madale

Madale Beach (Indonesian: Pantai Madale), is a beach in Poso Regency, Central Sulawesi Province, Indonesia, about 5 kilometres (3.1 mi) northeast of Poso town. Surrounded by tropical and mangrove forest, the white sand beach is a notable snorkeling spot. Rumah Katu Marine Park is located here.According to the Indonesian Ministry of Tourism, the waves in Madale is relatively quiet, so tourists can snorkel or dive without hesitation.The largest and only coral reef on Sulawesi Island, located on Madale. With a depth exceeding 40 m, marine species such as sponge, giant crabs, and black-striped shark live here.Destruction of coral reefs often occurs here. Fishermen's primitive methods to get results using fish bombs, eventually making the top of the coral wall being damaged.

View More On Wikipedia.org
  1. Dalali wa Mjini

    Viwanja vinauzwa Madale

    Viwanja vinauzwa Location Madale njia ya msumi. Mita 200 kutoka kwenye viwanja hadi barabara kuu ya Madale. Kila kimoja ni milion 65 Viwanja vipo Vinne unaweza kuunganisha zadi ya viwili au kununua vyote Kwa pamoja. Viwanja Vina ukubwa wa sqm 800 Vimepimwa ni kwenda kufatilia hati miliki yaani...
  2. A

    KERO Kampuni ya Ujenzi iliyopo Madale Midizini ina changamoto ya kutotoa mikataba kwa baadhi ya wafanyakazi wake

    Mimi ni Mfanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi wa miundombinu yenye makazi yake Madale Midizin Jijini Dar es Salaam. Changamoto ni kwamba mpaka sasa nina Mwaka wa nne kazini ila sijawahi pewa mkataba, nakosa haki zangu muhimu, bado najulikana ni kibarua tu wa hii kampuni. Tabia hiyo imekuwa ikitokea...
  3. DuaZaMama

    Polisi Kanda Maalum DAR inamshikilia Charles Gisima kwa Tuhuma za Kuchochea uvunjifu wa amani

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam tarehe 12/11/2025 majira ya saa 8:00 mchana eneo la Madale kwa Swai Kinondoni limekamata na linamhoji Charles Gisima Werema (miaka 47), mkazi wa Madale Flamingo Kinondoni kwa tuhuma za kuhamasisha na kuchochea uvunjifu wa amani katika...
  4. Bosspraise

    Madale kiwanja kizuri kinauzwa SQM 1200

    Kiwanja kinauzwa madale karibu na shule ya atlas Kina ukubwa wa SQM 1200 Kipo Mita 150 kutoka barabara ya lami Bei ni millions. 150 tu tsh Kipo kwenye neighbourhood nzuri Sana Usikikose tajiri Wasiliana nasi. 0742892195 call and WhatsApp
  5. Voldemort

    Natafuta kiwanja Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: 500-600 sqm 2. Location:Goba au Madale 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 22 mpaka 24.
  6. G

    Natafuta kiwanja maeneo ya Goba au Madale

    Wadau, natafuta kiwanja chenye sifa hizi: 1. Vipimo: Kuanzia square meter 750 (25×30) 2. Eneo lililopangika vizuri 3. Kiwanja kiwe flat na ardhi isiwe na maji maji 4. Documents ziwe clean na zimekamilika Offer yangu ni milioni 18 mpaka 20. Nicheki whatsap 0765137266
  7. Bosspraise

    Madale konten nyumba yakisasa inauzwa

    NYUMBA YA KISASA INAUZWA – MADALE (Kontena) Ipo Madale, kilomita 1 tu kutoka barabara kuu. Imejengwa kwenye kiwanja chenye ukubwa wa sqm 500. Nyumba ina vyumba vinne (4) – 1 ni master bedroom 3 ni self-contained Sebule kubwa ya kisasa Jiko zuri la kisasa Dinning, store, na choo cha wageni...
  8. stabilityman

