macron

Emmanuel Jean-Michel Frédéric Macron (French: [emanɥɛl ʒɑ̃ miʃɛl fʁedeʁik makʁɔ̃]; born 21 December 1977) is a French politician who has been President of France and ex officio Co-Prince of Andorra since 14 May 2017.
Born in Amiens, Macron studied philosophy at Paris Nanterre University, later completing a master's degree in public affairs at Sciences Po and graduating from the École nationale d'administration in 2004. He worked as a senior civil servant at the Inspectorate General of Finances and later became an investment banker at Rothschild & Co.
Macron was appointed a deputy secretary general by President François Hollande shortly after his election in May 2012, making Macron one of Hollande's senior advisers. He was later appointed to the Cabinet as Minister of the Economy and Industry in August 2014 by Prime Minister Manuel Valls. In this role, Macron championed a number of business-friendly reforms. He resigned from the Cabinet in August 2016, launching a campaign for the 2017 presidential election. Although Macron had been a member of the Socialist Party from 2006 to 2009, he ran in the election under the banner of a centrist political movement he founded in April 2016, En Marche.
Though initially behind in opinion polls, Macron topped the ballot in the first round of voting, and was elected President of France on 7 May 2017 with 66.1% of the vote in the second round, defeating Marine Le Pen. He quickly appointed Édouard Philippe as prime minister, and in the legislative elections a month later, Macron's party, renamed "La République En Marche!" (LREM), secured a majority in the National Assembly. At the age of 39, Macron became the youngest president in French history.

View More On Wikipedia.org
  1. Pdidy

    Rais Macron huyo anaelekea Iran

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron, ametangaza kuwa Ufaransa itapeleka meli nane za kivita, manowari ya kubeba ndege za kivita, na meli mbili za kubeba helikopta katika maeneo ya Bahari ya Mediterania, Bahari Nyekundu, na Mlango wa Bahari wa Hormuz ili kukabiliana na Iran. Hatua hii inaonekana...
  2. Chizi Maarifa

    Nlisema haya kuhusu Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa, ni miongoni mwa Marais wenye udhaifu

    Hapa ni baadhi ya sababu ambazo watu Wafaransa wanamkosoa au kukosa upendo kwa Rais Emmanuel Macron, na kwanini baadhi wanaona “bogus” au haaminiki. Kuna mambo mengi, si yote yatakukubalika na kila mtu, lakini nitajaribu kufafanua kwa nini hisia hizo zipo. Sababu kuu za kutokupendwa kwake 1...
  3. W

    Wananchi kuwasha moto mitaani kwenye Maandamano Ufaransa ya kutaka Rais Macron ajiuzulu

    Zaidi ya watu 200,000 wameandamana na mamia wakamatwa nchini Ufaransa Septemba 11, 2025 kufuatia maandamano makubwa ya kitaifa yaliyoanza Septemba 10, 2025 wananchi wakipinga mipango ya kupunguza bajeti na hali tete ya kisiasa nchini humo. Vuguvugu hilo lililopewa jina “Fungeni Kila Kitu”...
  4. Echolima1

    Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  5. Mindyou

    Waliodai Mke wa Rais wa Ufaransa Brigitte Macron kwamba ni mwanaume wafutiwa kesi iliyokuwa inawakabili

    Wakuu, Mbona hii theory kama inaanza ku-make sense wakuu Naanza kuamini huyu mke wa Macron kweli ni mwanaume Mahakama ya Rufaa ya Ufaransa imebatilisha hukumu dhidi ya wanawake wawili waliohukumiwa kwa kumkashifu mke wa Rais wa Ufaransa Brigitte Macron, baada ya kueneza madai ya uwongo kwamba...
  6. The Zanzibar Echo

    Putin na Macron wazijadili Ukraine na Iran

    Marais wa Ufaransa Emmanuel Macron na Vladimir Putin wa Urusi wamezungumza kwa simu jana Jumanne ikiwa ni mara ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili na nusu. Macron ametumia mazungumzo hayo kumtolea wito Putin kusitisha vita nchini Ukraine, ingawa Putin mwenyewe alijibu kwa kuyashutumu...
  7. Sigonella Island

    Macron: Huu sio muda sahihi wa Ufaransa kuondoka Afrika. Waafrika hawawezi kujitawala wenyewe.

