Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni).
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
Ningependa kutoa ushauri wangu kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhusu changamoto ya makampuni na biashara zenye madeni makubwa ya kodi lakini ambazo kwa sasa hazifanyi kazi au zimekwama kabisa.
Kwa uhalisia, biashara nyingi hazikufa kwa makusudi ya kukwepa kodi, bali kutokana na mazingira...
Madeni ya umma barani Afrika yanaendelea kuwa changamoto kubwa kwa nchi nyingi, huku viongozi wa bara wakitafuta suluhu endelevu ya mgogoro huu unaokua kwa kasi.
Mwezi Mei 2024, Umoja wa Afrika uliandaa mkutano wake wa kwanza kuhusu madeni ya umma mjini Lomé, Togo, ambapo ilibainika kuwa zaidi...
KUTOCHAPISHWA GAZETI LA JAMHURI
Jana Jumanne Desemba 30, 2025 kampuni yetu ya Jamhuri Media Limited ilishindwa kuchapisha na kusambaza gazeti letu la uchunguzi la JAMHURI. Tukio hili la kusikitisha limetokana na kampuni yetu kuwa na deni kubwa la uchapaji na kimsingi tumejikuta hatuna fedha za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.