madarakani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Tamaa za madaraka mpaka mtu anafia madarakani tena kwa kuiba kura!

    Mtu unatamaa ya madaraka mpaka unaiba kura halafu unakufa kabla ya hata kustaafu. Maisha ni mafupi unaiba kura na miaka 70! Eti halafu hujapumzika hata na familia yako. Ufisadi wote na wizi wote hauendi nao popote. Hayo ndiyo maisha tendeni haki, acheni katiba bora kwa watanzania na sio...
  2. Waufukweni

    Evance Kamenge: CCM ikiacha misingi ya kuanzishwa kwake itatoka madarakani

    Evance Kamenge, Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema “CCM ikitoka kwenye misingi ya kuanzishwa kwake itatoka Madarakani, naoingana na aliyesema CCM itakaa madarakani Milele huo ni uongo”
  3. Idugunde

    Mmeshajua hamkubaliki na wanachi hawawataki kuwa madarakani. Kumtesa Lissu kwa kutumia Mahakama ni kutwanga maji kwenye kinu

    Kwanza kabisa mnatakiwa kukubali kuwa hamkubaliki. Kwamba utawala huu wa CCM haukubaliki. Kuna Mwalimu mmoja leo amenifuata na kuniuliza wewe si mwanaCCM? Mbona kila mnachofanya mbona wananchi hawamkubali mama? Nikamwbia mimi sio kada wa CCM na haijawahi kutokea nikawa kada CCM. Hoja kubwa...
  4. Parabolic

    Miaka 49 ya CCM: Imebaki kutegemea Dola kubaki madarakani

    Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni. Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
  5. Lord Denning

    Wakati Taasisi za Intelejensia Kenya, Marekani na Uingereza zikijikita kuyaimarisha Mataifa yao kiuchumi, huku TISS inapambana CCM ibaki madarakani

    Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia. Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
  6. Genius Man

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa

    Mmeuwa watu wengi sana kujisimika madarakani nini kilicho badilika sasa kulikuwa na haja gani kwa haya hamna akili kabisa. Mpo mpo tu kama machizi kulikuwa na haja gani ya kutoa rushwa, kukodi majambazi kuuwa watanzania ili mpate madaraka sasa nini cha maana mlicho ambulia ? mpo kama makichaa...
  7. Waufukweni

    DC Kilosa: Kuna Diwani ameingia madarakani ataka kutapeli ardhi akiomba ushirikiano kwa DC

    Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Shaka Hamdu Shaka amesema wapo baadhi ya Viongozi katika Wilaya hiyo wanatumia vibaya madaraka yao na kujimilikisha ardhi kinyume na utaratibu. DC Shaka amesema hayo katika muendelezo wa ziara yake kuzungumza na Wananchi na Viongozi ambapo amesema yupo Diwani baada ya...
  8. Q

    Isingekuwa Mbowe CHADEMA kingekuwa madarakani tangu 2015

    Kahujumu maridhiano mengi kwa faida binafsi akishirikiana na aliyekuwa Mkurugenzi wa chama Jon Mrema na wenzake waliokimbilia CHAUMMA. Kwenye uchaguzi wa 2015, ulikuwa ni mpango wa Mbowe kumweka Lowassa kugombea urais dakika za mwisho bila mchakato wowote ili kuzima nguvu ya Dr. Slaa aliyokuwa...
  9. Q

    TUJADILI: Mbinu gani sahihi itumike kuiondoa CCM madarakani?

    Kwa muundo wa CCM na serikali yake ulivyo bila katiba mpya huwezi kuiondoa kwa njia ya sanduku la kura. Je, tuendelee ku-push kuandikwa kwa katiba mpya kwa njia za amani hadi tuipate? Je, tu-push Maridhiano ya kitaifa? Je, tuendeleze maandamano ya MO29 yalipoishia au tuyaboreshe. How. Je...
  10. K

    Wananchi wametakiwa waheshimu na kulinda amani. Lakini viongozi walioko madarakani wao wanavunja katiba na sheria haki za kibinadamu.