    Huyu Macrosn anaakili za kimbwa kweli yani anawadharau waafrika huku anataka rasilimali zao President Macron said, now is not the time for France to leave Africa, that Africa is not capable of managing on its own!!! Can you believe that fellow Africans? MACRON: 🗣️ “If we leave African...
  8. Juuchini

    Macron Na Starmer Watinga White House

    Katika hali ya viongozi wa bara uroda kuchanganyikiwa, wanene waliotajwa hapo juu wameamua kumfuata mzee baba live. Watafanikiwa kumshawishi abadili msimamo?
  9. S

    Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron adai viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron amedai kwamba viongozi wa nchi za Afrika hawana shukrani. Macron aliyasema maneno hayo mnamo tarehe 6 January 2025 wakati akiwahutubia wanadiplomasia wa Ufaransa wanaoiwakilisha nchi hiyo katika nchi mbalimbali. Macron alisema kwamba mfano viongozi wa nchi za...
  10. Sir John Deere

    Rais Macron wa Ufaransa amwambia Netanyahu asisahau kuwa Israel imepatikana kwa azimio la Umoja wa mataifa 1948 hivyo aache kuidharau

    Naona Rais Emmanuel macron kaamua kumpa makavu live maana jamaa anabwatuka hovyo. Nchi yenyewe imepatikana kwa kura za Umoja wa mataifa na kura ya veto ya Marekani Leo hii anawaletea kiburi UN na kupuuza kazi na maamuzi ya UN. Huyu jamaa ajiangalie sana. Tafadhali naomba wale wazee wa miaka...
  11. Ritz

    Ufaransa: Macron azitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel

    Wanaukumbi. BREAKING🚨 Emmanuel Macron amezitaka nchi zisitishe kupeleka silaha kwa Israel ili zitumike Gaza. "Nadhani leo, kipaumbele ni kwamba turudi kwenye suluhisho la kisiasa, kwamba tuache kupeleka silaha kupigana huko Gaza"…🇫🇷🇵🇸...
  12. A

    Ujumbe wa Netanyahu kwenda kwa Rais Macron wa Ufaransa

    Muda muchache uliopita Waziri mkuu wa Israel ametoa ujumbe mzito kwa Rais wa Ufaransa. Asema Israel haitaji msaada wowote kutoka Ufaransa na itashinda vita. Je Macron kafanya nini ,kilichomfanya Netanyahu kuchukia hivi...
  13. Movic Evara

    Jordan Bardella tishio kwa Rais Macron

    Uchaguzi wa bunge la ulaya umemalizika jana kwa raia kutoka nchi 27 kupiga kura kuchagua wabunge watakaowawakilisha katika bunge la ulaya ambapo vyama vya siasa vya mrengo wa kulia vimeonekana kufanya vizuri. Nchini ufaransa, chama cha mrengo wa kulia cha “National Rally, NR” kimefanya vizuri...
  14. X

    Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  15. Mathanzua

    French President Macron To Announce: "Europe is at war with Russia" on June

    French President Macron to announce: "Europe is at war with Russia" on June 6 JUNE 02, 2024 June 6 will be a landmark day for the whole of Europe. France will officially make the first announcement of sending military personnel from a European/NATO state to Ukrainian territory. The Ukrainian...
  16. Webabu

    Macron aitaka Israel iache kuuwa vichanga.Raisi wa Iran ajisemea mwenyewe vitendo vinahitajika sio maneno matupu tena.

    Meneja wa Alshifa hospital jana alisema ni zamu ya vita vya kupiga hospitali.Na kweli vita vya Israel kwa hospitali vimeendelea na kuonesha ukatili ambao wote walioona wametishika. Madaktari wa hospitali hizo wameonekana wakikimbia na vitoto njiti kwenye mashine za kuokolea maisha huku wengine...
  17. SNAP J

    Macron akutana na Kansela Scholz jijini Humburg

    Mukhtasari wa kauli ya Kansela wa Ujerumani Scholz na Raisi wa Ufaransa Macron katika Franco-German meeting jijini Humburg #Ujerumani na Ufaransa inakemea vikali mashabulizi ya kigaidi ya Hamas dhidi ya Israel. #Ujerumani na Ufaransa wataendelea kuisadia Ukraine dhidi ya uvamizi wa Urusi...
  18. Zacht

    Macron aitaka Ulaya isijihusishe kwenye mgogoro wa China na Marekani kuhusu Taiwan

    Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan, "Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya Marekani na China kuhusu Taiwan, Wazungu lazima waamke na kuepuka kufuata mdundo wa Marekani", Prez...
  19. HERY HERNHO

    Macron yuko China kuishinikiza kusaidia amani nchini Ukraine

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameanza ziara ya kikazi ya siku tatu nchini China ambako pamoja na mengineyo analenga kulishawishi taifa hilo mshirika wa Urusi, kusaidia juhudi za kuleta amani katika mzozo wa Ukraine. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aidha anataraji kuirai China kuacha...
  20. GENTAMYCINE

    Haya wale Viherehere na mwenye Chuki na Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda mjibuni sasa Rais wa Ufaransa Macron

    " Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR. Chanzo Taarifa: Amka na...
Back
Top Bottom