    House4Sale Nauza nyumba Madale Flamingo

    NYUMBA KALI YA KISASA INAUZWA MADALE FLAMINGO MITA 200 KUTOKA BARABARA KUU (MADALE ROAD) BEI NI TSH MILLION 150 VYUMBA 3 VYOTE MASTER JIKO LA KISASA DINNING PUBLIC TOILET STORE SEBULE UMEME MAJI UKUBWA WA ENEO NI SQM 800 KARIBUNI MABOSS PIGA SIMU 0743 257 669 WhatsApp wa.me/255743257669
  9. Bosspraise

    Polt for sale madale

    Madale plot for sale contena km 1 kutoka lami sqm 1300. Price 70 millions Contact 0742892195 #Housefirsale#houseforsalegoba#plotforsalegoba#plotforsalemadale#plotforsaledaressalaam#plotforsale#viwanja#ramanizanyumba#
  10. dalalitz

    Nyumba mpya ya kisasa, vyumba vitatu (3) inauzwaTshs.330 milioni, Madale

    ....
  11. Bosspraise

    Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Madale Flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3 bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  12. Bosspraise

    Nyumba ya kisasa vyumba bitatu inauzwa madale flamingo

    Modern house for sale Madale flamingo 3bedrooms house Area sqm. 600 Price 170 millions tsh Tittle deed availble 0742 892 195
  13. J Mbungi

    Kitanda kizuri Cha chuma 5X6 kwa Bei rahisi 120,000/- Madale Mwisho - DSM

    Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!. Kipo Madale Mwisho...
  14. Mangi wa Rombo

    Tunauza Mkaa kwa bei ya Jumla - Dar es Salaam , Madale.

    Habari! Sisi ni wazalishaji na wauzaji wa mkaa wa kawaida. Tuna vibali vyote vya wakala wa misitu, na mkaa wetu unazalishwa kutoka kwenye misitu endelevu iliyo ruhusiwa kuvunwa. Gunia zetu zimeshonwa vizuri na haziendi zikidondosha mkaa, tunatumia mifuko mipya na kamba madhububuti kusuka...
  15. A

    Nyumba inauzwa Madale mivumoni

    Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko Inatank la maji la lita 3000 Bei ni 170M Karibuni sana
  16. Bosspraise

    Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  17. Ochoa Real Estate

    Eneo kwawajili ya project kubwa au kwaajili ya biashara linauzwa Madale Mivumoni

    Habari za wakati huu... Eneo linauzwa madale mivumoni... Lipo karibu na shule ya atlas Eneo limezungukwa na njia kubwa kabisa pande zote nne... Eneo lipo tambalale kabisa...🔥 Eneo linafaa kwa projects kubwa kama shule,hospital na hata viwanja vya michezo au sports academy.. Pia kwa wale...
  18. A

    Kiwanja Madale njia yakuelekea Mbopo

    Kiwanja kinauzwa kipo Madale njia ya kuelekea Mbopo umbali wa 1km kutoka lami. Kinaukubwa wa 1000 square meters Bei ni 40M Mazungumzo yapo Tucheki kupitia 0674630975 ama +255 714 796 778
  19. BATULUNGE

    Nyumba inauzwa ipo Madale Kwa Kawawa

    Nyumba inauzwa ipo madale mil 70, Kwa Kawawa, Ipo umbali wa km 1 kutoka barabara lami, Kiwanja kina Sam 650 na kimeshawekwa bikoni, Nyumba ina vyumba 3 vya kulala 1 master na public toilet 1, sitting room1, dining room 1 na jiko 1 0656077998
  20. A

    KERO Uchimbaji Mchanga unavyoharibu barabara ya Goba - Mpakani kwenda Madale (Dar)

    Tusaidiane kufikisha hili kwa mamlaka husika. UCHIMBAJI MCHANGA UNAVYOHARIBU BARABARA YA GOBA - MPAKANI KWENDA MADALE. Kutokea Goba - Mpakani , eneo maarufu kama "kwa ajali" ukiwa unaenda Madale kabla hujakutana na barabara ya mbopo, Kuna mto una tenganisha haya maeneo. Changamoto ni kwamba...
Back
Top Bottom