macron

Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (French: [emanɥɛl ʒɑ̃ miʃɛl fʁedeʁik makʁɔ̃]; born 21 December 1977) is a French politician who has been President of France and ex officio Co-Prince of Andorra since 14 May 2017.
Born in Amiens, Macron studied philosophy at Paris Nanterre University, later completing a master's degree in public affairs at Sciences Po and graduating from the École nationale d'administration in 2004. He worked as a senior civil servant at the Inspectorate General of Finances and later became an investment banker at Rothschild & Co.
Macron was appointed a deputy secretary general by President François Hollande shortly after his election in May 2012, making Macron one of Hollande's senior advisers. He was later appointed to the Cabinet as Minister of the Economy and Industry in August 2014 by Prime Minister Manuel Valls. In this role, Macron championed a number of business-friendly reforms. He resigned from the Cabinet in August 2016, launching a campaign for the 2017 presidential election. Although Macron had been a member of the Socialist Party from 2006 to 2009, he ran in the election under the banner of a centrist political movement he founded in April 2016, En Marche.
Though initially behind in opinion polls, Macron topped the ballot in the first round of voting, and was elected President of France on 7 May 2017 with 66.1% of the vote in the second round, defeating Marine Le Pen. He quickly appointed Édouard Philippe as prime minister, and in the legislative elections a month later, Macron's party, renamed "La République En Marche!" (LREM), secured a majority in the National Assembly. At the age of 39, Macron became the youngest president in French history.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Macron atua Afrika licha ya maandamano ya kupinga ziara zake

    Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo. Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi...
  2. Rais Macron naye ailalamikia US: Mnatufanyia hujuma isiyo ya kawaida katika kipindi hiki kigumu

    Katika siku ya kwanza ya ziara yake rasmi ya siku tatu mjini Washington, Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amewaambia wabunge wa Marekani kwamba nchi yao inaifanyia Ufaransa "hujuma isiyo ya kawaida hasa katika kipindi hiki cha mdororo wa nishati na uchumi kutokana na Covid-19 na mzozo ya...
  3. NATO wanavurugwa, Macron amuomba Papa kuwaweka Mezani Putin na Biden

    Wakati NATO wenzake wanataka vita iendelee, Rais wa Ufaransa anaonekana kutoamini kuwa wana uwezo wa kumaliza vita. Amemuomba Papa awaite warussi na USA wakae mezani kuyamaliza. Urusi n USA ndo walianzisha vita na ndiyo watamaliza. Siyo EU. Urusi siyo Zimbabwe Macron says he urged Pope to...
  4. M

    Emmanuel Macron akiwa na miaka 15 alikutana na Brigittie akiwa na miaka 44 na leo hawa ni mume na mke

    Brigitte Macron, first lady for France aged 69 years while Emmanuel Macron President of France is aged 44 years. They met for the first time when Brigittie was 44 and Macron was 15. Brigittie was married by then and she was Macron's teacher. Macron fell in love with Brigittie and he told her...
  5. Macron akiri demokrasia yaelekea kushindwa duniani.

    Raisi wa ufaransa Emmanuel Macron amesema utawala wa kidemokraisia unaelekea kufa duniani kote ikiwemo Marekani kwenye. Katika kile alichokiita mzozo wa kidemokrasia Macron amesema hali hiyo inatokana na ukandamizaji na hali ya mchafuko unaoletwa na demokrasia.
  6. Emanuel Macron akutana na Paul Kagame na Felix Tshisekedi wakutana kwa mazungumzo ya Amani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amekutana na Rais wa Rwanda, Paul Kagame na Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi huku kukiwa na mvutano kati ya Majirani hao kuhusiana na Makundi ya waasi karibu na mpaka wao wa pamoja Taarifa zaidi zinazema kuwa Viongozi hao wanataka...
  7. Jeshi la Mali lamshutumu Rais Macron kwa Ukoloni Mamboleo

    Serikali ya kijeshi nchini Mali imemshutumu Rais Emmanuel Macron kwa tabia ya "ukoloni mamboleo na udhalilishaji" na kumtaka aache ukosoaji wake kwa Jeshi la nchi hiyo na kuchochea chuki ya kikabila Hii ni kufuatia matamshi ya Rais Macron wiki iliyopita wakati wa ziara yake Afrika Magharibi...
  8. Uchaguzi Ufaransa: Rais Emmanuel Macron amshinda Mpinzani wake, Marine Le Pen

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron amefanikiwa kutetea nafasi yake ya Urais baada ya kumshinda mpinzani wake, Marine Lepen katika raundi ya pili ya Uchaguzi wa Rais Nchini humo Kura zimeonesha Macron ameshinda kwa kura 58 dhidi ya 42 za Lepen kulingana na makadirio ya taasisi za ukusanyaji wa...
  9. Emmanuel Macron, Marine Le Pen kushindana raundi ya pili kuwania Urais wa Ufaransa

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameongoza kwenye duru ya kwanza ya uchaguzi, akimshinda kwa tofauti kubwa kuliko ilivyotarajiwa mpinzani wake, Marine Le Pen na hivyo watakutana katika duru ya pili kati ya wawili hao baadaye mwezi huu. Matarajio yalionyesha Macron atashinda kwa kati ya...
  10. Paris, Ufaransa: Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Rais Emmanuel Macron

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron katika Ikulu ya Elysée leo Februari 14, 2022 Rais Samia yupo Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi. Akiwa huko pia amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Aundrey Axoulay wakati...
  11. Macron and Kagame

  12. U

    Prof. Kabudi: Rais wa Ufaransa amwandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa Kati

    Rais wa Ufaransa Emanuel Macron amuandikia Barua kumpongeza Rais Magufuli kwa kuiwezesha Tanzania kuingia Uchumi wa kati miaka mitano kabla ya muda uliopangwa Serikali imesema katika kipindi cha pili cha awamu ya pili ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania Dkt John Pombe...
  13. Macron yamemkuta, Waislamu wamjia juu na kususia bidhaa za Ufaransa

    Waislamu hasa kwenye nchi zenye fedha wameamua kususia bidhaa za Ufaransa ikiwa ni kuonesha hasira zao kutokana na mwendelezo wa kejeli za raisi wa nchi hiyo Emmanuel Macron kwa dini ya uislamu. Katika hatua ya sasa mataifa kadhaa ya kiarabu yameamua kuteremsha chini bidhaa za nchi hiyo...
  14. Macron wa Ufaransa afika uwanjani kumpokea muislamu halafu atoweka

    Wiki moja tu tangu Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron kusema uislamu ni janga la dunia mambo yamemgeukia. Muda aliotamka maneno hayo ulinasibiana na kuachiwa huru kwa mateka muhimu na raia wa ufaransa bi Sophie Petronin ambaye alitekwa nchini Mali mwaka 2016 alipokuwa akifanya shughuli za huruma...
  15. Ufaransa: Rais Macron na mkewe wavamiwa na waandamanaji

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe walilazimika jana kuondolewa kwa dharura kutoka ukumbi wa sinema baada ya waandamanaji kujaribu kuingia ukumbuni na kuvuruga onesho lililokuwa likiendelea. Polisi wa kutuliza ghasia walijiweka tayari wakati waandamanaji kadhaa walipokusanyika nje ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…