    Amani imetafsiliwa na viongozi walioko madarakani ni. ▪︎ kutokuwepo kwa migomo au maandamano ya kupinga ama kukataa jambo lolote. Iwe kwa watumishi wafanyakazi,wafanya biashara na wakulima. ▪︎ kutokuwepo kwa mawazo au fikra huru tofauti wala kuhoji kosoaji jambo lolote. ▪︎ kutokuwepo kwa...
  11. M

    Kwa kauli ya Rais Samia aliyoitoa mbele ya Mabalozi imeonyesha alikusudia kabisa kilichotokea Oktoba 29

    Nimeshangaa sana mimi kama Mwalimu. Rais Samia pia alikiri changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa utulivu siku ya uchaguzi na muda mfupi baada yake, akisema: “Licha ya mafanikio haya makubwa, kwa masikitiko tunatambua changamoto zilizotokea kutokana na vurugu na ukosefu wa...
  12. Idugunde

    Kiongozi anayekaa madarakani sababu ya kiburi cha risasi na jeshi huondoka madarakani kirahisi sana

    Hata kama atakaa kwa muda mrefu ataondoka tu kirahisi kama walivyondoka akina Mobutu , Bokasa na wengineo. Hata vijana ambao huwa nakutana nao mara kwa mara huwa nawaeleza hili kuwa kila jambo lina mwisho. Tulipata uhuru bila kumwaga damu. Lakini leo hii watu walimiminiwa risasi kama njugu...
  13. Just Pray

    PostGE2025 Rais Samia: Wanaochokolewa masikio kuvunja amani, Dar es Salaam nenda kaulize leo kama vijana wanataka kungia njiani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo tarehe 09 Januari, 2026 amesema ametahadharisha akiwaita wanaochokonolewa kuharibu amani ya nchi kuacha mara moja akikumbusha yaliyojiri...
  14. R

    Hakuwezi kufanya mageuzi ya polisi maana ukatili wao polisi ndio unaowawekaCCM na watu wao madarakani

    Simbachawene analeta usanii. Yuko pale kwa vile polisi ni makatili. unadhani ataweza kufanya reforms? BILA pressure ya wananchi na external pressure hakuna kitu! Time will tell!
  15. Richard

    Ushauri wa bure kwa Waziri wa Maji Jumaa Aweso, acha kulialia! Chukua mawili matatu kutoka katika nondo hizi

    Mie hapa New York pana kaubaridi (nyuzi joto kama 6 hivi si haba) na nimekula pilau ya Xmas ambayo kapika shemeji /wifi yenu alifundishwa na mama mkwe wake kupika pilau ya maana. Wakati huohuo nimeweka ile muziki ya Bongo Classics nakula muziki taratibu kushusha msosi. Lakini hapohapo nafikiria...
  16. Idugunde

    Bila aibu Waziri mwenye dhamana ya Maji anakiri kuwa CCM kwa miaka zaidi 60 ipo madarakani na imeshindwa kutatua kero ya maji

    Nimeshangaa sana Juma Aweso Waziri mwenye dhama ya kuhakikisha kila mtanzania anapata maji salama anakiri mbele ya television ya taifa kuwa CCM imeshindwa kutatua kero ya maji hapa nchini. Ameulizwa swali kwa nini hamutumii maji ya bahari kuhakikisha kero ya upatikanaji wa maji hususani mjini...
  17. M

    Wasipindishe ukweli. Tanzania hakuna mgogoro wa kisiasa bali watu hawamtaki Rais aliyepo madarakani

    Huu ndio ukweli wa mambo. Wananchi hawamtaki rais Samia. Mbaya zaidi hata ndani ya CCM inaonekana hawamtaki. Watu wameanza kuingia barabarani na kuanza kuleta ghasia hata matokeo hayajatoka. Hii ina maanisha ni wazi kuwa hawamtaki. Kwa nini? Walishasema ufisadi na mambo mengineyo. Hawa...
  18. Fbn

    Viongozi wengi wakitolewa madarakani hulalamika wanaonewa

    Wakiwa madarakani wanakuwa na viburi, kejeli, ubabe na dharau kwa wananchi wao. Ikifika muda wakaondolewa wanaanza kuona kama wanaonewa kwa sheria walizoziweka wao au mambo waliyopelekea kufikia hapo. Tumeona kwa Marehemu Mugabe, Ali Bongo, Saddam na n.k
  19. OLS

    Ukiagiza gari unatozwa tozo ya UKIMWI

    kwa mujibu wa sheria ya fedha 2025, serikali imeweka tozo ya UKIMWI ambayo nadhani ni matokeo ya USAID kuondoka na UKIMWI kuwa hauna fedha. Hii tozo ni kwa wanaoagiza magari na madini. Viwango ni kama kwenye jedwali lifuatalo.
  20. S

    Waliojiweka madarakani bado wana kiburi. Kwanini wameendelea kuteka, kumficha Polepole na kesi ya Lissu imewekwa kapuni?

    Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi. Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe kupiga kelele, Mwambe angekuwa kama Polepole. Sote tunajua Polepole ameshiliwa na hawa hawa maharamu...
Back
Top Bottom