Zitto amesema kiongozi yeyote ambaye hatengenezi mrithi wake, basi huyo ni kiongozi ambaye amefeli. Anasema tayari chama chake kimetengeneza vijana wengi wenye uwezo wa kuongozi hata yeye asipokuwepo.
โMuda wangu wa uongozi unakwisha Machi 30, 2024. Kama hatujengi watu wa kutosha, nani atakuja...