali basi hata ikipita masaa naogopa kutumia limao kabisa hata likiwa kwenye mboga au kachumbari...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi Watanzania Wanavyoichukulia AI (Akili Mnemba) na Madhara Yake

    Habari wanaJF, Natumaini mnaendelea vizuri. Nimeamka salama. Nililala saa 8 usiku, baada ya kikao kirefu na mmarekani mmoja, hapa nkishamaliza kuandika nazama tena usingizini kidogo. Leo katika pitapita zangu, nimekutana na ripoti moja iliyochapishwa na Sahara Ventures. Waliwauliza...
  19. JamiiForums Tanzania Mekanika kaniwekea Diesel Engine Oil kwenye gari langu la Engine ya Petrol. Je kuna madhara!?

    Wataalam, natanguliza shukrani. Leo ilikua muda wa kufanya service gari yangu ( SUV) ambalo ni gari la engine ya Petrol, sasa nikafika garage na hapo hapo wanauza oil, mekanika nikamwambia na kwa uzoefu wake anajua magari madogo kama hilo langu ni gari la petrol hivyo nikamwacha afanye yake na...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi kuna madhara gani kuacha pombe ghafla?

    Mambo vipi wadau? Kama mnakumbuka kwenye tar 16/2025 nilileta uzi wa kuomba msaada wa kuacha pombe ,sasa kuanzia siku iyo sijanywa pombe baada ya kuzamilia kuacha kabisa ila sasa kuna shida imejitokeza yaani nasikia homa ,kichwa kuuma ,usiku nikilala ndoto kibao za ajabu ajabu , mwilini naskia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…