mabusha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Jinsi watu walivyongo'oa minazi wakiamini kuwa ni chanzo cha mabusha. Wewe umewahi kushuhudia madhara gani ya taarifa potoshi?

    Umewahi kushuhudia madhara gani yaliyotokana na Taarifa Potofu? Kisa cha Watu waliong’oa minazi wakiogopa kupata mabusha. Mdau wa JamiiCheck kupitia ukurasa wa Instagram anaeleza kuwa kutokana na taarifa kuwa maji ya madafu yanasababisha mabusha, watu wa kijijini kwao waliogopa kutumia nazi...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Tiba ya Ngiri/Hernia kupitia Dawa za kihindi

    Aina nyingi za ngiri ama hernia zinatokea eneo la tumbo kati ya kifua na nyonga. Kwa watu wengi ngiri siyo tatizo linalohatarisha maisha japo ni tatizo lisiloisha lenyewe bila upasuaji ama dawa. Ngiri inasababishwa na kulegea kwa misuli na kupelekea nyama za kiungo kimoja kuota na kusukuma...
  3. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Maji ya madafu yanasababisha ugonjwa wa Mabusha

    Inaaminika kuwa ugonjwa wa mabusha husababishwa na unywaji wa maji ya madafu. Madai haya hupata mashiko makubwa zaidi kwa kuwa tatizo hili huwapata wanaume wengi wanaoishi Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi, ambako madafu hupatikana kwa wingi. Madai haya yana ukweli kiasi gani?
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tanga: Wenye Mabusha wakataa Kutibiwa na Wataalamu wa Kike, Wasema bora Wafe

    Baadhi ya Wazee wenye ugonjwa wa Ngirimaji unaosababisha korodani kujaa maji (Mabusha) Wilayani Pangani Mkoani Tanga wamemuomba Mkuu wa Wilaya hiyo Zainab Abdallah @zainababdallah93 kuangalia uwezekano wa kubadilishwa kwa Watoa huduma wa afya wanaowatibu ili wawe Wanaume na sio Wanawake huku...
  5. Ujinga mtupu

    JamiiForums Tanzania Watu 167 wafanyiwa upasuaji wa mabusha Mtwara

    Wanaume 167 kati ya 200 wamefanyiwa upasuaji wa mabusha Mkoani Mtwara kwenye kampeni ya matende na mabusha iliyofanyika Mkoani humo kuanzia Feb 06,2023 hadi Feb 14,2023 “Mabusha huwapata Wanaume na Wanawake ila safari hii hakuna Mwanamke aliyekutwa na busha”, taarifa imeeleza. Mratibu wa...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Magonjwa ya Usubi, Matende na Mabusha, Yanazuilika na Yanatibika!, Tujitokeze kwa Wingi Kupata Kinga, Wagonjwa Wajitokeze Kupata Tiba Bure

    Leo January 30 ni kilele cha siku ya kimataifa ya maadhimisho ya magonjwa ambayo hayapewi kipaumbele Duniani, ambapo kitaifa maadhimisho hayo yanafanyika mjini Tanga kwa kauli mbiu ya “Chukua hatua sasa kwa pamoja tuchukue hatua tuwekeze sasa". Kwa mujibu wa Meneja wa Mpango wa Taifa wa...
  7. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Kingatiba ya Mabusha na Matende yatolewa Dar, Kata ya Tandale yaongoza kwa maambukizi

    Zaidi ya wananchi milioni nne wa Dar es Salaam katika Halmashauri za Temeke, Kinondoni na Ilala kuanzia wenye umri wa miaka mitano wameanza kupatiwa tibakinga dhidi ya ugonjwa wa matende na mabusha kuanzia Kata ya Tandale ambayo ina idadi kubwa ya wagonjwa kwa Manispaa ya Kinondoni. Kauli hiyo...
Back
Top Bottom